Haya sasa ndio maneno...vijana tusiumize vichwa get rich or die trying. Jamaa amekula mema ya nchi...aisee zigo lote lile alikuwa analipakata hadi raha 🤣🤣🤣🤣🤣
 
Unaweza Kuta hii biashara ina chain ya Viongozi 🙌
Biashara ya madawa kwenye nchi zote duniani viongozi wanahusika. Wee angalia program moja national geographic uwasikie wauza unga wanavyosema wenyewe. Wanakwambia kabisa sie tunaongea ili public ijue hao wanauwatumainia kuwasaidia kupambana na hili janga la madawa ndio kwanza mstari wa mbele katika kufanikisha hii biashara
 
Duuh! Saa ingine unaweza shangaa huyu mtu mbona ana mafanikio tena yale makubwa ambayo ameyapata kwa muda mfupi kumbe yamegubikwa na ujanja ujanja tu, siku yakifurumuka ndio inakuwa kama hivi.
Nchi bila nyala za Serikali,wizi,kukwepa Kodi,unga na magendo hutoboi maana hata makodi Ni mengi mnoo.
 
Oya sikia sikia nimekatisha mtaani hapa kuna mdau ni Pusha mzOefu namaanisha ni Pusha mzOefu miaka na miaka anasambaza, anauza na ana vijana wanasambaza na Polisi wanamjua na wanamfahamu kabisa kabisa na hua wanakuja kumtembelea mara kwa mara nasikia hua wanakuja kuchukua mgao wao, how does this happen kwa hawa au dili limebuma wamegoma kutoa mgao kwa Polisi au nini kimewakuta?
 
Mkuu mshahara 6 Mil na bado maisha yako ya tabu? Wazee nyie mnaishi Mykonos, Malaysia au hii hii TZ?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tupe kitaa hicho,mwana🚶
 
Ndio shida inapo anzia hapo, tuna mfumo ambao haujitegemei. Mwenye kitu chake ni rahisi ku disturb mfumo kwa mapindikizi, kuna mahala kuna mtu unakuta anajulikana ila ananunua watu wote wenye sauti katika eneo flani
Yaani mtu anaangalia upande mmoja wa kupata Utajiri tu kupitia Madawa ya Kulevya ila haangalii hasara anayoitengeneza kwa Taifa kwa Kuzalisha Wateja.

Hii Vita inahitaji watu wenye maamuzi magumu kama JPM kuweza kuufyeka Mtandao.

Mungu asaidie kuponya Vizazi vyetu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…