Kosa kubwa tunalofanya wanaume ni kuwa na mke mmoja

Watanzania sijui tunashida gani? kuna member kaweka thread kuelezea hali ya shule ya msingi huko Tabora, na kuna wananchi wanaishi huko na wanapeleka watoto wao kwenye hiyo shule pamoja na hayo mazingira labda pengine kungekuwa na mjadala wana namna ya kuboresha mazingira yetu ili watoto wetu wapate huduma nzuri, badala yake tuko tunajadili mambo ya kuwa na wanawake wawili, hao watoto watakao zaliwa kwa hao wanawake mazingira yao ya kusoma yatakuwaje? Nimeshawahi sikia wenzetu Kenya huwa wanafanya donation ili kusomesha watoto wao huku huwezi pata hiyo kitu tutafanya donation kwenye harusi, sendoff mpaka Birthday siku hizi kuna kadi, halafu lawama zote kwa Serikali, tutaendelea kusema tunaibiwa sana, tutaachaje kuibiwa tuko kuwaza wanawake? ukiwa na wanawake zaidi ya wawili faida zake kiuchumi ni zipi?
Mkuu kasomeshe tu wewe hujakataliwa na sisi tuache na mjadala wetu wa wake zaidi ya wawili watatu
 
Hayo mahusiano lazima yalenge ustawi wa jamii husika, katika mtazamo huo huo mwanaume kuoa wanawake zaidi ya mmoja yanatija gani katika ustawi wa jamii?

wanaume wakioa wake wengi je,

1. watoto wa mitaani hawatakuwepo?

2. Singo Maza's hawatakuwepo

3. mauaji yanayotokana na visa vya mapenzi yatakoma?

4 . wimbi la wanaume kukimbia majukumu ya kulea mimba na kuacha watoto wanalelewa upande mmoja hayatakuwepo?

Au Mada ni kutaka wanaume waoe wanawake wengi ili kutimiza tamaa zao za kingono? vipi nao wanawake wataruhusiwa kuwa na zaidi ya mwanaume mmoja? maana siamini kama mwanaume anaweza kuwahudumia wanawake wanne kwenye tendo la ndoa ikiwa kuna malalamiko chungu nzima ya wanaume kukosa nguvu za kiume.
Pointless & hopeless tu ndo anaweza sema hiki.
 
Kuwa na wan awake wawili sio tatizo Ila uwe na uwezo wa kuwamudu na kusomesha watoto.

Maana RAIS kasema punguzeni kasi ya kuzaliana .

Oa wanawake na zaa watoto ukiwa na uwezo Mauro wakulea.
Hivi ninyi mnaona kutunza Watoto ni kuwasomesha tu ama?

Kuna watu wengi Wana mtoto mmoja na yupo mtaani hana faida yyte

Mtoto wa ndg yangu kampeleke seminary matokeo yake katimuliwa kakutwa nabk vant kwenye chupa ya Dasani ndo kwanza anamiaka17! Kampeleka shule binfasi katoroka saivi lipo china kule lilipata mchongo
 
Watanzania sijui tunashida gani? kuna member kaweka thread kuelezea hali ya shule ya msingi huko Tabora, na kuna wananchi wanaishi huko na wanapeleka watoto wao kwenye hiyo shule pamoja na hayo mazingira labda pengine kungekuwa na mjadala wana namna ya kuboresha mazingira yetu ili watoto wetu wapate huduma nzuri, badala yake tuko tunajadili mambo ya kuwa na wanawake wawili, hao watoto watakao zaliwa kwa hao wanawake mazingira yao ya kusoma yatakuwaje? Nimeshawahi sikia wenzetu Kenya huwa wanafanya donation ili kusomesha watoto wao huku huwezi pata hiyo kitu tutafanya donation kwenye harusi, sendoff mpaka Birthday siku hizi kuna kadi, halafu lawama zote kwa Serikali, tutaendelea kusema tunaibiwa sana, tutaachaje kuibiwa tuko kuwaza wanawake? ukiwa na wanawake zaidi ya wawili faida zake kiuchumi ni zipi?
Uhuru wa mawazo mkuu,,, hivo hajakosea kuleta hii mada hapa
 
Hivi ninyi mnaona kutunza Watoto ni kuwasomesha tu ama?

Kuna watu wengi Wana mtoto mmoja na yupo mtaani hana faida yyte

Mtoto wa ndg yangu kampeleke seminary matokeo yake katimuliwa kakutwa nabk vant kwenye chupa ya Dasani ndo kwanza anamiaka17! Kampeleka shule binfasi katoroka saivi lipo china kule lilipata mchongo
Mbadilisheni jina.Muwe mnaanza kumuita Ninja ndiyo yafuate majina mengine.
 
Back
Top Bottom