Kichwa Kichafu
JF-Expert Member
- Apr 13, 2017
- 44,855
- 189,385
Zahera anamtoa feitoto kweli
[emoji848]
[emoji848]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yametimia Yaliyonenwa 😁😀😂🤣😃😄😅Ila huyu Ali Ali anavocheza dakika yoyote atatoa boko
Msemaji Wa Clouds Atasema NiniUongozi wa Yanga eti bado unasubiri miujiza kutoka kwa Zahera. Sjui Zahera kawapa nn wanajagwani? Yanga inaadhilika huku mapro aliowasajili takribani 3 wapo benchi wanapunga upepo tu. Mbaya zaidi timu inacheza ovyo ovyo ovyo kabsa. Ni muda wa uongozi kufanya maamuzi magumu. La sivyo mtaendelea kulokota kunyavu na kuadhilika km msipomtimua huyu Mbuta mbutu wenu. Shauri enu!
Yanga Bariidii Haina MvutoYanga ni Njombe mji iliyochangamka
Baada ya mechi kuisha ,,Utamsikia Zahera tunaenda kupindua meza misriHuenda mmoja anaweza kucheza ndani pia, labda atamuingiza kuimarisha kiungo
masikini ya Mungu....Pole lakiniHawa waliotuletea dini ya mnyazimungu lazima leo tuwachape
Hii Club ni bora tuu ifutweKwa kweli timu ya Yanga bado sana. Usajili mlioufanya hauna tija. Sajilini wachezaji wenye uwezo.
Wachezaji kama wakina Ngassa wamepitwa na wakati. Masikini Yanga timu ninayoipenda, kuna tatizo gani?
Mi naona waitwe Ikulu halafu Jiwe awacharaze vibokoHawa Yanga Wanaliaibisha Taifa
Hawa ndio Walikwa wa Kucharaza mboko.
Itapelekwa Ukerewe Kule Kwa Yule Jamaa Aliyesema Umeninyanyua Mheshimiwa Rais Wa Jamhuri Ya Muungano Wa TanzaniaHii Club ni bora tuu ifutwe
Yanga 1-2 PyramidNgapi ngapi huko!
Hii inawezekana?Yanga 1-2 Pyramid