Kama kumbu kumbu zangu zipo sawa haya mambo ya CAF kuzingatia aina vyeti ilianza msimu uliopita ambapo Nabi alikuwepo na alisimama katika michezo yote miwili dhidi ya Rivers united. Sasa ujasiri wa kusema hana vyeti stahiki mnautoa wapi?Kwamba pro hana vyeti yaan bashte au kilaza na yale makelele yote ya uto au bas
Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
Elewa hoja yangu. Sheria ya CAF kuzingatia aina vyeti ilianza msimu upi? Je wakati wanazingatia hiyo sheria vipi kuhusu Nabi alikutwa na changamoto kama ya Gomes? Kama aliguswa maanake nae hakuwa na aina ya cheti kinachotakiwa na CAF ila kama sheria haikumgusa maanake alikidhi vigezo vya CAF. Hivyo ishu inayoletwa humu itakuwa haina uhalisia kwa kusema Nabi hana vigezoWe jamaa mbona unakuwa kama mtoto ambae hawezi kuchambua mambo kwa umakini?
Unaleta sababu za kwanini Nabu alikuwa kwenye benchi msimu uliopita, vipi Gomes Da Rosa ambaye aliiongoza Simba Sc kwenye michezo kadhaa ya CAF kisha baadae akakosa vigezo?
Aiseeh[emoji23]
Caf waliongeza viwango vya makocha wanaotakiwa kwenye benchi la ufundi kama head coach na walitakiwa waka upgrade leseni zao sasa mbona gomez alikuwa mwazo anakaa kama head coach vilipokuja viwango vipya ikawa hajakidhi ikawa inakaa benchi ndo hvyo kulia kupokezana.Kwahio Nabi kipindi yupo Elmarekh alikua anatumia Leseni ya Mgunda?
Caf waliwataka makocha wakaongeze sifa kwani Gomez hajawahi kuwa head coach kwenye Caf champions league kwa nn sasa last season aliambiwa hana sifa na alikaa jukwaani.Kama kumbu kumbu zangu zipo sawa haya mambo ya CAF kuzingatia aina vyeti ilianza msimu uliopita ambapo Nabi alikuwepo na alisimama katika michezo yote miwili dhidi ya Rivers united. Sasa ujasiri wa kusema hana vyeti stahiki mnautoa wapi?
Nguruwe pori kaaibika maana hajui kuweka akiba ya maneno yule.Kwamba pro hana vyeti yaan bashte au kilaza na yale makelele yote ya uto au bas
Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
Kumbe ni last season ndio kapata kashikashi sio? Haya je hiyo last season ambapo Gomes kapata hilo sekeseke la vyeti je Yanga hawakushiriki klabu bingwa? Kocha alikuwa nani? Je huyo kocha alikutwa na seke seke kama la Gomes katika msimu huo ambayo CAF walioanisha aina ya vyeti?Caf waliwataka makocha wakaongeze sifa kwani Gomez hajawahi kuwa head coach kwenye Caf champions league kwa nn sasa last season aliambiwa hana sifa na alikaa jukwaani.
Mechi mbili dhidi ya Rivers United msimu uliopita Nabi hakuwepo Yanga??Caf waliwataka makocha wakaongeze sifa kwani Gomez hajawahi kuwa head coach kwenye Caf champions league kwa nn sasa last season aliambiwa hana sifa na alikaa jukwaani.
Habari za huyo mwendawazimu unaziamini?
Chanzo cha taarifa ni kipi au kazumari mwenye USO kama limao?Ingekuwa ni TFF ndio imetoa hilo tamko mngesema mnaonewa
Haya nao CAF wamewala vichwa utasemaje?
Wewe unawatu ?Hilo swali ni kama unamuomba msamaha Mgunda
Watu wa nnWewe unawatu ?
Hao pumbavu tu,Mechi mbili dhidi ya Rivers United msimu uliopita Nabi hakuwepo Yanga??
Karma is bitch
Hivi kumbe source ya habari ni uyo punguwani? Nakuahakikishia kesho Nabi atakuwepo kama kawaida
Hao CAF wapi wametoa hilo tamko? Hiyo yenu labda itakuwa CUF ya lipumbaIngekuwa ni TFF ndio imetoa hilo tamko mngesema mnaonewa
Haya nao CAF wamewala vichwa utasemaje?
Yaan huyo jamaa mwenye autism ndo mmemtumia kama chanzo kueneza huu ugoro hapa
Hawa washa data wanataka kila linalowakuta tufanane naoIwe Kaze au iwe Nabi, wote makocha wa Yanga ambao washakuwa na timu kwa muda mrefu...
Huwezi ifananisha situation ya Simba ya hadi kukopa kocha, na hii ya Utopolo ambayo benchi la ukocha ni lilelile...