Truth Matters
JF-Expert Member
- Apr 12, 2013
- 2,633
- 5,615
Hizi jezi za simba na yanga huwa wanatengenezea nchi gani? Kwa marekani jezi moja hadi ikamilie ikiwa imetengenezewa cheap material ni around dola 20 kwa jezi moja.hiyo biashara inahitaji uzoefu nayo la si hivyo inakufilisi asubuh tu
kumbuka unatakiwa utoe pesa kwa simba upfront halaf wewe ukaprint na zije kwa wakati sasa kama ndo huna kiwanda ambachob una uhakika nacho wakichelewesha mzigo tu ndani ya week umeshakula hasara(ref.vunjabei)...baada ya hapo unatakiwa upige promo jersey iende urudishe pesa yako uliyotoa,kama una team ya watanzania ndo wanasimamia sales lazima wakuibie mpk unyooke.......sasa mtu umetoa more than 8Billion kwa mwaka halafu uanze kuishi kwa presha si bora ukafungue sheli za mafuta tu
Mkataba wako na Azam ni 51B tena kabla ya kodi na ni miaka 10Kampuni inaitwa sijui Amberruty yaani miaka mitano bilioni 30 πππ Mbumbumbu siku zote ni Mbumbumbu
AMBERRUTTYHilo jina hilo, ni kiasi cha muda tu wanangu wa Jangwani watakuja na meme zake.
Kampuni ni ya Muhaya, nadhani wahaya unawajua vizuri kwa kutaka sifa. Kajipa majukumu mengi hadi yasiyomuhusu kwa biashara ya jezi ambayo hajaijua changamoto zake kiundani. Kuna mengi sana ya kupambana nayoHuu mkataba nimeshindwa kuulewa! Mpaka ujenzi wa viwanja?? Anyways, studio na Ofisi!
Wameahidi kuleta Jezi ya maana sana.
Newaza sana jambo hiliHii kampuni inaonekana ina ukwasi wa kutosha kwa hivi vitu wanavyoahidi kutekeleza
Hili la viwanja limenishangaza sana! Anyways, labd Kuna namna nao wata benefit sana! Hasa kwenye % ya kila kina hoingia kutokana na uwekezaji huo.Kampuni ni ya Muhaya, nadhani wahaya unawajua vizuri kwa kutaka sifa. Kajipa majukumu mengi hadi yasiyomuhusu kwa biashara ya jezi ambayo hajaijua changamoto zake kiundani. Kuna mengi sana ya kupambana nayo
1) jezi feki
2) jezi kuwa na mvuto
3) kuleta jezi kwa wakati
4) kufanya uhamasishaji wa mashabiki kununua jezi
Eeeh Amber rutty FCAcheni upumbavu kuharibu brand za watu. Hii ni biashara sio ushabiki wa Simba na Yanga
Wewe na yeye nani aliyefanua walau risk analysisKampuni ni ya Muhaya, nadhani wahaya unawajua vizuri kwa kutaka sifa. Kajipa majukumu mengi hadi yasiyomuhusu kwa biashara ya jezi ambayo hajaijua changamoto zake kiundani. Kuna mengi sana ya kupambana nayo
1) jezi feki
2) jezi kuwa na mvuto
3) kuleta jezi kwa wakati
4) kufanya uhamasishaji wa mashabiki kununua jezi
Imagine mjinga na masiki fukara anakupiga 5, mara unakumbuka 1 bila, halafu tarehe 8 tajiri unamkimbia maskini...Wala sio ujinga..ni umaskin na ufukara ndio unawasumbua hakuna kingine...
Ngoja tusubiri! Ila nawasi wasi sana!Kampuni ni ya Muhaya, nadhani wahaya unawajua vizuri kwa kutaka sifa. Kajipa majukumu mengi hadi yasiyomuhusu kwa biashara ya jezi ambayo hajaijua changamoto zake kiundani. Kuna mengi sana ya kupambana nayo
1) jezi feki
2) jezi kuwa na mvuto
3) kuleta jezi kwa wakati
4) kufanya uhamasishaji wa mashabiki kununua jezi
Vibaya hivyo Mjukuu, hivi si unajua mdomo huumba π€Babu hii nusu hamtoboi, haki vile.
Sitaki maneno mengi, tuweke dau.
Ndio ukweli wenyewe Babu, sitaki kukudanganya upate pressure bure ni bora nikwambie ukweli ujiandae.Vibaya hivyo Mjukuu, hivi si unajua mdomo huumba π€
Niambie tuweke kiasi gani? Me nakuhaidi kukupatia tiketi ya kwenda Zanzibar na ukalale hotel Verde Kwa Siku mbili chakula,Vinywaji inclusive
Tutavuka tu hiyo stage Mjukuu, niamini nakwambia πͺNdio ukweli wenyewe Babu, sitaki kukudanganya upate pressure bure ni bora nikwambie ukweli ujiandae.
Babu stake yako nzito, mi nitaweka 100K tukutane baada ya second leg tiketi itageuka kuwa cash nipange mwenyewe.
Mkuu jezi bora zinatengenezwa na Ksmpuni kubwa za vifaa vya michezo na siyoVunja bei wala Sanda, We ukitaka kujua hilo we angalia jezi za Timu kama Zanaleki, Orlando, kisha angalia jezi za Timu zetu kuna utofauti mkubwa. Jezi bora zina tengenezwa na Adidas, Nike. PUMA, kappa.Wazawa jitahidini kuja na jezi kali. Sio mnapata kazi halafu jezi mbovu
Mi nawatakia kila la kheri Babu, ila usisahau leo tuna kibarua kingine kigumu baada ya EPL kutushinda.Tutavuka tu hiyo stage Mjukuu, niamini nakwambia πͺ
Kama umeweka 100k natakiwa nami niweke 100k ili mzani ubalance π€
Baada ya second leg tusipoendelea nakutumia cash yako
Sasa hivi tutaona uongozi wa ile timu inayopenda kutamba kwenye makombe madogo ikitafuta wadhamini kushindana na Simba ya kimataifa!View attachment 3306575
Kampuni ya JAYRUTTY imeshinda tenda ya zabuni ya utengenezaji na usambazaji wa jezi za Simba SC.
Klabu ya Simba imesaini mkataba wa miaka mitano wenye thamani ya Bilioni 38 na Kampuni ya JAYRUTTY kwa ajili ya kutengeneza na kusambaza jezi na vifaa vyenye nembo ya Simba.
View attachment 3306546
Kampuni ya JAYRUTTY Investment baada ya kusaini mkataba wa miaka mitano na Simba SC, JAYRUTTY wao wameingia mkataba na kampuni ya vifaa vya michezo Duniani Diadora.
View attachment 3306574
Mkataba wa JAYRUTTY na Diadora ni kwa ajili ya kufanya production ya jezi na vifaa vyote vya Simba Sports Club.
Mkataba wa Simba SC na JAYRUTTY Investment tofauti na kutoa fedha lakini pia atajenga uwanja ambao utabeba mashabiki 10,000 mpaka 12,000 uwanja utajengwa Bunju.
Lakini pia JAYRUTTY Investment watanunua Bus jipya aina ya Irizar, watajenga ofisi mpya kama makao makuu ya Klabu.