Kodi mpya za miamala: Mahakama iweke zuio la haraka

Wewe kama nani hadi uwasemee watanzania wote?. Hata kipindi cha ukoloni kuna wapuuzi kama wewe ambao walikua wakiitikia kila kitu ambacho mkoloni alikua anakileta bila kutofautisha faida na hasara ya jambo husika. Eti watanzania hawana tatizo na makato kwani wewe ndie muwakilishi wao?. Kama watanzania hawana shida na makato iweje nchi mzima mada kuu iliyopo ni malalamiko ya makato haya au wewe huko uliko unaishi polini?. Mbona watanzania wanalipa kodi nyingi sana kila siku hivi hujiulizi iweje makato haya yanapigiwa kelele?.

Jitahidi hata kidogo kuficha upumbavu wako mbele za watu.
 
Jamani tunafungua nchi tulieni tumewapa demokrasia pigeni story mitandaoni

Maskini wamerudi kuwa mashetani mamaeeeee

Matajiri piga keleleeee[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Hayo matawi ya CCM yana kitu?
 
Huyo anaishi kwa shemeji yake
 
Mimi ningelielewa bunge Kama lingekuja na pendekexo la Kila mtu mwenye umri zaidi ya miaka 18 kulipa Kodi labda ya sh. 1000 kwa mwaka kwa ajili ya kuisaidia serikali kukamilisha mipango yake ya maendeleo kwa faida ya Kila mtanzania. Wakati huo viongozi waonyeshe kwa vitendo uzalendo kwa kuzitumia fedha hizo kwa uadilifu. Hizi za kwenye miamala Kwanza haitakuwa rahisi zijulikane kiuwazi ni sh. ngapi zitakusanywa Kwani hakuna anayejua ni miamala mingapi itafanyika. Uzalendo ni lazima limguse Kila mtanzania na kwa kiwango kinachofanana. Pia uzalendo ni lazima utanguliwe na mafundo. Lazima watanzania wote wafundwe kuwa wazalendo na waone matunda ya kuwa wazalendo.
 
Ukweli wa katiba ya viraka utajulikana. Tuombe mawakili waungane kuondoa hii tozo. Huyu waziri ana nuksi. Kila mahali anapowekwe lazima nchi nzima iwe na stress.
 
Kwahio msingi wa kesi unakuwa ni kitu gani hapo meko!?

Kesi ya nyani hakimu ngedere πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜‚
Hata hivyo kesi itakuwa haina mashiko kwamba unaishitaki Jamhuri kwa Kuanzisha kodi au tozo au? Kwani kodi ni dhambi au ni kinyume na sheria?

Mwambie jamaa alipe kodi hakuna maendeleo ya mkato mkato, Serikali haiwezi kupunguza hili na miamala inaendelea kama kawaida
 
Changia maendeleo ya nchi yako. Kumbuka corona ipo na inaua...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…