General Nguli
JF-Expert Member
- Apr 22, 2022
- 1,190
- 2,508
Hakika fahari ya mwanaume ni kuwa na wanawake zaidi ya mmoja ambao wana mpenda yeye na kumuheshimu.Ile feeling ni kubwa na nzuri sanaa kiasi kuwa wanao ipata ni wachache sana kwenye hii Dunia.
Kuwa na mwanamke zaidi ya mmoja ambao mnapendana wote bila shida kuna mfanya mwanaume kuwa mpambanaji zaidi kuwa mwenye furaha na nguvu na kujivunia wakati wote.
Mwanaume huyu hawezi kuwa na stress wala hatokuwa na kukosa tendo.
Mwanaume mwenye wake zaidi ya mmoja ni rahisi sana kuishi maisha mazuri kutokana na wake zake kuwa na wigo mpana wa kupambana na maisha na kulea watoto vyema.
Mwanaume huyu huweza kuwa na Koo kubwa zaidi na umaarufu mkubwa katika eneo analo toka.
LAKINI NAZUNGUMZIA WALE WANAUME KWELI WENYE NGUVU SAUTI NA AKILI...SIO KILA MWANAUNE ANAWEZO WA KUMILIKI WAKE WAWILI NA WAKAMUELEWA.