Kocha wa Makipa Simba SC na wengine 8 wakamatwa na Dawa za Kulevya
Kocha wa makipa simba mbaroni kwa kukutwa na dawa za kulevya aina ya heroine.

Sambamba na boss wa Cambiaso

================


Kocha huyo, Mwalami Sultan ni kati ya watuhumiwa 9 akiwemo Mmiliki wa Kambiaso Sports Academy, Alhaj Kambi Zubeir Seif wanadaiwa kukutwa na dawa za kulevya aina ya Heroin zenye Kilo 34.89.

Kamishna Jenerali wa Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya Tanzania (DCEA), Gerald Kusaya Kusaya amesema watuhumiwa wote wamekamatwa katika maeneo mbalimbali ndani ya nchi katika Operesheni iliyofanyika Oktoba, mwanzoni na Novemba 2022.

View attachment 2417370View attachment 2417371
moja ya biashara chafu zinazofanyika kwenye mpira wa miguu ni HII BIASHARA YA MADAWA YA KULEVYA(DRUGS), YA PILI NI HUMAN TRAFFICKING, YA TATU NI GAMBLING, YA NNE NI MONEY LAUNDERING, YA TANO NI MATCH FIXING.. NOTE: Hii biashara ya tano vilabu vyote vya kibongo inaitumia japo inategemea na mfuko wa timu husika ilikuwa Uto msimu wote uliopita wamekuja kuacha kuanzia mechi ya Kagera..
 
Cambiaso mtoto wa wailes, ulikuwa muda tu alijificha na uwekezaji wa dala dala, malori, shamba la ngombe kule kisarawe two, Cambiaso academy chini ya kundi la kampuni inaitwa safia group.

Alianza kujihusisha na UNGA kipindi wale wa Pakistan walivunja rekodi ya kukamatwa na madawa kule Tanga na kutoroka pale mahakama ya kisutu chini ya ulinzi mkali(kwa kifupi walitoroshwa) na ishu ilimuhusisha marehemu jaji Upendo Msuya.

Alijificha kwenye uwekezaji, alikuwa gwiji wa utakatishaji pesa na huyu Mwarami sijajua kaingiaje lakini hawa wote ni watoto wamezaliwa na kukulia pale mitaa ya wailes uwanja wa TEMEKE SQUAQ karibu na baa maarufu ya BULIAGA.

Kundi moja na TIKO TIKO alikamatwa kipindi cha MAGUFULI.

Kwa Leo nimeishia hapa.
Buliaga ya mtaa wa Likwati karibu na Temeke mwisho kwasasa inaitwa Kisuma.
Pale Temeke squad Ndipo walipotoka Mlage wa Kabange,Ally Machela, Ramdhani Leny, Edward Chumila n.k
 
Buliaga ya mtaa wa Likwati karibu na Temeke mwisho kwasasa inaitwa Kisuma.
Pale Temeke squad Ndipo walipotoka Mlage wa Kabange,Ally Machela, Ramdhani Leny, Edward Chumila n.k
Hapo hapo mkuu.

Upo sahihi na huyu Kambi ndio mzaliwa na alishacheza mpira
 
Kwa lile Bata la Wachezaji wa Cambiaso Soccer Academy, Hadhi yao na Mengineyo sishangai leo kusikia kuwa kumbe Mmiliki ni Drug Baron na anashirikiana na Watu wengine.

Shikamoo sana Kocha wa sasa wa Kagera Sugar FC Mecky Mexime ( ambaye ulikuwa Kocha wa Cambiaso Soccer Academy) kwa kuwa Mjanja, Kushtuka, kutoa Ushirikiano na kusepa Mapema kabka ya Msala Kukukuta.
pamoja na kocha wa makolo
 
Kocha wa makipa simba mbaroni kwa kukutwa na dawa za kulevya aina ya heroine.

Sambamba na boss wa Cambiaso

================


Kocha huyo, Mwalami Sultan ni kati ya watuhumiwa 9 akiwemo Mmiliki wa Kambiaso Sports Academy, Alhaj Kambi Zubeir Seif wanadaiwa kukutwa na dawa za kulevya aina ya Heroin zenye Kilo 34.89.

Kamishna Jenerali wa Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya Tanzania (DCEA), Gerald Kusaya Kusaya amesema watuhumiwa wote wamekamatwa katika maeneo mbalimbali ndani ya nchi katika Operesheni iliyofanyika Oktoba, mwanzoni na Novemba 2022.

View attachment 2417370View attachment 2417371
Watu wengi wa masaki na osterbay nje watu ndani nyoka! Kyna jirani yangu mmoja hapa upanga anabadilisha magari kila siku na si hizo kama ist zenu ni hizi ranger rover jana amenunua land discover namba E halafu ana biashara ya kipuuzi tu kariakoo
 
Kwani lini haikuwepo?
Juzi nilipohudhuria Live band hapo DSM na kuona sijui Mapendeshee yanatajwa Tena kwenye nyimbo zile nilianza kuhisi hii biashara ya Madawa Haina muda mrefu inaanza.

Hongereni Mamlaka kuweza kuwakamata hao Wahusika ila muhimu wasije kuhonga pesa na kuachiliwa.
 
Mimi wakati nasoma kichwa cha habari, kwenye news alert nilitamani pawe tetesi.

Swali la kujiuliza madogo wa kambiaso wamepona kwenye "kutumwa tumwa" kweli? Bora watu wa simba ni watu wazima kila mtu ana akili timamu anaweza kuchagua kujihusisha au kutokujihusisha kwa hiari yake mwenyewe.
Inhekuwa kwa wenzetu huko mbona balaa kubwa kwanza sponsors wote wanapull out maana hawataki kuhusishwa na vitu kama hivyo.

Pale kwenye timu za u17 kulijwa na vijana kutoka cambiaso so napo watu wangetia mguu tff. Ila huku kwetu kesho kutwa tuu business as usual
 
#HABARI Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya nchini imewakamata watuhumiwa 9 wakiwa na dawa za kulevya aina ya heroin kg 34.89 ambapo miongoni mwa watuhumiwa hao ni pamoja na Muharami Sultan ambaye ni kocha wa magolikipa wa timu ya @SimbaSCTanzania
pamoja na Kambi Zuber Seif maarufu kama Cambiasso.

#EastAfricaRadio
https://t.co/JtJMiS3ulE
Mzigo huu wa 34kg billion ngapi huko mtaani?
 

Simba's goal keeping coach Muharami Said Mohammed Sultan among those being held​


Tanzania’s Drug Control Enforcement Authority (DCEA) has arrested 11 suspects including Simba’s goalkeeping coach Muharami Sultan (40) for allegedly being in possession of 34.89kg of heroin and 50 biscuits made from marijuana.

Speaking at a press conference,the Commissioner General of DCEA ,Gerald Kusaya named the other suspects as owner of Cambiasso Sports Academy in Tuangoma, Kambi Zuberi seif, Said Matwiko a resident of Magole, Maulid Mzungu aka Mbonde(54) a resident of Kisemvule and John John aka Chipanda(40) a scout at Cambiasso Sports Academy.

The others are Rajabu Dahabu (32) a resident of Tabata, Seleman Matola Said (24) a resident of Temeke Wailes, Hussein Pazi (24) a businessman and Ramadhani Chalamila (27) a resident of Kongowe.
 
Back
Top Bottom