Kondomu za siku hizi ni ndogo hazitoshi kwenye uume

Kondomu za siku hizi ni ndogo hazitoshi kwenye uume

Labda ziongezwe upana sio urefu. Wengine tukivaa bado inakuwa haijakunjuka mpaka mwisho😁
 
Condoms za siku hizi zimekuwa ndogo, zinabana na zinatoa harufu mbaya
Yaani nikivaa kondom siku hizi inaweza funika tu nusu ya uume nusu ikaingia ukeni bila kufunika uume wote

Sijui kuna agenda ya kutuua kimya kimya, kwa kututengezea kondomu zinazovutia na kumtosha kila mwanaume na zisizo na harufu ya kukarahisha

Wizara ya Afya jaribu kujali afya zetu wanaume tutakufa kwa HIV/ AIDS na UTI kali
Tumia pulizio
 
Condom zanini tena love kavu ndio tamuuuuu banaaaaa .Mnacheki afya kisha mnapeana mautamu kwaraha zenyuu!
Utakuwa tayari kusubiri miezi mitatu?
Maana wanasema ukicheki leo, kuwa na uhakika uko safi inabidi urudie tena kipimo baada ya miezi mitatu...!
 
Watu sio wajinga bwana. Ila mwanaume kujiamini...tunakuja.
 
Hivi bado kuna viumbe mnatumia kondomu!
Bure kabisaaaa!!!
 
Vijana wa primary walilalamikia size ikabidi tu adjust kidogo.
 
Condoms za siku hizi zimekuwa ndogo, zinabana na zinatoa harufu mbaya
Yaani nikivaa kondom siku hizi inaweza funika tu nusu ya uume nusu ikaingia ukeni bila kufunika uume wote

Sijui kuna agenda ya kutuua kimya kimya, kwa kututengezea kondomu zinazovutia na kumtosha kila mwanaume na zisizo na harufu ya kukarahisha

Wizara ya Afya jaribu kujali afya zetu wanaume tutakufa kumbe

Condom haipwelepweti Mimi inabana mpaka misuli inataka kupasuka chuma kigumu
Kumbe mpaka sasa kuna watu bado wanatumia vyondomu?
Mimi mara ya mwisho nilizionaga kwenye tamasha la vijana mwaka 1998
 
Back
Top Bottom