Kocha wa Makipa Simba SC na wengine 8 wakamatwa na Dawa za Kulevya
Sio mchezo wa kuchafuana huu baada ya kushindwana au kupandishiana mabega?

Waliotuhumia kubeba hiyo biashara na wengine kukamatwa kipindi fulani si ndo waliachiwa HURU kisha siku ile akasema "wanasema nimewaachiwa, muende mkawachunguze huko"?

Si ndo hao hao lakini wanaotajwa huku uswahilini kuwa wanaoendesha kila kitu kivulini au?

Tycoon A anazamisha Tycoon B ili amiliki territory, walisema kipindi kile. Pengine misimu 4 ile Tycoon A alipiga mpunga, sasa Tycoon B karudi kwenye kiti, anamaliza kabisaa
 
Nimepata jibu la ile sare ya juzi na wananchi,ngada fc wanatia aibu
 
[emoji23]

Ndio mkurugenzi wa safia group of companies na ofisi zao zipo Posta.

Jamaa ni bilionea wa shilling Nashangaa alishatajirika na kawekeza vya kutosha na alishakamatwa sana lakini bado alikuwa muuza ngada.
Aiseee, ndo anapoteza vyote maana DCEA watataifisha
 
Sio mchezo wa kuchafuana huu baada ya kushindwana au kupandishiana mabega?

Waliotuhumia kubeba hiyo biashara na wengine kukamatwa kipindi fulani si ndo waliachiwa HURU kisha siku ile akasema "wanasema nimewaachiwa, muende mkawachunguze huko"?

Si ndo hao hao lakini wanaotajwa huku uswahilini kuwa wanaoendesha kila kitu kivulini au?

Tycoon A anazamisha Tycoon B ili amiliki territory, walisema kipindi kile. Pengine misimu 4 ile Tycoon A alipiga mpunga, sasa Tycoon B karudi kwenye kiti, anamaliza kabisaa
GSM hawezi mzamisha METL sababu wako kwenye industry tofauti
 
Back
Top Bottom