Twende na Mgunda sasa kama wewe ni masantura kaa kwa kutulia
 
Hahahahaa au basi...
 
Kocha anawaambieni Kwake Yeye ndani ya Simba SC hakuna Nyota ( Galacha ) na Nidhamu ndiyo Kipaumbele chake Viongozi wazima mnamwambia kama hampangi Chama basi achague Kuondoka na sasa Kawaonyesheni kuwa hatishwi na Pesa zenu bali anaheshimu Vyeti vyake.

Na mlivyo Wapuuzi huyu mnayemtishia na Kumlazimisha ampange Chama Wenu kuna Timu Kubwa Tatu Barani Afrika zinamtaka tena kwa Pesa nyingi kuliko zenu mnazompa kwa Kujichangisha wakati mnadai Boss kaweka Tsh 20 Billion na MBet wameweka Tsh 26 Billion.

Chama wenu angekuwa mzuri na mahiri kama mnavyomuimba kila Siku hivi Klabu Kubwa na Tajiri kama ya FC Berkane ingemuacha tena ikiwa chini ya Kocha Fundi na Mtaalam kabisa Florent Ibenge?

Simba SC ina Uongozi mbovu sana.
 
Kuna mpya gani tena? Kocha amefukuzwa au kuna nini kimetokea?
Kawaambia Simba SC yake hakuna Nyota ( Galacha ) na kwamba Kwake Yeye Wachezaji wote ni sawa Wanamwambia tena kwa Kumtisha kuwa Chama ndiyo Simba SC hivyo achague abakie Yeye au Chama na kaamua kuwaonyesha kuwa hatishwi halafu anatokea katika Taifa ambalo Soka / Fabo / Ndiki ndiyo Nyumbani ( Makao Makuu ) yake Kudadadeki.
 
Mkuu! Kwahiyo kocha hatunaye tena!?
 
Kocha anawaambieni Kwake Yeye ndani ya Simba SC hakuna Nyota ( Galacha ) na Nidhamu ndiyo Kipaumbele chake Viongozi wazima mnamwambia kama hampangi Chama basi achague Kuondoka na sasa Kawaonyesheni kuwa hatishwi
Tupo bize na kampeni
 

"Uto wameruka kama migambo pale Lupaso" mwisho wa kunukuu.

Hao uto unaosema wameruka ruka wametawala mpira kwa zaidi ya possession ya asilimia 70.
Wamepiga pasi zaidi ya 200
Wametengeneza nafasi zaidi ya 5
Na mwisho mashabiki tuka enjoy burudani ya mpira biriani

Tuje kwenu sasa.
Kwa Mkapa timu ipo pungufu mnapelekwa mputa mputa
Dodoma jiji nao wakawapelekea moto hadi mnaomba mpira uishe. Je yupi aliyeruka ruka?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…