chidy said
Member
- Oct 20, 2019
- 64
- 123
Sasa nyinyi mkikopa mbona hamkopi kwa jina la Tanganyika mnakopa kwa jina la Tanzania katika wizara zisokuwa za muungano?Wao hawajali kwa kuwa huo Mkopo unalipwa na utalipwa na Watanganyika ....!!
Imagine Afya si swala la Muungano ... sijui inakuwaje serikali ya Muungano inakopa kwenda kujenga Hospital Zanzibar. Kweli Wajinga ndiyo waliwao.
Sasa nyinyi mbona hamkopi kwa jina la tanganyika katika mambo yasiyokuwa ya muungano mnatumia jina la tanzania?Naona sa100 anaineemesha nchi yake. Maswala ya afya sio ya kimuungano ila ni urt itafanya kuilipia znz.
Tanganyika ni Koloni la Zanzibar.Kwani huduma za afya ni mambo ya Kimuungano?
Yaani tunakopa Tanzania Bara halafu Hospitali inaenda kujengwa Zanzibar?
Deni tunakuja kulipa Tanzania Bara [emoji134]
It's unfair aisee [emoji119]
Yaani hapo ni sawasawa wanakopa Kenya hospitali inajengwa tanzaniaKwani huduma za afya ni mambo ya Kimuungano?
Yaani tunakopa Tanzania Bara halafu Hospitali inaenda kujengwa Zanzibar?
Deni tunakuja kulipa Tanzania Bara [emoji134]
It's unfair aisee [emoji119]
Who is paying this loan? Challenge kweli huu Muungano. Rais wa Zanzibar akikopa ni ya Zanzibar, Jamhuri ya Muungano means Tanganyika. Nafikiri Wabara wanaulipa huu mkopo 100%.Exim Bank ya Korea imeikopesha Serikali ya Tanzania zaidi ya Bilioni 400 Kwa Ajili ya ujenzi wa Hospitali ya Rufaa ya Kisasa na Chuo Cha Mafunzo(Mfano wa Muhimbili-Mlonganzila) Zanzibar.
---
Real sad. Sizijui sana kero za Muungano inawezekana hii haipo.o kodi za Watanganyika ndiyo zitalipa deni wakati urojo wenyewe kiroho safi....
Hii ni sawa, pesa imekopwa na muungano sio Tanganyika, na kwa vile TRA kuna Kodi inakusanya Zenj na kuziweka hazina BOT dar, hii ni sawa tuKwani huduma za afya ni mambo ya Kimuungano?
Yaani tunakopa Tanzania Bara halafu Hospitali inaenda kujengwa Zanzibar?
Deni tunakuja kulipa Tanzania Bara 🙆
It's unfair aisee 🙌
Watapewa udaktari bingwa kama alivyopewa mzanzibar mwenzao.Seriously.
Zanzibar Kuna madaktari' bingwa wa kuhudumia hosp ya rufaa.
Sijawahi kuona daktari bingwa mpemba, wapemba niliozoea Mimi Ni wavuvi, wachuuzi, waganga Ila daktari au injinia bado kwa kweli.
AahaaaHakuna jambo baya kama kuskia eti refa kabeti...☹️
Acha wapeana ubingwa wa michongo tuona watakavyochinjana huko theatre.Watapewa udaktari bingwa kama alivyopewa mzanzibar mwenzao.
Na deni linakuja kuhusishwa na watanganyika wkt wa kulipa,wkt wao wanajiita wazanzibari na sisi hatujawahi kujiita watanganyika!Yaani Zanzibar wanashindwa kujenga hospital ya bilioni 400 mpaka wapate mkopo ?
Na mpo hapa kusifia bila aibu!
Wabara ndio kina nani?Who is paying this loan? Challenge kweli huu Muungano. Rais wa Zanzibar akikopa ni ya Zanzibar, Jamhuri ya Muungano means Tanganyika. Nafikiri Wabara wanaulipa huu mkopo 100%.
Mtakapozinduka nchi itakuwa imeisha uzwa na huyu mama atakuwa kisha hamia Dubai!!Daktari wa mikopo hadi mwakani atakuwa ameshauza hadi Ikulu mpya ile maana hapendi kukaa chamwino .
Nchi gani nyingine imewahi kuuzwa hapa Duniani? Au kupigwa Mnada Kwa Madeni?Mtakapozinduka nchi itakuwa imeisha uzwa na huyu mama atakuwa kisha hamia Dubai!!
Mtakuja mlaumu nani?