Exy
JF-Expert Member
- Feb 7, 2022
- 4,835
- 8,418
😂😂 Ndio mnazoimbataarabu hizo
😂😂 Ndio mnazoimbataarabu hizo
Sawa lufufu umelewekaPenati gani timu inapewa kwa mchezaji aliyopo katika eneo la kuotea? Wakati wanafanya marudio hamkuangalia?
Nilichelewa kuicheki hii mechi tokea mwanzo, kikubwa mwakarobo keshatoka.Hata Al Masry walinyimwa penalt pale mwanzoni ya wazi kabisa
kwani umesahau hizi ndo hatua zao za mwisho kwenye mashindano ya kimataifaWazee hivi inakuwaje mwenyeji wako anafanya Sub Sita kubadili mabeki, viungo na washambuliaji wake halafu kocha wetu fadlu anang'ang'ania wachezaji wale wale waliochoka?
kulikuwa na ulazima gani Ateba kiroba Mbida kucheza dakika zaidi ya 70 kwenye hii mechi?
Fabrice konokono Ngoma pale kati hakimbii anakabia macho, ball control hana na anatoa pasi zisizo na macho.
Jean charles kitete Ahoua haeleweki anataka kufanya nini pale mbele ila kacheza dakika zote.
Left back wetu Shabalala kakata upepo toka dakika ya 60 ila kocha kalazimisha amalize. Nouma hajapewa hata dk moja.
Dennis anaoanao Kibu anapambana kushikilia mpira dhidi ya wachezaji watatu katikati ya kiwanja bila kuto pasi kwa wenzake ila akiingia kwenye box anajiangusha ovyo.
Backline imekosa commanding figure kama Che Malone ...beki hazizungumzi.
Tumefungwa magoli ya kiboya kwa makosa ya kocha wetu.
Nini kimemzuia Chasambi asicheze leo ili kumpunguzia mzigo Mpanzu?
Wewe kweli mbumbumbuWazee hivi inakuwaje mwenyeji wako anafanya Sub Sita kubadili mabeki, viungo na washambuliaji wake halafu kocha wetu fadlu anang'ang'ania wachezaji wale wale waliochoka?
kulikuwa na ulazima gani Ateba kiroba Mbida kucheza dakika zaidi ya 70 kwenye hii mechi?
Fabrice konokono Ngoma pale kati hakimbii anakabia macho, ball control hana na anatoa pasi zisizo na macho.
Jean charles kitete Ahoua haeleweki anataka kufanya nini pale mbele ila kacheza dakika zote.
Left back wetu Shabalala kakata upepo toka dakika ya 60 ila kocha kalazimisha amalize. Nouma hajapewa hata dk moja.
Dennis anaoanao Kibu anapambana kushikilia mpira dhidi ya wachezaji watatu katikati ya kiwanja bila kuto pasi kwa wenzake ila akiingia kwenye box anajiangusha ovyo.
Backline imekosa commanding figure kama Che Malone ...beki hazizungumzi.
Tumefungwa magoli ya kiboya kwa makosa ya kocha wetu.
Nini kimemzuia Chasambi asicheze leo ili kumpunguzia mzigo Mpanzu?
Kabisa kabisaNilichelewa kuicheki hii mechi tokea mwanzo, kikubwa mwakarobo keshatoka.
tena si washafanya tayar ndio hao kina Ateba. debora.Mukwala.CamaraSimba inahitaji overhaul kubwa ya kikosi, kama inataka kurudi kwenye daraja lake
Dah hapo kinu mngangania mpira inaniumiza ety anasubir waarabu 6 apigr cheng wwakatu wengn washaruf kulinda nashaur next match kibu ateba wasianzeKama hao wachezaji wote uliowataja wangetoka sasa hiyo team angecheza nani?
Nyie mwisho wenu robo
Simba haikuzidiwa bali wale wametumia mbinu ya kuvizia kupata magoli.Mtanzania kwa kulalamika? Hapana! Mmefungwa kwa kuwa mmezidiwa
Napokea sifa zako Dada yangu GOAT.Wewe kweli mbumbumbu
ishu ilikuwa kuangalia utimamu wa wachezaji kadri muda unavyozidi kwenda...Kuna muda kabla ya half time na dakika 20 baada ya Half time mwarabu alikuwa ameshakata ringi , Simba inakuja muda wote kutaka goli. Kocha wao akastuka akaanza kutoa wachezaji waliochoka na kuingiza wengine wapya wakati kocha wetu kasimama tu.Kuhusu kufanya substitution nadhani usimlaumu kocha. Makocha wengi kwenye game hizi za ugenini huwa wanajua ushindi ni asilimia ndogo sana , hivyo huitumia game hiyo kumsoma mpinzani wake ili wanapokutana nyumbani inakuwa rahisi sana kushinda, na ndio advantage ya kuanzia ugenini .
Tujifunze kwa Al Ahly ambaye mara zote anapoanzia ugenini huwa anatafuta sare japo ukizubaa anakufunga na mkirudiana kwake huwa anakuwa na asilimia 90 za kukufunga.
Ninaamini Fadilu atapanga kikosi ambacho kitapata matokeo makubwa . Hivyo tumlaumu baada ya game ya marudiano
😂😂😂😂Sahihi kabisa. Wote hao uliowataja ndiyo wameiangusha Simba leo.
Kuhusu backline, nadhani kuna changamoto ya lugha kati ya Hamza na Chamou. Sidhani kama Chamou anajua hata kiingereza cha kuombea maji.
Manula kisha fungwa goal 5 japo hayakuwa magoal mabaya lakini kilichompata tunajuwa. Huyu Camara kafungisha lakini hakuna mtu wa kumyoshea kidole, inatokea kipa kuwa na game mbaya ila tusibague tuwaseme wote au tawaache wote. Camara kafungisha jana simple.Halafu angekuwa Manula asingefungwa magoal kama yale.
Hawawezi kuipeleka Simba mbalitena si washafanya tayar ndio hao kina Ateba. debora.Mukwala.Camara
Simba inahitaji nusu ya wachezaji.Simba inahitaji overhaul kubwa ya kikosi, kama inataka kurudi kwenye daraja lake
Mshambuliaji mzuri, mviziaji mzuri mwenye sharp eyes ya kuliona lango Kwa haraka na kufanya maamuzi ya haraka piaSimba inahitaji nusu ya wachezaji.
Chukua wachezaji A class kama wa5 uone .
Kiungo wa shoka mkabaji,Pacha wake box to box,Winga kulia,Namba 10 ya maana kwelikweli na mashambuliaji mwenye kiu ya mafanikio zaidi ya Medie Kagere wa enzi hizo.