mpimamstaafu
JF-Expert Member
- Jul 18, 2018
- 4,445
- 4,707
Yanga Wanatutia aibu kama Taifa
Walio tuondolea aibu wako wapi?
Kwa matokeo ya leo Mwinyi hawezi kukwepa maana kajitakia mwenyewe, haiwezekani tunacheza nyumbani na mshambuliaji mmoja,hapana kwahili mzigo wa misumari ni juu yake katuzingua kabisa
Kanikera sana huyo mtangazaji, hana uzalendo hata theluthi....
Hahahaha dah....
Sijawahi kuwa kinyume na Kocha Mwinyi,ila game ya leo aliingia na poor plan,kafungwa Zahera siyo YangaKwa muda mrefu mmekuwa mkisingizia ubora wa pyramid, mlitaka aweke washambuliaji wengi ili apigwe nyingi mu mcheke zaidi?
Kumbe kusema ukweli ni kukosa maadili ya kiutangazaji?Siyo tu uzalendo bali amekosa maadili ya ki utangazaji
Waliofanya mazoezi na professionals wapo arusha wanacheza na singida wametolewa round ya kwanza
Wapuuzi kabisa hao.....Hata mtangazaji wa sebuka Mshamu Hassan ovyo kabisa, eti kwisha habari yao, kanishangaza sana