Kocha Fadlu ameuza hii mechi dhidi ya Al Masry kutokana na kukosa maamuzi sahihi

Wana simba msihuzunike simba inaenda kufuzu kwa kishindo kikubwa utopolo wanacheka lakini wakiwa wanaogopa na hofu .... narudi pala pale kibu amekuwa na ubinafsi mkubwa anataka asifiwe sehemu ya kutoa pass anataka apige vyenga poor mentality za kijinga mno anaua run nying za wenzake........

Narudi kwa ateba hakuna striker pale hajui anataka nini wala afanye nini ni striker mbovu mno..
Ohua kacheza vyema pass alitoa ila kufika eneo la mwisho alikuwa na finishing mbovu mno ila kajitahidi..
Camara kadaka kiboya sina budi kusema goli zote mbili yeye ndo kaifungisha simba proffesional kipa huwezi kubali mpira udunde mbele yako kizembe na kirahisi mno
Unaangalia goli la pili unaenda kutemea ule mpira ndani ambapo kuna wachezaji lukuki ulitegemea nini ni upuuzi

Kocha abebeshwe zigo la lawama alikuwa na maamuzi ya kufanya sub ila akala buyu una mavambo nje kimya una mukwala kimya una chasabi kimya......ngoma out mavambo in then ateba out mukwala in kibu out chasabi in shabalal out nouma in akaamua kula buyu sijawai kuelewa huwaga anakomalia dakik 80-88 ndo afanye sub ni ushenzi wa hali juu ....
Tukutane tarehe 9 kuivusha team yetu tusikate tamaa alikufa al ahly alikufa wydad akaja vita horoya , berkane , orlando , kaizer chief aje mtoto mdogo al masry atapigwa kipigo cha kikatili mno wana simba tuungane benjamini mkapa tukaivushe team yetu tuandike historia mpya .... hii tunavuka let go wana lunyasi 🦁
Kuhusu kufanya substitution nadhani usimlaumu kocha. Makocha wengi kwenye game hizi za ugenini huwa wanajua ushindi ni asilimia ndogo sana , hivyo huitumia game hiyo kumsoma mpinzani wake ili wanapokutana nyumbani inakuwa rahisi sana kushinda, na ndio advantage ya kuanzia ugenini .
Tujifunze kwa Al Ahly ambaye mara zote anapoanzia ugenini huwa anatafuta sare japo ukizubaa anakufunga na mkirudiana kwake huwa anakuwa na asilimia 90 za kukufunga.

Ninaamini Fadilu atapanga kikosi ambacho kitapata matokeo makubwa . Hivyo tumlaumu baada ya game ya marudiano
 
Muwe na consistence ya maoni. Leo nyie wa kumsema Fadlu kama asiyefaa?
 
Wana simba msihuzunike simba inaenda kufuzu kwa kishindo kikubwa utopolo wanacheka lakini wakiwa wanaogopa na hofu .... narudi pala pale kibu amekuwa na ubinafsi mkubwa anataka asifiwe sehemu ya kutoa pass anataka apige vyenga poor mentality za kijinga mno anaua run nying za wenzake........

Narudi kwa ateba hakuna striker pale hajui anataka nini wala afanye nini ni striker mbovu mno..
Ohua kacheza vyema pass alitoa ila kufika eneo la mwisho alikuwa na finishing mbovu mno ila kajitahidi..
Camara kadaka kiboya sina budi kusema goli zote mbili yeye ndo kaifungisha simba proffesional kipa huwezi kubali mpira udunde mbele yako kizembe na kirahisi mno
Unaangalia goli la pili unaenda kutemea ule mpira ndani ambapo kuna wachezaji lukuki ulitegemea nini ni upuuzi

Kocha abebeshwe zigo la lawama alikuwa na maamuzi ya kufanya sub ila akala buyu una mavambo nje kimya una mukwala kimya una chasabi kimya......ngoma out mavambo in then ateba out mukwala in kibu out chasabi in shabalal out nouma in akaamua kula buyu sijawai kuelewa huwaga anakomalia dakik 80-88 ndo afanye sub ni ushenzi wa hali juu ....
Tukutane tarehe 9 kuivusha team yetu tusikate tamaa alikufa al ahly alikufa wydad akaja vita horoya , berkane , orlando , kaizer chief aje mtoto mdogo al masry atapigwa kipigo cha kikatili mno wana simba tuungane benjamini mkapa tukaivushe team yetu tuandike historia mpya .... hii tunavuka let go wana lunyasi 🦁
Milio inasikika kupitia matobo yote mwilini🤤🤤🤤
 
Wazee hivi inakuwaje mwenyeji wako anafanya Sub Sita kubadili mabeki, viungo na washambuliaji wake halafu kocha wetu fadlu anang'ang'ania wachezaji wale wale waliochoka?

kulikuwa na ulazima gani Ateba kiroba Mbida kucheza dakika zaidi ya 70 kwenye hii mechi?

Fabrice konokono Ngoma pale kati hakimbii anakabia macho, ball control hana na anatoa pasi zisizo na macho.

Jean charles kitete Ahoua haeleweki anataka kufanya nini pale mbele ila kacheza dakika zote.

Left back wetu Shabalala kakata upepo toka dakika ya 60 ila kocha kalazimisha amalize. Nouma hajapewa hata dk moja.

Dennis anaoanao Kibu anapambana kushikilia mpira dhidi ya wachezaji watatu katikati ya kiwanja bila kuto pasi kwa wenzake ila akiingia kwenye box anajiangusha ovyo.

