Mr Dudumizi
JF-Expert Member
- Sep 9, 2020
- 7,799
- 14,215
- Thread starter
- #181
Asante mkuu kwa kunisaidia kumpa somo huyo mwamba.Sijui ka unaelewa nini maana ya neno jamii ya..au kwa hio tuseme chui ni paka tofauti ni ukubwa maumbo kutokana na walipo ..kwamba chui yuko porini na paka anazunguka kwenye ma bar huku? Au tuseme chui ni duma tofauti maumbo? NO ni jamii moja ila ni aina mbili tofauti
Kenge , mamba, komodo ni jamii ya mijusi hata wale caiman
Hivo huyo sio kenge