Kondomu za siku hizi ni ndogo hazitoshi kwenye uume

Sawa mandingo Wateja wako watakua wamekusikia
 
hizo kondom ni saizi nzuri kwa wenye mboro fupi. Mboro fupi kwa kondom ndefu inatengeneza ringi kubwa pale shinani. Kwa habari ya harufu ni kweli kondomu zinanuka vibaya, ukiongeza na harufu ya shahawa inakuwa kero tupu
 
Acha uzinzi
 
Nadhani wewe ushajionea
Naona wengi wamejikuta kusema ni tangazo
Sio tuliotumia kondom miaka ya 2000
 
Mkuu nakukumbusha condom ziko small, medium, na large. Kabla ya kununua na kuvaa condom unahitaji kufahamu kiundani somo la matumizi ya condom vinginevyo unahatarisha maisha yako. Pata muda jifunze kwa bidii kuhusu condom hasa kama umeamua maisha yako ni ya uzinzi. Tanzania ina kila aina ya condom(brand zenye hadhi na hizo zisizo na hadhi) Kuvaa condom pekee hakutoshi bali kununua na kuvaa condom sahihi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…