Kondomu za siku hizi ni ndogo hazitoshi kwenye uume

Mkuu nakukumbusha condom ziko small, medium, na large. Kabla ya kununua na kuvaa condom unahitaji kufahamu kiundani somo la matumizi ya condom vinginevyo unahatarisha maisha yako. Pata muda jifunze kwa bidii kuhusu condom hasa kama umeamua maisha yako ni ya uzinzi. Tanzania ina kila aina ya condom(brand zenye hadhi na hizo zisizo na hadhi) Kuvaa condom pekee hakutoshi bali kununua na kuvaa condom sahihi.
Sahihi niko hapa kujifunza
Kumbe huwa zina size tofauti
Me nikajua ni free size
 
Condoms za siku hizi zimekuwa ndogo, zinabana na zinatoa harufu mbaya
Yaani nikivaa kondom siku hizi inaweza funika tu nusu ya uume nusu ikaingia ukeni bila kufunika uume wote

Sijui kuna agenda ya kutuua kimya kimya, kwa kututengezea kondomu zinazovutia na kumtosha kila mwanaume na zisizo na harufu ya kukarahisha

Wizara ya Afya jaribu kujali afya zetu wanaume tutakufa kwa HIV/ AIDS na UTI kali
Kiongozi natumai hautumii ndom za zana🤔
 
Mkuu we kula mbichi tu kama hizo jezi zinazingua.
 
Mkuu nakukumbusha condom ziko small, medium, na large. Kabla ya kununua na kuvaa condom unahitaji kufahamu kiundani somo la matumizi ya condom vinginevyo unahatarisha maisha yako. Pata muda jifunze kwa bidii kuhusu condom hasa kama umeamua maisha yako ni ya uzinzi. Tanzania ina kila aina ya condom(brand zenye hadhi na hizo zisizo na hadhi) Kuvaa condom pekee hakutoshi bali kununua na kuvaa condom sahihi.
kumbe kuna kondomu saizi mbalimbali? Sikujua, nilijua zote ni saizi moja
 
Sio size tu hadi bei na harufu zinatofautiana. Mfano condom nyingi zinazosambazwa bara la Asia ni small size kwa sababu wale jamaa ni wana uume mdogo kulingalisha na West Africa.....soma taarifa zake ziko nyingi tu aisee.
 
Endelea kutupa elimu
Kimbe zinatofauti hizo na siyo free size kama tulivoaminishwa
 
Condoms za siku hizi zimekuwa ndogo, zinabana na zinatoa harufu mbaya
Yaani nikivaa kondom siku hizi inaweza funika tu nusu ya uume nusu ikaingia ukeni bila kufunika uume wote

Sijui kuna agenda ya kutuua kimya kimya, kwa kututengezea kondomu zinazovutia na kumtosha kila mwanaume na zisizo na harufu ya kukarahisha

Wizara ya Afya jaribu kujali afya zetu wanaume tutakufa kwa HIV/ AIDS na UTI kali
Labda ni za Wachina zimeletwa huku
 
Back
Top Bottom