Kocha wa Makipa Simba SC na wengine 8 wakamatwa na Dawa za Kulevya
Inhekuwa kwa wenzetu huko mbona balaa kubwa kwanza sponsors wote wanapull out maana hawataki kuhusishwa na vitu kama hivyo.

Pale kwenye timu za u17 kulijwa na vijana kutoka cambiaso so napo watu wangetia mguu tff. Ila huku kwetu kesho kutwa tuu business as usual
True true mwenyekiti wa wala mbususu. Huku kwetu yataisha kama mengine yote yalivyoisha.

Ila tafuta hela ushikilie zigo kama la alhaji wa kambiaso. Si unajua anasukuma zigo la Sanchoka?
 
Na wanamichezo hawakaguliwi...... ukiona wamebeba mipira mingi wakishuka tu airport mipira wakubwa wanaichukua fasta..... muulize Mwameja aligoma kuwapa mpira waliposhuka airport.........wakambembeleza na kumpa chake ndiyo akawapa mpira
Duh mkuu hawakaguliwi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwahiyo zile scanner zote wanapita tu.
 
True true mwenyekiti wala mbususu. Huku kwetu yataisha kama mengine yote yalivyoisha.

Ila tafuta hela ushikilie zigo kama la alhaji wa kambiaso. Si unajua anasukuma zigo la Sanchoka?
Usiniambie....jamaa alikuwa nakata mauno kwenye mzigo wote ule...kwa kweli amefaidi. Hayo ndio matumizi mazuri ya pesa. Gegeda warembo.

Tusitaniane ata mie sijapata opportunity tuu lakini hii biashara dili kinoma faida 500% unaiachaje jameni wakati maisha ya kilimo mvua hamna. Ukija kwenye maofisi watu ni konection tuu. Bora ujilipue tuu huko angalau miaka mitatu ya maisha yako nawe useme yulikojelea pazuri🤣🤣🤣🤣
 
Mimi wakati nasoma kichwa cha habari, kwenye news alert nilitamani pawe tetesi.

Swali la kujiuliza madogo wa kambiaso wamepona kwenye "kutumwa tumwa" kweli? Bora watu wa simba ni watu wazima kila mtu ana akili timamu anaweza kuchagua kujihusisha au kutokujihusisha kwa hiari yake mwenyewe.
Umenibadilishia avator.
Kidumu chama, wadumu ma don, wadumu punda wote. Nipo nafatilia kuona kama the don Kambiaso hakuwa na kadi ya chama.
 
Kama inajulikana kwa muda wote huo kwanini wasikamatwe na kuwajibishwa?

Unajua Vijana wa ngapi wameingia kwenye Uraibu wa hayo Madawa na kuua ndoto zao nyingi
Mbona mnawakadia tuu hao watu kuharibu ndoto za vijana, je viongozi nao wameharibu ndoto za vijana wangapi...tena perhaps wao ndio kisababishi cha vijana kuingia huko
 
Natumaini wataenda kustarehe kwenye mahabusu maalumu ya watu wa madawa ya kulevya iliyokiwa inajadiliwa na Bunge.
 
Maskini magu kaondoka wamerudi Tena kwa fujo kuwaaribu watoto wetu kwa kujiingiza ktk michezo Tena hili likifika FIFA Simba wawez kupigwa rungu

Ajabu Ni waislmu karibu 99%
 
Mbona mnawakadia tuu hao watu kuharibu ndoto za vijana, je viongozi nao wameharibu ndoto za vijana wangapi...tena perhaps wao ndio kisababishi cha vijana kuingia huko
Kuna baadhi ya ndoto hata ukiwa Mtu mzima Sana bado unaweza kuzitimiza ila muhimu uwe na afya njema na akili timamu.

Ila ukishakuwa mtumiaji wa Madawa ya Kulevya unaweza Kuta ikawa tiketi yako ya Kutofikia mafanikio yako.

Biashara hiyo hata kama inafanywa na Viongozi wa Serikali bado ni jukumu letu kuipigia kelele ili ikome Mkuu.
 
Ukiwa na riziki za uharamia toeni ushauri na maoni yenye kujenga, kuimarisha fikra na mitazomo ya watawala na chama chao, sas unakuwa wa matopeni na unajifnya unakosoa they tape na ur gone. Tubadilike tule kwa urefu wa kamba tutosheke na chetu
 
Back
Top Bottom