Kondomu za siku hizi ni ndogo hazitoshi kwenye uume

Sio size tu hadi bei na harufu zinatofautiana. Mfano condom nyingi zinazosambazwa bara la Asia ni small size kwa sababu wale jamaa ni wana uume mdogo kulingalisha na West Africa.....soma taarifa zake ziko nyingi tu aisee.
hizo kondom zije ili tuchague kulingana na ukubwa wa uume tulizonazo na harufu ya kupendeza pamoja na maelezo yake
 
Endelea kutupa elimu
Kimbe zinatofauti hizo na siyo free size kama tulivoaminishwa
Kanuni ya kwanza ukiingia duka la dawa muulize muuzaji ana condom za brand ipi na material ipi mfano latex au la? Na baada ya kupewa kagua expiry date. Unashauriwa kujifunza na kutambua brand sahihi kwa matumizi yako hasa kama wewe ni mzee wa mikito. Ukishajuwa brand ikufaayo sasa kila ukienda dukani uliza hiyo na kama hakuna Acha kuzini siku hiyo. Maisha ni yaka na upwiru ni wako kwa hivyo utachagua utakacho
 
Asante kwa elimu nzuri Mkuu
 
Asante kwa elimu nzuri Mkuu
Kanuni ya pili ni kwenye uvaaji,
Kanuni ya tatu ni kwenye kutumia,
Kanuni ya nne kwenye kuivua,
Kanuni ya tano jinsi ya kuhifadhi na kutupa condom yenye sperms zako. Hapa ni muhimu sana kwa maisha yako ya sasa na ya baadae ....
 
Elezea kuhusu kanuni hizi mkuu
Tujifunze
 
Elezea kuhusu kanuni hizi mkuu
Tujifunze
Kwenye kanuni ya pili inashauriwa ufanye uzinzi ukiwa timamu yaani usilewe kupitiliza au usifanye ngono za kulipiza kisasi ili uweze kutetea maisha yako. Hakikisha unachana pembe ya package baada ya kuiminya condom isogee mbali ya pembe ili iwe salama pale unapochana. Kama una kucha ndefu uwe makini. Hakikisha utoa hewa nje kwa kuminya chuchu ya condom. Pia hakikisha condom iko uelekeo sahihi ili usije kuvaa condom ndani nje na nje ndani yaani hapa kupasuka nijambo la kawaida. Hakikisha condom imefika kwenye shina na ku fit vizuri vinginevyo hiyo sio size yako kama itabana sana hadi kuleta maumivu au kukupwelepweta.
 
Asante sana nimejifunza
 
Population Services International (PSI) Tanzania na Restless Development kazi yao kubwa ilikuwa kuelimisha matumizi sahihi ya condoms siku hizi naona wamepunguza kasi.

Kama unatumia bidhaa za free boat (kitonga) za PSI au zenye chapa ya MSD lazima ulalamike, hamia DKT Tanzania hawana bidhaa za free,pia uende ofisini kwao pale Chole Road, Oyster Bay watakuelekeza na kukupa somo bure.
 
Condoms za siku hizi zimekuwa ndogo, zinabana na zinatoa harufu mbaya
Yaani nikivaa kondom siku hizi inaweza funika tu nusu ya uume nusu ikaingia ukeni bila kufunika uume wote

Sijui kuna agenda ya kutuua kimya kimya, kwa kututengezea kondomu zinazovutia na kumtosha kila mwanaume na zisizo na harufu ya kukarahisha

Wizara ya Afya jaribu kujali afya zetu wanaume tutakufa kwa HIV/ AIDS na UTI kali
Ni kweli zinabana sijui kwanini, nilifikiri mi pekeyangu ndo nakutana na hii hali, zinabana hadi raha huisikii wakati unadinyana.
 
Condoms za siku hizi zimekuwa ndogo, zinabana na zinatoa harufu mbaya
Yaani nikivaa kondom siku hizi inaweza funika tu nusu ya uume nusu ikaingia ukeni bila kufunika uume wote

Sijui kuna agenda ya kutuua kimya kimya, kwa kututengezea kondomu zinazovutia na kumtosha kila mwanaume na zisizo na harufu ya kukarahisha

Wizara ya Afya jaribu kujali afya zetu wanaume tutakufa kwa HIV/ AIDS na UTI kali
Nilijua niko mwenyewe, zinaishia kati kati yani hazifuniki nanilii yote
 
Zina size mkuu uwe unasoma sometimes sio unajichukulia tu..
Ndo nyie zinawapasukia kwenye show..
Unaweza ukaona unajisifia kumbe umechukua size ya viba100
 
Back
Top Bottom