Infantry Soldier
JF-Expert Member
- Feb 18, 2012
- 15,892
- 16,476
Ngoja waje kukwambia una wivu kwa maana wewe hauna hayo magari na majumba ya kifahari.Duuh! Saa ingine unaeza shangaa huyu mtu mbona ana mafanikio tena yale makubwa kumbe yamegubikwa na ujanja ujanja tu, siku yakifurumuka ndio inakuwa kama hivi.
Respect to all who own clean money. Sio kila tajiri ni mhalifu.