Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu hili dudu linakula kwa dakika 15 linakuwa lishakumaliza wewe, nguo zako na viatu vyako kwa pamoja. Ndio mnyama anaekula chochote kile kilichopo mbele au karibu yake pale anapokuwa na njaa.Huyu namwogopa hata kumwangalia kwenye tv yaan anakujeruhi kidogo tu ili mradi meno yake yagusane na dam yako. Anakuwa anakufuatilia kwa mbali hadi hapo utakapomaliza nguvu na kuanguka atakaa hapo anakula hata kwa siku nne mpaka akumalize
Lakini ukimiangalia unaweza hata kimbia kabla hajakuuma ukapona sasa kwa black mamba utakimbiaje akisha kuweka kwenye 18 zake?Pia kenge si kenge. Yani hili limnyama ni noma.
Yah Ila black mamba ukifuga mangoose nyumbani kwako hatii mguu. Ila hili dubwasha hata ufuge mangoose 20 kwanza ataanza na hao mangoose kuwatafuna kisha atakuja kumalizana na wewe 😀😂😂😂.Lakini ukimiangalia unaweza hata kimbia kabla hajakuuma ukapona sasa kwa black mamba utakimbiaje akisha kuweka kwenye 18 zake?
Mziki wa black mamba huyu hawezi kuukutia hata kidogo.Habari zenu wana JF wenzangu.
Leo nimekuja na mada inayohusu mnyama hatari kuliko wanyama wote duniani anaitwa Komodo dragon.
Mnyama huyu ana uwezo wa kuua wanyama wengine hatari kama vile
1) Tiger
2) Simba
3) Leopard, Cheetah (chui)
4) Mamba
5) King cobra, Black mamba nk.
6) Honey badger pamoja na uwezo wa kuishi karibu na wanyama wakali, lakini hawezi kufanya mzaha huo mbele ya Komodo dragon aisee atamezwa yeye na manyoa yake. Jamaa hana masihara na mnyama mwingine yoyote.
Komodo dragon ana venom (sumu kali) kuliko mnyama yoyote hapa duniani. Akiuma mara moja tu inatosha kumaliza mchezo. Hata iwe Tembo, kifaru, kiboko, simba nk hawawezi kufikisha dakika 5 bila kuanguka chini na kupararaizi, kisha Komodo anajivuta taratibu kuja kula nyama.
Haijalishi hapo mnyama atakuwa ameshakufa au bado anapumua, Komodo atachofanya ni kuanza kumtafuna mzima mzima huku anayetafunwa anamuona. Kwa vile atakuwa ameshapararaizi basi mshambuliwa hatokuwa na nguvu ya kumfanya chochote Komodo.
Mnyama huyu hata sumu ya koboko haimdhuru kutokana na aina ya uumbwaji wake ulivyo, ila yeye ya kwake inamdhuru koboko kwa sekunde tu, kwanza anaweza kummeza kwa sekundi 10 bila hata kutumia venom (sumu) yake.
Kwa upande wa binadam sometimes unaweza kuumwa na Simba, Tiger, Leopard, Mamba nk ila ukawa jasiri na kufanikiwa kujiokoa na kutoka nduki kuokoa maisha yako.
Ila mzee Komodo yeye akishakupiga jino basi ujue ni bye bye maana kama ukibahatika sana itachukua ni dakika 3 au 5 kuiaga dunia na pengine mzee wa kazi atakuja akutafune ukiwa bado hujafa hadi atakumaliza na kukumeza wewe wote.
Huyu mnyama akishakupiga jino hukaa pembeni umbali kidogo wa ulipo halafu anakusikilizia. So unaweza kutoka nduki ukidhani umepona kumbe dakika mbili au tatu za mbele utaanguka na kuanza kuishiwa nguvu, hapo ndo mzee wa kazi ataanza kukufuata huku akitumia pua yake kunusa kila sehemu uliyokanyaga hadi atakukuta ukiwa hoi na yeye au wao wakumalizie kabisa.
Huyo ndio Komodo dragon mbabe wa wababe wote duniani. Japo wengi huku Afrika hawamjui kutokana na wanyama hao kupatikana zaidi katika bara la Asia.
View attachment 2321342View attachment 2321345
Mkuu sikatai kwamba black mamba ni rahisi mno kumu attack binadam kuliko hili dubwasha. Ila kinachofanya huyu awe hatari ni kwa sababu ana uwezo wa kuangamiza kiumbe chochote kilichopo mbele yake. Tofauti na black mamba ambae anaweza kudhibitiwa na mnyama mdogo kama mangoose. Yan black mamba hata akifanikiwa kung'ata mangoose bado mangoose ataendelea kufanya kile anachotaka kufanya kw black mamba hadi atamuuwa. Ila hili kwanza anaweza kumtafuna huyo mangoose bila hata kujipa hasara ya kutumia sumu yake.Mziki wa black mamba huyu hawezi kuukutia hata kidogo.
Kwanza nikimuona naweza kimbia nikapona, je black mamba ukimzingua unaweza kimbia ukapona?
