Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unaweza Kuta hii biashara ina chain ya Viongozi 🙌Mfumo 😢 compromised
Kuna kumudu na kuna kumudiwa..Poti wangu kusaya naona kaanza kupamudu hapo..
Tunakaguliwa mkuu. Kama kawaida hakuna exceptionsVIP naye anakaguliwa pia, waulize wanao tumia izo VIP kama uwa awakaguliwi
[emoji23][emoji23][emoji23] kwamba ndio mbebaji mkuuSasa naanza kuelewa kwa nini mzamiru anaitwa kiungo punda
Ndio shida inapo anzia hapo, tuna mfumo ambao haujitegemei. Mwenye kitu chake ni rahisi ku disturb mfumo kwa mapindikizi, kuna mahala kuna mtu unakuta anajulikana ila ananunua watu wote wenye sauti katika eneo flaniUnaweza Kuta hii biashara ina chain ya Viongozi 🙌
Haya sasa ndio maneno...vijana tusiumize vichwa get rich or die trying. Jamaa amekula mema ya nchi...aisee zigo lote lile alikuwa analipakata hadi raha 🤣🤣🤣🤣🤣NAFIKIRI SASA NDIO WAKATI MUAFAKA WA KWENDA KUMPA POLE YULE DADA SANCHOKA, BAADA YA BWANA WAKE HUYO ALIEMBADILISHA MPAKA AKASLIMU NA KUFUTA PICHA ZAKE ZA AJABU AJABU KULE INSTAGRAM KUKAMATWA.
KUUA HII BIASHARA BADO KUNA KAZI SANA, MAANA HAKUNA MWANADAMU ASIEPENDA KULA MAISHA MAZURI YA KIFAHARI NA MTOTO MZURI KAMA SANCHOKA.
Biashara ya madawa kwenye nchi zote duniani viongozi wanahusika. Wee angalia program moja national geographic uwasikie wauza unga wanavyosema wenyewe. Wanakwambia kabisa sie tunaongea ili public ijue hao wanauwatumainia kuwasaidia kupambana na hili janga la madawa ndio kwanza mstari wa mbele katika kufanikisha hii biasharaUnaweza Kuta hii biashara ina chain ya Viongozi 🙌
Nchi bila nyala za Serikali,wizi,kukwepa Kodi,unga na magendo hutoboi maana hata makodi Ni mengi mnoo.Duuh! Saa ingine unaweza shangaa huyu mtu mbona ana mafanikio tena yale makubwa ambayo ameyapata kwa muda mfupi kumbe yamegubikwa na ujanja ujanja tu, siku yakifurumuka ndio inakuwa kama hivi.
Unamita akabebe mzigo au,mbona wito wa juhudi namna huyo😄😄😄
Mkuu mshahara 6 Mil na bado maisha yako ya tabu? Wazee nyie mnaishi Mykonos, Malaysia au hii hii TZ?Hapa Dar kunakipindi unaweza kujiuliza unafail wapi maisha mbona watu wanasukuma tu mandika makali na kula bata ilihali kazi wanazofanya hata wewe ukiangalia kipato unawadhidi..
Una kajamaa hakana kazi ya kueleweka mjini kanaungaunga tu ila wewe una income constant ya hata 6mil/month lakini maisha yako yataabu tu ilihali vijamaa vinashine tu na kila weekend ni mwendo wa bata dah KWELI MJINI MIPANGO.
Tupe kitaa hicho,mwana🚶Oya sikia sikia nimekatisha mtaani hapa kuna mdau ni Pusha mzOefu namaanisha ni Pusha mzOefu miaka na miaka anasambaza, anauza na ana vijana wanasambaza na Polisi wanamjua na wanamfahamu kabisa kabisa na hua wanakuja kumtembelea mara kwa mara nasikia hua wanakuja kuchukua mgao wao, how does this happen kwa hawa au dili limebuma wamegoma kutoa mgao kwa Polisi au nini kimewakuta?
Sijakuelewa mkuu? Nikupe nini?Tupe kitaa hicho,mwana🚶
Tumetembelea Pusha huyo😄Sijakuelewa mkuu? Nikupe nini?
Ndio vile tena, tushapata jina jipya mjini....UNGA FC, hebu twende Entertaiment kule tukaendelee na story
Yaani mtu anaangalia upande mmoja wa kupata Utajiri tu kupitia Madawa ya Kulevya ila haangalii hasara anayoitengeneza kwa Taifa kwa Kuzalisha Wateja.Ndio shida inapo anzia hapo, tuna mfumo ambao haujitegemei. Mwenye kitu chake ni rahisi ku disturb mfumo kwa mapindikizi, kuna mahala kuna mtu unakuta anajulikana ila ananunua watu wote wenye sauti katika eneo flani