Yanga jana wametembeza boli sana tu ila wamepata ushindi bila kufunga goli. Muwe mna tabia ya kuheshimu taaluma za watu.Jamani huyu kizee mm simuelewi naona kama kaja kuiharibu timu
Marakumi hata gadiola mnene ulikua unaona kbs bolll linatembea lkn nao hatuna tofauti na wachezaji wa utopolo wenye mabusha
Naona una taarifa za ndaaaaaniii kabisa za Simba ww mgosi ambazo hata club yako ya Yanga haunazoKwa ujanja ujanja na ubabaishaji uliokithiri ndani ya hiyo klabu yake mpya, hakika atasafiri sana kwenda huko Brazil kwa sababu za kifamilia.
Imagine mpaka leo Mgosi mwenzangu pale klabuni hana mkataba wa kueleweka! Yaani karibia mwaka unaisha huu, anafanyishwa kazi kama deiwaka na Mwamedi! Yule Muharami naye ilikuwa ni hivyo hivyo. Timu imejaa uswahili na ujanja ujanja, mwanzo mwisho!!
Fanya utafiti wa hoja zinazoletwa na Utopolo kuhusu Simba ni nyingi zaidi kuliko hoja zinazohusu klabu yao.Naona una taarifa za ndaaaaaniii kabisa za Simba ww mgosi ambazo hata club yako ya Yanga haunazo
Hakuwaita wachezaji manyani.Aliwaita wapenzi wa Yanga manyani.Msimsingizie.sidhani kama simba walishawahi kupata kocha kama huyu. nadhani huyu anafanana na yule mbelgiji aliyewaita wachezaji wa tanzania manyani.
nadhani huwa wanakuja afu wanafanya vimbwanga watimuliwe walipwe mpunga waondoke. sio bure. hapo anatafuta mpunga wa kuachishwa kazi simba.Hakuwaita wachezaji manyani.Aliwaita wapenzi wa Yanga manyani.Msimsingizie.
Sijui wanafanana vipi?Kwa sura sidhani!
Msimbazi tumekwamaHahaha wabongo wanajua kuchonga...
Katika pitapita zangu siku za hivi karibuni huku mitandaoni nimegundua baada ya mechi na Ruvu Shooting, mashabiki wa Yanga hawapendi style ya boli litembee wanayotumia sasa. Uliona jinsi walivyohuzunishwa na timu yao pamoja na kuwa na possession zaidi ya 70%. Kumbuka kutandaza mpira ndiyo ilionekana kama ndiyo sahihi kwa timu zote mbili.Tatizo la Simba ni kwamba wamebadilisha Kocha timu ikiwa inafanya vizur, hii itamgharimu sana Kocha mpya hasa pale matokeo yatakavyokuwa sivyo ndivyo.
Wewe kinachokuuma nini kwani unajua makubaliano yao au wewe unajua sana kuliko Mgunda mwenyewe? Tatizo unajifanya mjuaji sana kumbe mweupe tu oya oya tuKwa ujanja ujanja na ubabaishaji uliokithiri ndani ya hiyo klabu yake mpya, hakika atasafiri sana kwenda huko Brazil kwa sababu za kifamilia.
Imagine mpaka leo Mgosi mwenzangu pale klabuni hana mkataba wa kueleweka! Yaani karibia mwaka unaisha huu, anafanyishwa kazi kama deiwaka na Mwamedi! Yule Muharami naye ilikuwa ni hivyo hivyo. Timu imejaa uswahili na ujanja ujanja, mwanzo mwisho!!
Huko Yanga wote mazuzu tuFeisal Salum nae aliondoka kwa kulazimishwa kumpikia Morisson?Feisal pia mtu wa pwani.
Akili za Utopolo wanazijua wenyewe.Manara hakukosea kusema wenye akili ni baba yake na Mzee Kikwete.Naanza kuona mantiki ya hoja yake.
We mbumbumbu kua na adabuHuko Yanga wote mazuzu tu
Bro huu ni umbea uliopitiliza.Kumbe ana sup [emoji23][emoji23]View attachment 2501005
Mbumbumbu mamakoWe mbumbumbu kua na adabu
Get a life.Utataka kujua na anakuja na ndege gani?Leo ndio siku iliyoahidiwa kuwa atarejea.