Komodo dragon ndio mnyama hatari zaidi kuliko Black mamba (koboko), Simba, Mamba, Tiger na wanyama wengine wa aina hiyo

We weeeeh...hawawezi imaliza nahofia tu watanogewa pale nitakapokua nimemalizana nao πŸ˜€
πŸ˜€πŸ˜€ sema nawe uta enjoy kwa ule ulimi wao ulivyo mrefu hakutobaki na chochote.. wanasafisha kila kitu .. uwatunze vizuri tu hata mda wao ukiisha waondoke kwa amani
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Can't wait kuwaona..maana nimeshaandalia kajumba kao kadogo dogo kenye joto na tuchumvi chumvi ..si wanapenda kulamba lamba chumvi eeh..maana huo ulimi wake πŸ˜‹
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ dah aisee.. so funny hahahaha
 
Unawezaje kulila dudu lenye sumu kali kuanzia kichwani hadi mkiani? Hii ni sawa na kusema hivi mtu hauwezi kulitafuna lile bomu la mkononi linalofanana na kiazi au nanasi.
Hapana mkuu sumu haikai mwilini kote bali inakuwa kwenye vifuko flani hivi, kama ilivyo kwa nyoka. Ukivitoa analiwa tuu... Mfano mamba nyongo yake ni sumu hatari sana lakini ukiitoa vizuri nyama yake inaliwa fresh tuu.
 
Dunia ya sasa ni tofaut ni kitambo... Hakuna mbabe wa dunia, huyo komodo akikuta hata chui kavurugwa hatoboi...

Muda wa kurusha sumu anaweza asiupate kwanza
 
Mbona kama kenge, au na kenge ana sifa kama za jamaa
 
Kwa hiyo unakubali kwa mwanadamu black mamba ni hatari kuliko huyo dragon?
 
Sawa lakini black mamba ni balaa lingine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…