Duuh! Saa ingine unaeza shangaa huyu mtu mbona ana mafanikio tena yale makubwa kumbe yamegubikwa na ujanja ujanja tu, siku yakifurumuka ndio inakuwa kama hivi.
Ngoja waje kukwambia una wivu kwa maana wewe hauna hayo magari na majumba ya kifahari.

Respect to all who own clean money. Sio kila tajiri ni mhalifu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…