Kocha Fadlu ameuza hii mechi dhidi ya Al Masry kutokana na kukosa maamuzi sahihi

Mkono Mmoja

JF-Expert Member
Joined
Jan 26, 2019
Posts
4,994
Reaction score
9,625
Wazee hivi inakuwaje mwenyeji wako anafanya Sub Sita kubadili mabeki, viungo na washambuliaji wake halafu kocha wetu fadlu anang'ang'ania wachezaji wale wale waliochoka?

kulikuwa na ulazima gani Ateba kiroba Mbida kucheza dakika zaidi ya 70 kwenye hii mechi?

Fabrice konokono Ngoma pale kati hakimbii anakabia macho, ball control hana na anatoa pasi zisizo na macho.

Jean charles kitete Ahoua haeleweki anataka kufanya nini pale mbele ila kacheza dakika zote.

Left back wetu Shabalala kakata upepo toka dakika ya 60 ila kocha kalazimisha amalize. Nouma hajapewa hata dk moja.

Dennis anaoanao Kibu anapambana kushikilia mpira dhidi ya wachezaji watatu katikati ya kiwanja bila kuto pasi kwa wenzake ila akiingia kwenye box anajiangusha ovyo.

Backline imekosa commanding figure kama Che Malone ...beki hazizungumzi.

Tumefungwa magoli ya kiboya kwa makosa ya kocha wetu.

Nini kimemzuia Chasambi asicheze leo ili kumpunguzia mzigo Mpanzu?
 
Tatizo hamkwenda uwanjani na BM Coach iliyojaa mashehe, waganga na mbuzi
 
Narudia kusema Simba hatuna kocha
 
Sahihi kabisa. Wote hao uliowataja ndiyo wameiangusha Simba leo.

Kuhusu backline, nadhani kuna changamoto ya lugha kati ya Hamza na Chamou. Sidhani kama Chamou anajua hata kiingereza cha kuombea maji.
 
Back
Top Bottom