Komodo dragon ndio mnyama hatari zaidi kuliko Black mamba (koboko), Simba, Mamba, Tiger na wanyama wengine wa aina hiyo

Asante mkuu kwa kunisaidia kumpa somo huyo mwamba.
 
Mleta mada koboko unamjua kweli wewe?
Unazungumzia huyu koboko anaeuliwa na kuliwa na mangoose kila siku au black mamba gani?

Kwa taarifa yako hiyo sumu ya black mamba ni kama pafyumu tu kwa hilo dubwasha, kamwe haliwezi kudhurika na sumu ya nyoka yoyote hapa duniani.

Lakini yeye kwa asili ana uwezo wa kumla huyo black mamba akiwa na mangoose wake pamoja kwa muda wa dakika 5 tu atakuwa ashamaliza shughuli yake na kutafuta sehem ya kujipumzisha. Ogopa mnyama ambae akimpiga jeraha moja tu mnyama yoyote lazima aanguke na kufariki au kuuwawa kwa kuliwa na yeye mwenyewe komodo dragon. Watu tushashuhudia wanyama wakubwa kama vile farasi akipigwa ambush 1 tu na baada ya dakika farasi kasanda na akatafunwa akiwa mzima anajiona.
Sasa unawezaje kulifananisha dubwasha hilo na huyu mchumba koboko anaedhibitiwa hata na nguchiro anaeitwa mangoose?

Nakutumia na picha yake ili uone utofauti wao wa kimaumbile. Kuanzia muonekano, ukubwa, na mishe zake za uwindaji afu ujipe jibu mwenyewe kama huyo koboko wako anaweza hata kusogea karibu na hilo dudu na akaondoka salama. Hapo sijazungumzia venom (sumu) kali aliyonayo mnyama huyo kwa kiumbe chochote kinachoishi hapa chini ya jua.
 

Attachments

  • images (28).jpeg
    47.7 KB · Views: 9
  • images (14).jpeg
    28.7 KB · Views: 7
  • Screenshot_20220812-181951.jpg
    37.1 KB · Views: 7
Hili dude linakula sana Nyani. Ukweli ninalichukia sana tena sana kuna clip moja niliona limemmeza nyani akiwa hai tena waliburuzana sana baadae sijui lilimvunja mgongo. Lipotee tu halina maana.
 
Komodo ana venom and ni mviziaji ila hajakutana na wakali wa kazi kama simba, chui, jaguars etc. In general cat family ni top predators ukiondoa binadamu. Ukiona jinsi jaguar anavyoua alligators kwenye maji huyu komodo ni supu anararuka dakika tu.
 
Hili dude linakula sana Nyani. Ukweli ninalichukia sana tena sana kuna clip moja niliona limemmeza nyani akiwa hai tena waliburuzana sana baadae sijui lilimvunja mgongo. Lipotee tu halina maana.
Yani hili dubwasha hakuna mtu anaeweza kulipenda kutokana na umbwaji wake.
Halifagilii mnyama wa aina yeyote. Yan anaejipendekeza anga lake analiwa mzima mzima bila huruma.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…