Mkono Mmoja
JF-Expert Member
- Jan 26, 2019
- 4,994
- 9,625
- Thread starter
- #21
taarabu hizo😂😂😂 nilijua Fadlu atabebeshwa lawama!! . Mzoea vykunyonga vyakujinja hawezi.

mwarabu anakufa goli 4 kwa mkapa hamtaamini macho yenuKama hao wachezaji wote uliowataja wangetoka sasa hiyo team angecheza nani?
Nyie mwisho wenu robo
tatizo ni GSM Tu haoWazee hivi inakuwaje mwenyeji wako anafanya Sub Sita kubadili mabeki, viungo na washambuliaji wake halafu kocha wetu fadlu anang'ang'ania wachezaji wale wale waliochoka?
kulikuwa na ulazima gani Ateba kiroba Mbida kucheza dakika zaidi ya 70 kwenye hii mechi?
Fabrice konokono Ngoma pale kati hakimbii anakabia macho, ball control hana na anatoa pasi zisizo na macho.
Jean charles kitete Ahoua haeleweki anataka kufanya nini pale mbele ila kacheza dakika zote.
Left back wetu Shabalala kakata upepo toka dakika ya 60 ila kocha kalazimisha amalize. Nouma hajapewa hata dk moja.
Dennis anaoanao Kibu anapambana kushikilia mpira dhidi ya wachezaji watatu katikati ya kiwanja bila kuto pasi kwa wenzake ila akiingia kwenye box anajiangusha ovyo.
Backline imekosa commanding figure kama Che Malone ...beki hazizungumzi.
Tumefungwa magoli ya kiboya kwa makosa ya kocha wetu.
Nini kimemzuia Chasambi asicheze leo ili kumpunguzia mzigo Mpanzu?
Kweli kabisa! Kocha ameuza mechi. Alishindwa vipi kumuanzisha Debora Mavambo mwenye kasi uwanjani, na badala yake akamuamzisha mchezaji mzee na slow kama Ngoma!Wazee hivi inakuwaje mwenyeji wako anafanya Sub Sita kubadili mabeki, viungo na washambuliaji wake halafu kocha wetu fadlu anang'ang'ania wachezaji wale wale waliochoka?
kulikuwa na ulazima gani Ateba kiroba Mbida kucheza dakika zaidi ya 70 kwenye hii mechi?
Fabrice konokono Ngoma pale kati hakimbii anakabia macho, ball control hana na anatoa pasi zisizo na macho.
Jean charles kitete Ahoua haeleweki anataka kufanya nini pale mbele ila kacheza dakika zote.
Left back wetu Shabalala kakata upepo toka dakika ya 60 ila kocha kalazimisha amalize. Nouma hajapewa hata dk moja.
Dennis anaoanao Kibu anapambana kushikilia mpira dhidi ya wachezaji watatu katikati ya kiwanja bila kuto pasi kwa wenzake ila akiingia kwenye box anajiangusha ovyo.
Backline imekosa commanding figure kama Che Malone ...beki hazizungumzi.
Tumefungwa magoli ya kiboya kwa makosa ya kocha wetu.
Nini kimemzuia Chasambi asicheze leo ili kumpunguzia mzigo Mpanzu?
Na jambo la kutia moyo kwenye hicho kilio, kwa mara ya kwanza hakuna sehemu GSM ametajwa kuhusika kwa namna yoyote ile!Hatimaye milio imeanza kusikika
Timu mbovu imekutana na timu mbovu.Ni aibu kubwa.Wazee hivi inakuwaje mwenyeji wako anafanya Sub Sita kubadili mabeki, viungo na washambuliaji wake halafu kocha wetu fadlu anang'ang'ania wachezaji wale wale waliochoka?
kulikuwa na ulazima gani Ateba kiroba Mbida kucheza dakika zaidi ya 70 kwenye hii mechi?
Fabrice konokono Ngoma pale kati hakimbii anakabia macho, ball control hana na anatoa pasi zisizo na macho.
Jean charles kitete Ahoua haeleweki anataka kufanya nini pale mbele ila kacheza dakika zote.
Left back wetu Shabalala kakata upepo toka dakika ya 60 ila kocha kalazimisha amalize. Nouma hajapewa hata dk moja.
Dennis anaoanao Kibu anapambana kushikilia mpira dhidi ya wachezaji watatu katikati ya kiwanja bila kuto pasi kwa wenzake ila akiingia kwenye box anajiangusha ovyo.
Backline imekosa commanding figure kama Che Malone ...beki hazizungumzi.
Tumefungwa magoli ya kiboya kwa makosa ya kocha wetu.
Nini kimemzuia Chasambi asicheze leo ili kumpunguzia mzigo Mpanzu?
