Kocha mkuu huwezi kumpangia alale chumba kimoja na Mgunda, Hii ilisababisha kocha alale na tracksuit zake mpaka asubuhi. Kwakifupi kocha hakupata usingizi, saa 9 Alfajir Alisha waaambia Uongozi watamkuta Airport kusubiria kurudi DAR wakitokea Dodoma.[emoji28][emoji28][emoji28]
 
Mgunda Sukuma Guruduma Simba Imara Sana
 
Thamani ya kocha mpya ilishushwa pale alipotambulishwa Gereji[emoji3][emoji3]
 
Hahaha wabongo wanajua kuchonga...
 
Hiyo milioni unayo sasa?
 
GENTAMYCINE mapema sana tena hapa hapa JamiiForums NILIONYA kuwa kama analetwa Kocha Mpya na Mgeni basi hakikisheni hawa Wazawa na Waswahili Wenzetu tunaowajua ni Mabingwa wa Majungu, Fitna, Wivu na Uchawi ( Ushirikina ) wasibakie kwani Watamharibia na Kumhujumu hamkunisikia na sasa niliyoyatabiri mapema tu yametimia au yanaenda Kutimia.

Ipo Siku mtanijengea Sanamu hapa!!
 
Sababu kubwa mbona Rage alishaisema..!! UMBUMBUMBU.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…