Baada ya miaka zaidi ya 10 leo tunaenda kufuzu kwenda nusu fainali pale pale Santiago BernabeuMi nawatakia kila la kheri Babu, ila usisahau leo tuna kibarua kingine kigumu baada ya EPL kutushinda.
Deal 🤝
Thamani ya uwekezaji uonekana uwanjani.B 5 kwa mwaka si haba ndio faida ya kuwa club na 4 afrika. Kutoka b 2 za mkataba na sandalendi. Hapo utopolo lazima wataongeza sifuri kwenye mkataba wao ilimradi kuwafunga midomo mashabiki wao
Ambaruty 😂Hilo jina hilo, ni kiasi cha muda tu wanangu wa Jangwani watakuja na meme zake.
Kwaiyo wasitafute wadhamini eti kwasababu wewe kolo umesema? Kila klabu inafanya mambo yake kwa wakati wake na mipango yake uwezi kuwapangia cha kufanya!Sasa hivi tutaona uongozi wa ile timu inayopenda kutamba kwenye makombe madogo ikitafuta wadhamini kushindana na Simba ya kimataifa!
Unajua GSM aliingiaje Yanga,alianza na jezi akaitwka yanga mazima mpaka leiHuu mkataba nimeshindwa kuulewa! Mpaka ujenzi wa viwanja?? Anyways, studio na Ofisi!
Wameahidi kuleta Jezi ya maana sana.
Wewe ndio mbumbumbu hoves kabisa! Kumbuka sandaland aliweka 2b, kwa mwaka Hawa wameweka 7b kwa mwaka, utopolo hamweleweki mnapata Nini, maana mnaficha kwa sababu mnachopata ni aibu! Wivu tu umewajaa, mna hasira kutaka kutapika! Hovyo kabisa watu kama wewe!Hiyo ni pesa ndogo mno
Miaka 38 ukiwagawa miaka 5 kila mwaka Simba utapata billion 7
Hili Dili mbumbumbu wameliwa kudadek
Lakini sio sawa na sisi tunaopata buku jero kwa jezi. Ukweli usemwe.Hiyo ni pesa ndogo mno
Miaka 38 ukiwagawa miaka 5 kila mwaka Simba utapata billion 7
Hili Dili mbumbumbu wameliwa kudadek
Sikupingi mkuuLakini sio sawa na sisi tunaopata buku jero kwa jezi. Ukweli usemwe.
Jayrutty na amberrutty dugu moyaHilo jina hilo, ni kiasi cha muda tu wanangu wa Jangwani watakuja na meme zake.
Kwao ni sawa, Mudi aliinunua timu kwa Bil 20Pesa kiduchu mno
Mbumbumbu mmeliwa
38 hawa Kwa 5 ni billion 7
watanzania tunafyatulia China hapo!!!....so hao jamaa hapo wana kama miez mitatu hv ya kudesign na kuzalisha mzigo maana mwez wa saba mwishon mzigo unahitajika uzinduliweHizi jezi za simba na yanga huwa wanatengenezea nchi gani? Kwa marekani jezi moja hadi ikamilie ikiwa imetengenezewa cheap material ni around dola 20 kwa jezi moja.
Kibongobongo tunazungumzia karibia elfu 50 bado hujaweka gharama ya kumuuzia mteja ili upate elfu 50 yako kwanza na faida. Sasa ukitoa 7 b kwa team iliyokupa tenda kisha ndio uende ukazalishe jezi hapo utaspend sh ngapi ili uzalishe jezi zitakazo rudisha hiyo 7B na faida juu kwa mwaka?
Unakusudia ile Timu inayoogopwa na Simba ya kimataifa? Ile ambayo Simba ya kimataifa iliikimbia tarehe 8?Sasa hivi tutaona uongozi wa ile timu inayopenda kutamba kwenye makombe madogo ikitafuta wadhamini kushindana na Simba ya kimataifa!
Wabongo bhna wewe unatoa huu ushauri ukiwa unamiliki bilion ngapi account?hiyo biashara inahitaji uzoefu nayo la si hivyo inakufilisi asubuh tu
kumbuka unatakiwa utoe pesa kwa simba upfront halaf wewe ukaprint na zije kwa wakati sasa kama ndo huna kiwanda ambachob una uhakika nacho wakichelewesha mzigo tu ndani ya week umeshakula hasara(ref.vunjabei)...baada ya hapo unatakiwa upige promo jersey iende urudishe pesa yako uliyotoa,kama una team ya watanzania ndo wanasimamia sales lazima wakuibie mpk unyooke.......sasa mtu umetoa more than 8Billion kwa mwaka halafu uanze kuishi kwa presha si bora ukafungue sheli za mafuta tu
Kubari MmeumiaHizi kampeni za Jayruty ni kama za kisiasa hivi,naliona bus tu hapo lakini nalo kwa mbinde sana, hata kama ni mwaka wa uchaguzi kamba zimezidi