Kocha wa Makipa Simba SC na wengine 8 wakamatwa na Dawa za Kulevya
Juzi nilipohudhuria Live band hapo DSM na kuona sijui Mapendeshee yanatajwa Tena kwenye nyimbo zile nilianza kuhisi hii biashara ya Madawa Haina muda mrefu inaanza.

Hongereni Mamlaka kuweza kuwakamata hao Wahusika ila muhimu wasije kuhonga pesa na kuachiliwa.
Acha wivu na husuda wewe mimi bosi wangu(hakika aishi miaka mingi) ni pedeshee mkubwa sana hapa mjini mocimbou de playa ila hana biashara za unga na anaimbwa mno
 
Halafu huyu kocha wa makipa si ndio huwa wanatumia mipira mingi sana kwenye mazoezi..kwahiyo inawezekana ikawa wakisafiri..anyway sijui nilitaka nisemeje.!
Umeeleweka Sana [emoji38] kwa waliosoma Cuba tu
 
Ulevi wa Simba na Yanga nalo ni tatizo lingine kubwa sana
Haujakosea mkuu, na kweli ni ULEVI, hauna tofauti na heroin au ngada wanavyowaita simba kwa sasa...
Fikiria akili za shabiki maandazi wa yanga, furaha yake sio kwamba tunaokoa watoto wetu na watu wa aina hio ( wauza madawa), ila furaha yake ni neno simba sc, kwamba mtu anayefundisha simba sc, hio ndio furaha yake, sasa hio ni addiction mbaya sana.
 
Hapo tutabishana milele, wanakaguliwa vizuri tu. Ili mzigo upite pale lazima scanner asiwe makini
mzigo wa boss unajulikana narudia tena ukiona mzigo umekamatwa ujue kuna watu wamechomana no way unaweza kukamatwa na kingine usichokijua watu awamezi kete now, wanabeba kwenye begi kama wewe unavyobeba nguo na mtu akamatwi, kuanzia polisi mpaka watu wa scanner wanajua nini kinachoendlea naomba niishie apo.
 
😂

Ndio mkurugenzi wa safia group of companies na ofisi zao zipo Posta.

Jamaa ni bilionea wa shilling Nashangaa alishatajirika na kawekeza vya kutosha na alishakamatwa sana lakini bado alikuwa muuza ngada.
Waliotajirika kwa biashara ya madawa ya kulevya si rahisi kuacha. Hakuna nyengine yenye faida kama hiyo.
 
[emoji23]

Ndio mkurugenzi wa safia group of companies na ofisi zao zipo Posta.

Jamaa ni bilionea wa shilling Nashangaa alishatajirika na kawekeza vya kutosha na alishakamatwa sana lakini bado alikuwa muuza ngada.
Kweli pesa haitoshi, aisee
 
Natamani isiwe habari yenye ukweli maana.

Mbona mjini hapatakalika
Mimi wakati nasoma kichwa cha habari, kwenye news alert nilitamani pawe tetesi.

Swali la kujiuliza madogo wa kambiaso wamepona kwenye "kutumwa tumwa" kweli? Bora watu wa simba ni watu wazima kila mtu ana akili timamu anaweza kuchagua kujihusisha au kutokujihusisha kwa hiari yake mwenyewe.
 
Back
Top Bottom