Wala haujakosea mkuu.Huyo ni hatari babaa, huwa namfananisha na kenge umbile lake
😂😂😂😂Its all about timing hata siafu au kirusi kinaweza kumuondoa myama yoyote yule
Hakuna kiumbe anayewinda binadamu. Ukikuta binadamu ameshambuliwa ni bahati mbaya tu.Wanapatikana wapi hao wanyama kwa sasa kwenye hii dunia?
Vipi binadamu ni kawaida kuwindwa na huyo mnyama au inakuwa kama bahati mbaya tu kupitiwa?
Anhaa, sawa!Hakuna kiumbe anayewinda binadamu. Ukikuta binadamu ameshambuliwa ni bahati mbaya tu.
Kiumbe gani anayekula nyama ya binadamu ?
Tukiachana na hayo mengine ya speed nk ambayo kila mnyama kapewa namna yake ya kutembea na kukimbia. Tuje kwenye swala la Tiger au Simba kumu attack huyu jamaa.Ili ni lioga tu halafu halina speed wala stamina kinachompaisha ni mabakteria waliopo kwenye mate yake ikitokea limekuuma
Labda likute umelala Mara nyingi ni Lila mizoga na wanyama wadogo wadogo
Yako ma apex predator kama tiger,brown bear
Akipigwa kucha mbili na Tiger kwishaaa iyoooo
Vibaya mno Snop Dog, 50 Cent, Lil Wayne, Basta wote kwa huyu mwamba wanangoja 😂😂😂😂.2 pac bangi zilimzidia
Bora uhamishie majeshi humu,kule ulikuwa umepotea njia,Bora umerudi kwenye reli🤔Habari zenu wana JF wenzangu.
Leo nimekuja na mada inayohusu mnyama hatari kuliko wanyama wote duniani anaitwa Komodo dragon.
Mnyama huyu ana uwezo wa kuua wanyama wengine hatari kama vile
1) Tiger
2) Simba
3) Leopard, Cheetah (chui)
4) Mamba
5) King cobra, Black mamba nk.
6) Honey badger pamoja na uwezo wa kuishi karibu na wanyama wakali, lakini hawezi kufanya mzaha huo mbele ya Komodo dragon aisee atamezwa yeye na manyoa yake. Jamaa hana masihara na mnyama mwingine yoyote.
Komodo dragon ana venom (sumu kali) kuliko mnyama yoyote hapa duniani. Akiuma mara moja tu inatosha kumaliza mchezo. Hata iwe Tembo, kifaru, kiboko, simba nk hawawezi kufikisha dakika 5 bila kuanguka chini na kupararaizi, kisha Komodo anajivuta taratibu kuja kula nyama.
Haijalishi hapo mnyama atakuwa ameshakufa au bado anapumua, Komodo atachofanya ni kuanza kumtafuna mzima mzima huku anayetafunwa anamuona. Kwa vile atakuwa ameshapararaizi basi mshambuliwa hatokuwa na nguvu ya kumfanya chochote Komodo.
Mnyama huyu hata sumu ya koboko haimdhuru kutokana na aina ya uumbwaji wake ulivyo, ila yeye ya kwake inamdhuru koboko kwa sekunde tu, kwanza anaweza kummeza kwa sekundi 10 bila hata kutumia venom (sumu) yake.
Kwa upande wa binadam sometimes unaweza kuumwa na Simba, Tiger, Leopard, Mamba nk ila ukawa jasiri na kufanikiwa kujiokoa na kutoka nduki kuokoa maisha yako.
Ila mzee Komodo yeye akishakupiga jino basi ujue ni bye bye maana kama ukibahatika sana itachukua ni dakika 3 au 5 kuiaga dunia na pengine mzee wa kazi atakuja akutafune ukiwa bado hujafa hadi atakumaliza na kukumeza wewe wote.
Huyu mnyama akishakupiga jino hukaa pembeni umbali kidogo wa ulipo halafu anakusikilizia. So unaweza kutoka nduki ukidhani umepona kumbe dakika mbili au tatu za mbele utaanguka na kuanza kuishiwa nguvu, hapo ndo mzee wa kazi ataanza kukufuata huku akitumia pua yake kunusa kila sehemu uliyokanyaga hadi atakukuta ukiwa hoi na yeye au wao wakumalizie kabisa.
Huyo ndio Komodo dragon mbabe wa wababe wote duniani. Japo wengi huku Afrika hawamjui kutokana na wanyama hao kupatikana zaidi katika bara la Asia.
View attachment 2321342View attachment 2321345
BaLaaAisee ulimi wake tu unatisha mdudu Si mdudu nyoka Si nyoka Mamba si mamba mjusi si mjusi Yani anatisha kwa kweli
😂😂😂 wapi tena huko mkuu?Bora uhamishie majeshi humu,kule ulikuwa umepotea njia,Bora umerudi kwenye reli🤔
Kwenye sii hasaa🤔😂😂😂 wapi tena huko mkuu?