Klabu bingwa Afrika: As vita club 0-1 Simba dimba la Stade de Martyrs 12/2/2021

Shishimbi najua mziki wa simba anaujua
 
Hii mechi ngumu sana kwa watani zetu, wakoswakoswa hapa.
 
Reactions: Lee
Nachukua nafasi hii kuwatakia As Vita ushindi wa kishindo kabisa yaani wamalize mpira dakika 45 za mwanzo tu, hizo 45 za pili ziwe ni kufanya mazoezi ya pamoja nao
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…