Mo ni angeingia ni super sub nzuriKama hao wachezaji wote uliowataja wangetoka sasa hiyo team angecheza nani?
Nyie mwisho wenu robo
Mtajua wenyew na kifadulo chenuWazee hivi inakuwaje mwenyeji wako anafanya Sub Sita kubadili mabeki, viungo na washambuliaji wake halafu kocha wetu fadlu anang'ang'ania wachezaji wale wale waliochoka?
kulikuwa na ulazima gani Ateba kiroba Mbida kucheza dakika zaidi ya 70 kwenye hii mechi?
Fabrice konokono Ngoma pale kati hakimbii anakabia macho, ball control hana na anatoa pasi zisizo na macho.
Jean charles kitete Ahoua haeleweki anataka kufanya nini pale mbele ila kacheza dakika zote.
Left back wetu Shabalala kakata upepo toka dakika ya 60 ila kocha kalazimisha amalize. Nouma hajapewa hata dk moja.
Dennis anaoanao Kibu anapambana kushikilia mpira dhidi ya wachezaji watatu katikati ya kiwanja bila kuto pasi kwa wenzake ila akiingia kwenye box anajiangusha ovyo.
Backline imekosa commanding figure kama Che Malone ...beki hazizungumzi.
Tumefungwa magoli ya kiboya kwa makosa ya kocha wetu.
Nini kimemzuia Chasambi asicheze leo ili kumpunguzia mzigo Mpanzu?
AahaaaaNadhani Simba hawakupata nafasi ya kufanya mazoezi siku moja kabla ya mchezo, wangeshinda tu.
Mtanzania kwa kulalamika? Hapana! Mmefungwa kwa kuwa mmezidiwaWazee hivi inakuwaje mwenyeji wako anafanya Sub Sita kubadili mabeki, viungo na washambuliaji wake halafu kocha wetu fadlu anang'ang'ania wachezaji wale wale waliochoka?
kulikuwa na ulazima gani Ateba kiroba Mbida kucheza dakika zaidi ya 70 kwenye hii mechi?
Fabrice konokono Ngoma pale kati hakimbii anakabia macho, ball control hana na anatoa pasi zisizo na macho.
Jean charles kitete Ahoua haeleweki anataka kufanya nini pale mbele ila kacheza dakika zote.
Left back wetu Shabalala kakata upepo toka dakika ya 60 ila kocha kalazimisha amalize. Nouma hajapewa hata dk moja.
Dennis anaoanao Kibu anapambana kushikilia mpira dhidi ya wachezaji watatu katikati ya kiwanja bila kuto pasi kwa wenzake ila akiingia kwenye box anajiangusha ovyo.
Backline imekosa commanding figure kama Che Malone ...beki hazizungumzi.
Tumefungwa magoli ya kiboya kwa makosa ya kocha wetu.
Nini kimemzuia Chasambi asicheze leo ili kumpunguzia mzigo Mpanzu?
Wapinzani Waliingiza watu wa kumkaba mpanzu, unamulaumu bure kocha wachezaji wamekosa magoli mengi ya wazi tena wao na goli, golikipa wa wapinzani amezuia magoli mengi sana mimi nilimpima kama "Man of the match"Wazee hivi inakuwaje mwenyeji wako anafanya Sub Sita kubadili mabeki, viungo na washambuliaji wake halafu kocha wetu fadlu anang'ang'ania wachezaji wale wale waliochoka?
kulikuwa na ulazima gani Ateba kiroba Mbida kucheza dakika zaidi ya 70 kwenye hii mechi?
Fabrice konokono Ngoma pale kati hakimbii anakabia macho, ball control hana na anatoa pasi zisizo na macho.
Jean charles kitete Ahoua haeleweki anataka kufanya nini pale mbele ila kacheza dakika zote.
Left back wetu Shabalala kakata upepo toka dakika ya 60 ila kocha kalazimisha amalize. Nouma hajapewa hata dk moja.
Dennis anaoanao Kibu anapambana kushikilia mpira dhidi ya wachezaji watatu katikati ya kiwanja bila kuto pasi kwa wenzake ila akiingia kwenye box anajiangusha ovyo.
Backline imekosa commanding figure kama Che Malone ...beki hazizungumzi.
Tumefungwa magoli ya kiboya kwa makosa ya kocha wetu.
Nini kimemzuia Chasambi asicheze leo ili kumpunguzia mzigo Mpanzu?
Wewe ni manala wewe😅😅😅Nimesikitika sana Simba kufungwa mechi hii ila ninapoenda pembeni kidogo nachekelea kwa furaha sana. Naona aibu kwa unafiki huu.