Kosa kubwa tunalofanya wanaume ni kuwa na mke mmoja

Mkuu kasomeshe tu wewe hujakataliwa na sisi tuache na mjadala wetu wa wake zaidi ya wawili watatu
 
Pointless & hopeless tu ndo anaweza sema hiki.
 
Kuwa na wan awake wawili sio tatizo Ila uwe na uwezo wa kuwamudu na kusomesha watoto.


Maana RAIS kasema punguzeni kasi ya kuzaliana .

Oa wanawake na zaa watoto ukiwa na uwezo Mauro wakulea.
Hivi ninyi mnaona kutunza Watoto ni kuwasomesha tu ama?

Kuna watu wengi Wana mtoto mmoja na yupo mtaani hana faida yyte

Mtoto wa ndg yangu kampeleke seminary matokeo yake katimuliwa kakutwa nabk vant kwenye chupa ya Dasani ndo kwanza anamiaka17! Kampeleka shule binfasi katoroka saivi lipo china kule lilipata mchongo
 
Uhuru wa mawazo mkuu,,, hivo hajakosea kuleta hii mada hapa
 
Mbadilisheni jina.Muwe mnaanza kumuita Ninja ndiyo yafuate majina mengine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…