Kocha wa Makipa Simba SC na wengine 8 wakamatwa na Dawa za Kulevya
Cambiaso mtoto wa wailes, ulikuwa muda tu alijificha na uwekezaji wa dala dala, malori, shamba la ngombe kule kisarawe two, Cambiaso academy chini ya kundi la kampuni inaitwa safia group.

Alianza kujihusisha na UNGA kipindi wale wa Pakistan walivunja rekodi ya kukamatwa na madawa kule Tanga na kutoroka pale mahakama ya kisutu chini ya ulinzi mkali(kwa kifupi walitoroshwa) na ishu ilimuhusisha marehemu jaji Upendo Msuya.

Alijificha kwenye uwekezaji, alikuwa gwiji wa utakatishaji pesa na huyu Mwarami sijajua kaingiaje lakini hawa wote ni watoto wamezaliwa na kukulia pale mitaa ya wailes uwanja wa TEMEKE SQUAD karibu na baa maarufu ya BULIAGA.

Kundi moja na TIKO TIKO alikamatwa kipindi cha MAGUFULI.

Kwa Leo nimeishia hapa.
 
Cambiaso mtoto wa wailes, ulikuwa muda tu alijificha na uwekezaji wa dala dala, malori, shamba la ngombe kule kisarawe two, Cambiaso academy chini ya kundi la kampuni inaitwa safia group.

Alianza kujihusisha na UNGA kipindi wale wa Pakistan walivunja rekodi ya kukamatwa na madawa kule Tanga na kutoroka pale mahakama ya kisutu chini ya ulinzi mkali(kwa kifupi walitoroshwa) na ishu ilimuhusisha marehemu jaji Upendo Msuya.

Alijificha kwenye uwekezaji, alikuwa gwiji wa utakatishaji pesa na huyu Mwarami sijajua kaingiaje lakini hawa wote ni watoto wamezaliwa na kukulia pale mitaa ya wailes uwanja wa TEMEKE SQUAQ karibu na baa maarufu ya BULIAGA.

you are very right , huyu jamaa sio mara ya kwanza kukamatwa na hizo ishu
 
Hapa Dar kunakipindi unaweza kujiuliza unafail wapi maisha mbona watu wanasukuma tu mandika makali na kula bata ilihali kazi wanazofanya hata wewe ukiangalia kipato unawadhidi..

Una kajamaa hakana kazi ya kueleweka mjini kanaungaunga tu ila wewe una income constant ya hata 6mil/month lakini maisha yako yataabu tu ilihali vijamaa vinashine tu na kila weekend ni mwendo wa bata dah KWELI MJINI MIPANGO.
 
Cambiaso mtoto wa wailes, ulikuwa muda tu alijificha na uwekezaji wa dala dala, malori, shamba la ngombe kule kisarawe two, Cambiaso academy chini ya kundi la kampuni inaitwa safia group.

Alianza kujihusisha na UNGA kipindi wale wa Pakistan walivunja rekodi ya kukamatwa na madawa kule Tanga na kutoroka pale mahakama ya kisutu chini ya ulinzi mkali(kwa kifupi walitoroshwa) na ishu ilimuhusisha marehemu jaji Upendo Msuya.

Alijificha kwenye uwekezaji, alikuwa gwiji wa utakatishaji pesa na huyu Mwarami sijajua kaingiaje lakini hawa wote ni watoto wamezaliwa na kukulia pale mitaa ya wailes uwanja wa TEMEKE SQUAQ karibu na baa maarufu ya BULIAGA.

Kundi moja na TIKO TIKO alikamatwa kipindi cha MAGUFULI.

Kwa Leo nimeishia hapa.
Duh!
IMG-20220927-WA0000.jpg
 
Pembeni yake kuna uwanja wa mchanga

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Cambiaso mtoto wa wailes, ulikuwa muda tu alijificha na uwekezaji wa dala dala, malori, shamba la ngombe kule kisarawe two, Cambiaso academy chini ya kundi la kampuni inaitwa safia group.

Alianza kujihusisha na UNGA kipindi wale wa Pakistan walivunja rekodi ya kukamatwa na madawa kule Tanga na kutoroka pale mahakama ya kisutu chini ya ulinzi mkali(kwa kifupi walitoroshwa) na ishu ilimuhusisha marehemu jaji Upendo Msuya.

Alijificha kwenye uwekezaji, alikuwa gwiji wa utakatishaji pesa na huyu Mwarami sijajua kaingiaje lakini hawa wote ni watoto wamezaliwa na kukulia pale mitaa ya wailes uwanja wa TEMEKE SQUAQ karibu na baa maarufu ya BULIAGA.

Kundi moja na TIKO TIKO alikamatwa kipindi cha MAGUFULI.

Kwa Leo nimeishia hapa.
Watu mnajua watu
 
Itabidi mtulie tu sasa hadi nyongo ziishe. [emoji1787][emoji1787]
Unafurahia sababu watu wanaoharibu vijana wetu kwa madawa ya kulevya wametiwa mbaroni au unafurahia sababu umeona anatokea simba, nijibu ili nijue wewe ni aina ya mwanamke mwenye akili mbovu au unajielewa.
 
Back
Top Bottom