CCM hata ikiweka mawe lazima ishinde kwa asilimia 100%,chadema haina haja ya kushiriki uchaguzi wakat ccm imeshinda kabla ya uchaguxi,utachuguaje chadema wakati CCM imeshindaWewe ni Malaya wa kisiasa ,wewe ni CHAWA kubwa zaidi una ELIMU ni ndogo .
Nikusaidie hili Chadema hatushiriki uchaguzi na Chama ninaenda kufa.Na CCM itashinda Kwa kishindo Kwa asilimia 100.Shida yako ni ipi tena ?Una shida gani tena Chadema?
Hawapewi kama hisani, bali ni takwa la katiba yao.ili wawe wapinzani wa kweli huko Zanzibar lazima wapambane kuongoza serikali, siyo kupewa zawadi ya Umakamu wa kwanza wa Rais na mawaziri vivuli, hiyo ni aina nyingine yakulamba asali!
Hakuna mtu anampigania mtu mwingine hapa?? Naafu mimi taahira kuliko wewe msukule unayetegemea CHADEMA wakukomboeHawajachoka kipindi cha Magufuli watachoka kwa SAMIA.
by the way CDM,wanawapigania nyie Watanzania matahira msiojielewa.
Unateseka sana jifunguwe salamaMoja ya Makosa ya CDM ni Kuamini wao ndio wana hakimiliki ya Upinzani Nchi hii na Kila Mpinzani anastahili kufuata wanachoamini wao.
Tayari wamegawana mbao,
Ukitulia naomba ujijibuKwa hiyo wajipima kwa mijadala ya watu wavivu kulima??
Je itikadi ya CHADEMA ni ipi? Iweke hapa kama unaifahamu!! Mimi najua tu wanaropoka No Election No ReformsHoja ya kipuuzi.
Ni lini waliyatamka hayo? Huelewi hata maana ya chama çha siasa.
Chama cha siasa ni lazima kiwe na itikadi, na pale ambapo chama kimoja kinaamini tofauti na chama kingine, ndiyo kinachohalalisha uwepo wa vyama vingi. Kama vyama vyote vikiamini sawasawa, kuna haja gani ya kuwa na vyama vingi?
Muwe mnatafakari kwa weledi kuliko kukurupuka na kuleta mada ambazo hazina mantiki.
Mkuu kuna miradi ya watu itakwama kwasababu pesa za kushughulikia CHADEMA zitakata sasa kwanini watu wasiwe mbogo, ulaji wao inakufa.Mbona mnaiandama chadema au mmeona uchaguzi wa mwaka huu utapooza saana tokea vyama vingi virudishwe tena? Gombeeni nyie tumechoka uchaguzi kuzalisha vilema na wajane wengi tunataka uchaguzi uwe huru kweli
Hiyo ni tafsiri yako,kama hadi sasa hujaelewa mabadiliko wanayopigania Chadema yana maana gani kwa siasa za nchi yetu basi hata hiyo shule haijakukomboa au ni chuki tu kwa Chadema. Uchaguzi huru na wa haki na unaoaminika ni heshima hata kwa chama kitakachoshinda. Sasa tumewaachia uchaguzi muendeleze hadaa zenu tabu iko wapi? Vipi vyama vingine 18 kawaibieni hao kama wanacho cha kuibiwa.Moja ya Makosa ya CDM ni Kuamini wao ndio wana hakimiliki ya Upinzani Nchi hii na Kila Mpinzani anastahili kufuata wanachoamini wao.
Tayari wamegawana mbao,