PreGE2025 Kosa kubwa la CHADEMA: wanadhani bila wao hakuna upinzani

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Hawa viongozi wao wa sasa wanaona who ndio wamepatia kumbe ni kujidanganya tu.
2030 watafika wamechoka na watakimbiana na mwisho watamtukana Lissu na Heche kama walivyofanya kwa Mbowe.
Mungu atujalie uzima, kuliko udalali Bora kife! hatutaki kudanganywa km watoto
 
Unazungumzia wagombea tu, huzungumzii wapiga kura waliochoka kura zao kuchezewa. Au unadhani vyama ni wagombea tu?
 
Ni kweli usemayo, lakini cdm ndio chama cha upinzani wa kweli. Hivyo vingine ukiachia ACT huko Znz ni vya kujazia hesabu. Ukweli huu uwe unautaka ama huutaki uko hivyo hivyo.
ili wawe wapinzani wa kweli huko Zanzibar lazima wapambane kuongoza serikali, siyo kupewa zawadi ya Umakamu wa kwanza wa Rais na mawaziri vivuli, hiyo ni aina nyingine yakulamba asali!
 
Moja ya Makosa ya CDM ni Kuamini wao ndio wana hakimiliki ya Upinzani Nchi hii na Kila Mpinzani anastahili kufuata wanachoamini wao.

Tayari wamegawana mbao,
Kosa kubwa sana la watu wajinga ni kujifanya wanajua kila kitu.
 
Hawa viongozi wao wa sasa wanaona who ndio wamepatia kumbe ni kujidanganya tu.
2030 watafika wamechoka na watakimbiana na mwisho watamtukana Lissu na Heche kama walivyofanya kwa Mbowe.
Chama cha CUF kilikuwa na nguvu Zanzibar kuliko ambayo Chadema wanayo Bara. Jecha akafanya yake kwa uwazi kabisa. CUF wakasusia uchaguzi. CCM wakaweka mtu wao kama mpinzani na wakaendelea kutawala. CUF wakawa wamepata somo. CDM inaelekea bado. Somo ni kuwa CCM haijali inashindaje uchaguzi. Kutokuwepo CDM ni fursa kwa wengine hivyo Bunge lijalo litakuwa na wapinzani na maisha yataendelea. Kambi ya upinzani itaongozwa na ACT-WAZALENDO ambayo itakuwa na wabunge waliotoka CDM. CDM haitakufa bali itahitaji kufanya kazi ya ziada kubakia kuwa relevant.

Amandla...
 
Moja ya Makosa ya CDM ni Kuamini wao ndio wana hakimiliki ya Upinzani Nchi hii na Kila Mpinzani anastahili kufuata wanachoamini wao.

Tayari wamegawana mbao,
Wapinzani wapi unaowaongelea wewe? CHADEMA wamekataa mauwaji, uchafuzi na hila za kitoto zinazotawala chaguzi zetu, Tangu enzi za kina Alphonce Mawazo etc.. Kauaneni na hao CCM B! JK aliondoka na Demokrasia nchi hii... at least enzi zake kulikua na aibu kidogo, CCM ya leo Hata kushindana hawawezi tena zaidi ya kutumia dola kuua na kukandamiza demokrasia.. RIHell Jiwe
 
Moja ya Makosa ya CDM ni Kuamini wao ndio wana hakimiliki ya Upinzani Nchi hii na Kila Mpinzani anastahili kufuata wanachoamini wao.

Tayari wamegawana mbao,
Hakuna vyama ,vyama vipi ambavyo hata vikiitisha mikutano hata vivuli vyao vinakimbia.

Serikali ya ccm chini ya ccm, inaenda kuliumiza sana taifa ,ila hawatafanikiwa ,asema Bwana
 
Kosa kubwa ni sisi wanaccm kuamini chadema Haina umuhimu kwenye taifa hili!!kosa kubwa sana!!

Madhara ya chadema kutokua na wabunge bungeni ni makubwa know ndio maana Ngoro ngoro,bandari n.k vimeenda kirahisi sana Tena Kwa mserereko mkuu!!
Mkuu umeongea kikubwa sana ,machawa yakirushiwa m3 wanaona wameupata ufalme wa mbingu chini ya ccm
 
Moja ya Makosa ya CDM ni Kuamini wao ndio wana hakimiliki ya Upinzani Nchi hii na Kila Mpinzani anastahili kufuata wanachoamini wao.

Tayari wamegawana mbao,
Wewe CCM mambo ya Chadema yana kuhusu nini?Uchaguzi ndo huo hapo umeachiwa na vyama 18 shida Iko wapi wwe Malaya wa kisiasa
 
Wewe ni Malaya wa kisiasa ,wewe ni CHAWA kubwa zaidi una ELIMU ni ndogo .
Nikusaidie hili Chadema hatushiriki uchaguzi na Chama ninaenda kufa.Na CCM itashinda Kwa kishindo Kwa asilimia 100.Shida yako ni ipi tena ?Una shida gani tena Chadema?
 
Moja ya Makosa ya CDM ni Kuamini wao ndio wana hakimiliki ya Upinzani Nchi hii na Kila Mpinzani anastahili kufuata wanachoamini wao.

Tayari wamegawana mbao,
Ukiona hata wewe chadema inakufikirisha hadi unaianzishia uzi ujue inakuathiri kwa mawazo au matendo yao
 
Moja ya Makosa ya CDM ni Kuamini wao ndio wana hakimiliki ya Upinzani Nchi hii na Kila Mpinzani anastahili kufuata wanachoamini wao.

Tayari wamegawana mbao,
unachekesha kweli,udanganyifu hauna nafasi Tena,vyamo vyote ukiacha chadema ni vya CCM
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…