Siingilii uhuru wa mahakama ,ila naiamuru mahakama itoa amri mwigulu akamatwe na afungwe jiwe kubwa la kusagia akutupwe baharini anaupiga mwingi kwenye miamala yetu yakuungaunga.
Niainishie hizo kodi nimpe instructions wakili afungue kesiHAPANA, sio kwa kodi za kitapeli.
Tuko tayari kulipa kodi zote stahiki lakini sio kodi za dhuluma zisizofuata kanuni za kiuchumi.
Huwezi ukalipa kodi tatu kwenye muamala mmoja! Hakunaga uchumi wa aina hiyo!
Hahaha kweli mkuu amepoteza hadhi ya kufungwa jiwe la kusagiaNi matumizi mabaya ya jiwe la kusagia, afungwe kwenye kiroba kisha atupwe ufukweni tu.
Nichangieni nikafungue kesi.Nikiacha kutumia miamala nitumie makalio yako!?
Hujui tunaishi mjini kwa biashara za MPESA? Zikifa?
Umekaa tu kwa ku relax unasubiri kuuza papuchi!! weweee!!! Ungekuwa karibu ningekutandika mpaka!
Eti kesi,unamfungulia wapi?Kwahio msingi wa kesi unakuwa ni kitu gani hapo meko!?
Kesi ya nyani hakimu ngedere 😂😂😂😅😅😅😂
Wanetegemea BUNDUKI kama walivyompitisha JiweHizi ni dalili za Maza kuanguka 2025
Wapuuzi mko wengi sana polenihapo tayari umesha changia mwanao au mtoto wa ndugu yako akapate elimu bora, pia umesaidia ndugu yako popote alipo apate huduma bora hospitalini.
usijutie makato hayo, utafurahia huduma za afya, elimu na barabara.
mjenga nchi ni mwananchi, tujenge nchi yetu.
Wapumbaf hao ndio mtaji wa cccmKuna mijitu mapumbavu yanaamini mma anahujumiwa eti
Kwanini kuwanunua akina Lipumba uliwafanya niniwatanzania hawana tatizo na makato ila tunacho kitaka ni fedha hizi zisichezewe, isitokee watu kuzidokoa.
Huwezi ukawa cccm ukaikwepa dhulumaHalafu si nilimsikiaga anasema yeye hataki kodi za dhulma?
Au nilikuwa naota?
Inaonyesha hatuna bunge wala wabunge haya ndo madhara ya ushindi wa kishindo 2020 hakuna wa kuchanganua bajeti wao ni rubber stamp ya kupitisha kila kinacholetwa ila nina uhakika siku ukiletwa mswada wa kupinguza posho za wabunge hapo ndo watasema hapanawatanzania hawana tatizo na makato ila tunacho kitaka ni fedha hizi zisichezewe, isitokee watu kuzidokoa.
serikali iwe makini tu kwenye malengo.
watanzania tuko tayari na tunaendelea kutoa kodi.
kamwe serikali isipumbazwe na kelele za wapinga maendeleo ambao wana dhamiri ya kusumbua awamu hii ya 6.
serikali iwe imara isikubali kuyumba wala kuyumbishwa.
wabunge wetu ambao ndio wawakilishi wetu bungeni wamejadili na kuona umuhimu na faida tutakayo ipata kutokana na kodi hizi.
mjenge nchi ni mwananchi maenyewe.
tusikilize maneneo wanasiasa wasaka tonge.
Kodi unazotozwa zinapelekwa wapi miaka yote hiyo mpaka uje uongezewe ya uzalendo?Kafungue kesi mjomba. Mimi tayari nalipa kodi ya uzalendo ikajenge barabara kijijini kwetu malinyi niuze mpunga wangu kwa uarahisi.
Mbunge gani kachaguliwa na wananchi hapo.Kuna kodi za kuchochea maendeleo na kuna kodi za kuchochea umasikini.watanzania hawana tatizo na makato ila tunacho kitaka ni fedha hizi zisichezewe, isitokee watu kuzidokoa.
serikali iwe makini tu kwenye malengo.
watanzania tuko tayari na tunaendelea kutoa kodi.
kamwe serikali isipumbazwe na kelele za wapinga maendeleo ambao wana dhamiri ya kusumbua awamu hii ya 6.
serikali iwe imara isikubali kuyumba wala kuyumbishwa.
wabunge wetu ambao ndio wawakilishi wetu bungeni wamejadili na kuona umuhimu na faida tutakayo ipata kutokana na kodi hizi.
mjenge nchi ni mwananchi maenyewe.
tusikilize maneneo wanasiasa wasaka tonge.
We Mwigulu Nchemba uhuni wako mwisho 2025.watanzania hawana tatizo na makato ila tunacho kitaka ni fedha hizi zisichezewe, isitokee watu kuzidokoa.