Kocha Fadlu ameuza hii mechi dhidi ya Al Masry kutokana na kukosa maamuzi sahihi

Kosa labda alicheza open game ugenini, angeenda na mkakati wa kupata suluhu ugenini ingekuwa sawa, au angezuia kipindi cha kwanza kwa kufanya counter attack au cha pili kufunguka
 
Wazee hivi inakuwaje mwenyeji wako anafanya Sub Sita kubadili mabeki, viungo na washambuliaji wake halafu kocha wetu fadlu anang'ang'ania wachezaji wale wale waliochoka?

kulikuwa na ulazima gani Ateba kiroba Mbida kucheza dakika zaidi ya 70 kwenye hii mechi?

Fabrice konokono Ngoma pale kati hakimbii anakabia macho, ball control hana na anatoa pasi zisizo na macho.

Jean charles kitete Ahoua haeleweki anataka kufanya nini pale mbele ila kacheza dakika zote.

Left back wetu Shabalala kakata upepo toka dakika ya 60 ila kocha kalazimisha amalize. Nouma hajapewa hata dk moja.

Dennis anaoanao Kibu anapambana kushikilia mpira dhidi ya wachezaji watatu katikati ya kiwanja bila kuto pasi kwa wenzake ila akiingia kwenye box anajiangusha ovyo.

Backline imekosa commanding figure kama Che Malone ...beki hazizungumzi.

Tumefungwa magoli ya kiboya kwa makosa ya kocha wetu.

Nini kimemzuia Chasambi asicheze leo ili kumpunguzia mzigo Mpanzu?
Ukiona wengine wanashindwa kucheza unaingia wewe!
 
Sio Fadlu bana, aliyetuponza sisi thimba aka makolo ni GSM
 
Unamuogopa Camara? sema wazi tu Camara kafungisha ma goal yote mawili kwanini unazunguka zunguka, ingelikuwa Manula kadaka najuwa angetukanwa humu lakini kila mtu kaona Camara katoa goal mbili zawadi. Bet kampuni zichunguzwe mimi sijui mambo ya bet nisaidieni tu bet ilikuwa vipi huko?
Camara asilaumiwe.
Wakulaumiwa ni viongozi kumpangia kocha ampange mtu ambae bado hajapona vizuri. Pale amecheza kwa msaada wa dawa za maumivu lakini hawajui kua ndio wanazidi kumvunja.
 
Wazee hivi inakuwaje mwenyeji wako anafanya Sub Sita kubadili mabeki, viungo na washambuliaji wake halafu kocha wetu fadlu anang'ang'ania wachezaji wale wale waliochoka?

kulikuwa na ulazima gani Ateba kiroba Mbida kucheza dakika zaidi ya 70 kwenye hii mechi?

Fabrice konokono Ngoma pale kati hakimbii anakabia macho, ball control hana na anatoa pasi zisizo na macho.

Jean charles kitete Ahoua haeleweki anataka kufanya nini pale mbele ila kacheza dakika zote.

Left back wetu Shabalala kakata upepo toka dakika ya 60 ila kocha kalazimisha amalize. Nouma hajapewa hata dk moja.

Dennis anaoanao Kibu anapambana kushikilia mpira dhidi ya wachezaji watatu katikati ya kiwanja bila kuto pasi kwa wenzake ila akiingia kwenye box anajiangusha ovyo.

Backline imekosa commanding figure kama Che Malone ...beki hazizungumzi.

Tumefungwa magoli ya kiboya kwa makosa ya kocha wetu.

Nini kimemzuia Chasambi asicheze leo ili kumpunguzia mzigo Mpanzu?
Kilichowaponza vitu vingi. Ubinafsi kila mtu anataka kufunga. Kukaa na mpira muda bila kuwa na sababu ni kupiteza muda ni kufanya timu mpinzani ije kujilinda.Simba imekosa Quality ya mchezaji mmoja mmoja.
 
Back
Top Bottom