Kombe la Dunia Qatar sheria lukuki zinazidi kumiminika, FIFA wayakanyaga

lakini mkuu kule wanaenda kucheki boli.kwahio wameona haina haja yakupoteza muda kuandaa sehem za wanywa pombe,walakitimoto namachoko wakati Hilo siolengo na wameona haina haja.
 
Hakuna muislam anayekula Kitimoto, sema unakutana na Wasukuma wanaotumia majina yanayitumiwa zaidi na waislam kusema wanakula kitimoto.
Hahahahaha wako wengi tuu tunakula nao, tupo na mmoja wenu right now tunakula kitimoto na anakipenda kwelikweli
 
Makampuni ya pombe yaliamini wao ndo wenye pesa ndefu na bila wao hakuna mashindano.. Wameonyeshwa jeuri ya pesa ya mafuta na gas.
Mpunga umewekwa mpaka wamepoteana.
 
Makampuni ya pombe yaliamini wao ndo wenye pesa ndefu na bila wao hakuna mashindano.. Wameonyeshwa jeuri ya pesa ya mafuta na gas.
Mpunga umewekwa mpaka wamepoteana.
Story za vijiweni bwana
 
Wao wangekuwa wanaandaa mashindano ya dini tu hiyo michezo inayokusanya dunia nzima waachie wenyewe, wao wawe wanaenda kucheza tu huko kwa wengine.

Sent using Jamii Forums mobile app
Wajikite kwenye mashindano ya Quraan, maswala ya kuzuia kitimoto na pombe ni ujinga, though kwenye ushoga naungana nao.
 
Pelekeni ushoga Roman huko Qatar hawataki pombe na ushoga mmeshikwa pabaya safari hii wakristo
 
Sasa waarabu na starehe wapi na wapi, eti Quatar wanafungua mashindano kwa kupambana na Ecuador hakuna anayejua kwamba Quatar nao wanacheza mpira.

Michezo sio utamaduni wa waarabu na ndio maana vile vikundi vya kigaidi vyote haviruhusu michezo kwenyedoctrine   yao.
 
Wewe unatukana dini za wengine basi na sisi tutaanza kuuliza kama watakubali wanaobaka watoto wa miaka sita waruhusiwe kuhudhuria kwenye mashindano.
Huyu jamaa ni mwehu sana Kama warabu wanaona maisha kwao ni mazuri na kitakatifu basi wasililie kwenda ulaya wanapopaona pa mashoga wabaki arabuni.
 
Huyu jamaa ni mwehu sana Kama warabu wanaona maisha kwao ni mazuri na kitakatifu basi wasililie kwenda ulaya wanapopaona pa mashoga wabaki arabuni.
Kwani hao wakimbia nchi wote wanaotokea huko mbona wanakimbilia huko huko magharibi,, angalia hao wasomali na wahabeshi mbio zote USA wakati humo Qatar ni karibu tu wasiende.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…