Kocha wa Makipa Simba SC na wengine 8 wakamatwa na Dawa za Kulevya
Bdo Eddo Kumwembe, Siku zake zinahesabika Kale Kabinti Kaandishi ka Habari Kwa Mwananchi Some1 Kulangwa amekula mvua ya miaka 40 jera huko Italy
Duuu, Vituo vya Redio navyo vimekuwa sehemu ya Money Loundering. Watu wanajificha humo kumbe wanapiga deal haramu. Naona na mzee wa Jambia naye ameanza kwenda Uropu. Kitenge anaenda, Oscar Oscar anaenda.
 
Huyo Cambiasso Mange alishawahi kumnyooshea kidole.Yametimia.

Huyu jamaa mbona alishawi kukamatwa na ishu hizo ila akaachiwa kimizengwe

 
Ile mechi ya Simba vs Yangu nilishangaa sana ile nguvu Simba waliyokuwa nayo siku ile waliitoa wapi mpaka kupata sare. Ila tuiache serikali ifanye kazi yake.
 
Zile safari za wachambuzi wa soka Europe na USA huwa najiulizaga sana zile gharama nani analipa na ananufaika na nini.

Bongo mambo mengi hayaendelei maana sio halisi ni vichaka vya watu kujifichia na mwisho wa siku ndio wanacontrol business kwa maslahi yao, Wauza Unga toka enzi za FAT ndio wamiliki wa chama cha soka, Simba na Yanga + baadhi ya vilabu vya soka Tanzania ni mali ya hawa wahuni ndio maana kila jambo lazima wawe na maslahi nalo kwanza ndio lifanyike kwenye soka au kwenye hizo team.

Kuna mambo Bongo ukitaka kudeal nayo lazima uvae sura ya mbuzi na uhakikishe baadhi ya watu wanakufa, wanakwenda jela, kujeruhiwa au kupotea...bila hayo ni kumpigia mbuzi gitaa tu.
 
Kocha wa makipa simba mbaroni kwa kukutwa na dawa za kulevya aina ya heroine.

Sambamba na boss wa Cambiaso

================


Kocha huyo, Mwalami Sultan ni kati ya watuhumiwa 9 akiwemo Mmiliki wa Kambiaso Sports Academy, Alhaj Kambi Zubeir Seif wanadaiwa kukutwa na dawa za kulevya aina ya Heroin zenye Kilo 34.89.

Kamishna Jenerali wa Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya Tanzania (DCEA), Gerald Kusaya Kusaya amesema watuhumiwa wote wamekamatwa katika maeneo mbalimbali ndani ya nchi katika Operesheni iliyofanyika Oktoba, mwanzoni na Novemba 2022.

View attachment 2417370View attachment 2417371
mjini Mipango mingi sana kama yote, usione mtu anapush rickshow na showoffs kibao kwenye Jamii. mjini mipango
 
Back
Top Bottom