Backline imekosa commanding figure kama Che Malone ...beki hazizungumzi.

Tumefungwa magoli ya kiboya kwa makosa ya kocha wetu.

Nini kimemzuia Chasambi asicheze leo ili kumpunguzia mzigo Mpanzu?
Sasa mna wachezaji gani wengine waliopo benchi wanawazid hao Simba hamna wachezaji kuna kakikundi ka wapiga dili kamejiorganize kuibia simba
 
Wazee hivi inakuwaje mwenyeji wako anafanya Sub Sita kubadili mabeki, viungo na washambuliaji wake halafu kocha wetu fadlu anang'ang'ania wachezaji wale wale waliochoka?

kulikuwa na ulazima gani Ateba kiroba Mbida kucheza dakika zaidi ya 70 kwenye hii mechi?

Fabrice konokono Ngoma pale kati hakimbii anakabia macho, ball control hana na anatoa pasi zisizo na macho.

Jean charles kitete Ahoua haeleweki anataka kufanya nini pale mbele ila kacheza dakika zote.

Left back wetu Shabalala kakata upepo toka dakika ya 60 ila kocha kalazimisha amalize. Nouma hajapewa hata dk moja.

Dennis anaoanao Kibu anapambana kushikilia mpira dhidi ya wachezaji watatu katikati ya kiwanja bila kuto pasi kwa wenzake ila akiingia kwenye box anajiangusha ovyo.

Backline imekosa commanding figure kama Che Malone ...beki hazizungumzi.

Tumefungwa magoli ya kiboya kwa makosa ya kocha wetu.

Nini kimemzuia Chasambi asicheze leo ili kumpunguzia mzigo Mpanzu?
Unamuogopa Camara? sema wazi tu Camara kafungisha ma goal yote mawili kwanini unazunguka zunguka, ingelikuwa Manula kadaka najuwa angetukanwa humu lakini kila mtu kaona Camara katoa goal mbili zawadi. Bet kampuni zichunguzwe mimi sijui mambo ya bet nisaidieni tu bet ilikuwa vipi huko?
 
Wachezaji pia ni wabinafsi....simba kikundi cha wahuni tu...jitu linataka lifunge lenyewe wakati kuna mwenzie ana nafasi nzuri tu ampasie mpira
 
Tukumbushane tu, Almasry ina miaka 105 na haijawahi kushinda league ya Egypt ni mara moja tu wamewahi kushinda Egypt cup kibongo ni kama CRDB Cup tena 1998.
 
Huwa nafurahi sana nikiona makolo wakiteseka, ukweli ni kwamba mna timu mbovu sana, ijapokua mmefanyiwa uhuni wa kunyimwa penati ya wazi kabisa.
Hata Al Masry walinyimwa penalt pale mwanzoni ya wazi kabisa
 
Ile ilikuwa sio penalty bali mchezaji alijigonga mwenyew kweny mguu akakosa stamina penalty gani uwe refa uwek kirahis ila tutawabomoa tu acha kelele ziwe nyingi saivi
 
Huwa nafurahi sana nikiona makolo wakiteseka, ukweli ni kwamba mna timu mbovu sana, ijapokua mmefanyiwa uhuni wa kunyimwa penati ya wazi kabisa.
Penati gani timu inapewa kwa mchezaji aliyopo katika eneo la kuotea? Wakati wanafanya marudio hamkuangalia?
 
Kocha Falu John alikula mkwanja wa GSM ndio maana alichelewa kumtoa Ateba wowowoo
 
Unamuogopa Camara? sema wazi tu Camara kafungisha ma goal yote mawili kwanini unazunguka zunguka, ingelikuwa Manula kadaka najuwa angetukanwa humu lakini kila mtu kaona Camara katoa goal mbili zawadi. Bet kampuni zichunguzwe mimi sijui mambo ya bet nisaidieni tu bet ilikuwa vipi huko?
Halafu angekuwa Manula asingefungwa magoal kama yale.
 
Hili kombe tulifika finally tulikosa ubingwa kwa sheria. Nyie robo finally mnaanza kutumia calculator.
 
Wazee hivi inakuwaje mwenyeji wako anafanya Sub Sita kubadili mabeki, viungo na washambuliaji wake halafu kocha wetu fadlu anang'ang'ania wachezaji wale wale waliochoka?

kulikuwa na ulazima gani Ateba kiroba Mbida kucheza dakika zaidi ya 70 kwenye hii mechi?

Fabrice konokono Ngoma pale kati hakimbii anakabia macho, ball control hana na anatoa pasi zisizo na macho.

Jean charles kitete Ahoua haeleweki anataka kufanya nini pale mbele ila kacheza dakika zote.

Left back wetu Shabalala kakata upepo toka dakika ya 60 ila kocha kalazimisha amalize. Nouma hajapewa hata dk moja.

Dennis anaoanao Kibu anapambana kushikilia mpira dhidi ya wachezaji watatu katikati ya kiwanja bila kuto pasi kwa wenzake ila akiingia kwenye box anajiangusha ovyo.

Backline imekosa commanding figure kama Che Malone ...beki hazizungumzi.

Tumefungwa magoli ya kiboya kwa makosa ya kocha wetu.

Nini kimemzuia Chasambi asicheze leo ili kumpunguzia mzigo Mpanzu?
shida kila mtu anataka kuwa kocha
 
Wakulaumiwa ni huyo aliekubali kupeleka timu uwanjani ilhali anatambua kua Chefondo malone hajawa fiti.
 
Back
Top Bottom