Kocha wa Makipa Simba SC na wengine 8 wakamatwa na Dawa za Kulevya
Ila madawa hapana kwakweli. Huyo apelekwe panapostahili hatutaki akae kwa timu yetu.
 
Huu mtandao ni mkubwa uyo aliyekamatwa ni kidagaa tu kuna watu matajiri tanzania hii wanaviwanda na makampuni makubwa biashara hii ndio imewatoa na bado wanaendelea kuifanya izo zingine ni vihini macho tu ukipewa story zao utasikia eti walianza kushona viatu na leo hii mabilionea[emoji16][emoji16]
Kumbe zile story zao za kuwa wameanzia kuuza maandazi ni geresha?

Ukiwakuta kwenye Makanisa/Misikiti yao wanavyotoa Sadaka na misaada utasema ni Watakatifu
 
Mwarami Said Mohamed Sultan mchezaji wa zamani wa Taifa Stars, Simba SC, Clube Ferroviário de Maputo ya Mozambique pia Ferroviario za Pemba na Nampula zote za Mozambique.

AT THURSDAY, NOVEMBER 26, 2009

Huyu ndiye kipa mpya wa timu ya taifa ya bara a.k.a Kilimanjaro Stars Mohamed Mwalami anayechezea klabu ya Ferroviaro ya Maputo, Msumbiji. Anachukua nafasi ya kipa Shaaban Dihile ambaye ametemwa.

Kipa mwingine ni Shaaban Kado wa Mtibwa Sugar. Kwa habari kamili ya kikosi kinachoondoka asubuhi hii kuelekea Kenya kwenye michuano ya Chalenji inayoanza Jumamosi 28, 2009.​

18 Jul 2014​

KIPA SIMBA SC ABWAGA MANYANGA​

Na Prince Akbar, DAR ES SALAAM
KIPA wa zamani wa kimataifa wa Tanzania na klabu ya Simba, Mwarami Mohammed ‘Shilton’ amestaafu soka na sasa anataka kuwa kocha.

Mwarami mwenye umri wa miaka 35, amesema kwamba ameona bora kutungika glavu zake kwa heshima kwa sababu umri umeenda.

“Nimecheza kwa muda mrefu, tangu mwaka 1997 nacheza Ligi Kuu, ni miaka mingi na ninaona mwili umechoka. Ni wakati wa kupumzika kwa heshima sasa,”amesema.
Mwarami Mohamed amestaafu soka
Mwarami amestaafu akiwa anachezea Ferroviario de Maputo ya Msumbiji ambayo alijiunga nayo baada ya kuchezea Ferroviario za Pemba na Nampula.

Kabla ya kwenda Msumbiji, nchini Tanzania, Mwarami alichezea timu za Coastal Union ya Tanga, Simba SC ya Dar es Slaam, Kariakoo United ya Lindi na Reli Morogoro.

“Nataka kuwa kocha, nimeanza kuafuatilia vyuo vya kwenda kusomea ukocha, lakini kwanza nitapata kozi za awali hapa hapa nchini kwa kuanzia,”alisema

 
Lakini ndiyo tunamaliza nguvu kazi ya Taifa hivyo.

Huku Ushoga kule Madawa ya Kulevya mwisho wa Siku tunakuwa na Taifa lenye Vijana ombaomba tu
Vijana clean bado wapo wa kutosha tu..mtu akiwa shoga anapunguza nguvu kazi kwa kiasi ambacho ni negligible
 
Hakuna utajiri halali mzee ,utauoataje sasa? Lazima uzulumu ila ndio ujue Kuna kifo na jela.

Hata biashara ya mafuta hamna halali, meli zinazolete mafuta hua wanasimama Deepsea wanashusha mzigo unauzwa kimagendo kwanza ndio huo unachukuliwa unaingizwa sokoni bei chee, dunia nzima biashara nyingi ni uharamia, watu wanalenga faida na sio maneno
 
Oya sikia sikia nimekatisha mtaani hapa kuna mdau ni Pusha mzOefu namaanisha ni Pusha mzOefu miaka na miaka anasambaza, anauza na ana vijana wanasambaza na Polisi wanamjua na wanamfahamu kabisa kabisa na hua wanakuja kumtembelea mara kwa mara nasikia hua wanakuja kuchukua mgao wao, how does this happen kwa hawa au dili limebuma wamegoma kutoa mgao kwa Polisi au nini kimewakuta?
Wana zima issue ya majaliwa kuvunja mlango wa ndege Kwa kasia (mwiko).
NI swala la muda , watatoka wote
 
04 JANUARI 2021
CAMBIASSO SPORTS, YAIBUA KIPAJA KINGINE SOKA LA VIJANA

 
Back
Top Bottom