Kosa kubwa tunalofanya wanaume ni kuwa na mke mmoja

Kwani ni dini gani inayokataza kuoa wake wengi? UKRISTO?
Ibrahimu, Yakobo, Daudi, Sulemani, na wengine, wote walikuwa na wake wengi.

USICHANGANYE UTAMADUNI WA WAZUNGU , NA UKRISTO
Hao hawakuwa na Ukristo, Ukristo umeanza baada ya Kristo mwenyewe
 
Mke ni kama gari, ukizimiliki nyingi unakua huru na pia unakua na options, leo unatumia prado kesho V8, keshokutwa Hilux

Imagine mtu na kigari chako kimoja maisha yako yoote ni hako hako mpka watu kwenye contact zao wanakusevu kwa jina la gari yako. Mwajuma/Juma Vitz ya blue.

Ushahidi huu hapa.


View: https://youtu.be/GBYGh6aVU90?si=mZRdHZxEWjr2ae2D
 
A
ACha uwoga mke mmoja unekua roho hiyo?
 
kwani lazima kila mtu asome hii formal education? hilo tuwaachie wanaopenda kutafiti na wanaopenda utumwa
elimu imekuja very recently na miaka yote huko nyuma watu waliishi
hii formal education sii ya lazima sana
 
Wafrika wanawaza ngono muda wote ndiyo maana bara la Afrika linakuwa masikini.
Hauna hela, umepanga, hauna gari na una kiwanja cha urithi. Unakimbilia kuoa wake wawili ili ufanye ngono. Mwafrika akipata vihela badala awaze afanye maendeleo anaoa mwanamke mwingine.
Zamani watu walikuwa wanaoa wanawake zaidi ya mmoja ili kupata nguvu kazi. Hao watoto ndiyo watalima, watachunga ng'ombe na kufanya shughuli za nyumbani
Billgate, Obama na matajiri wakubwa duniani wana mke mmoja tu. Obama ana watoto 2 na mke mmoja halafu wewe masikini mwafrika unawaza kuoa wanawake wawili.πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Naunga mkono hoja...
Waafrika wanawaza ngono sana muda wote. Mtu akipata milion 2 badala awaze namna ya kuzalisha anawaza aongeze mke wa pili ili afanye ngono. Mwisho wa siku anaishi km digi digi
Bara la Afrika tunakuwa masikini sana kila siku. Zamani walikuwa wanaoa ili kupata nguvu kazi, watoto watakaofanya kazi.
Ukishaoa wanawake wawili unakuwa na amaniπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Ndio maana kuna majukwaa mbalimbali hapa jf kila jukwaa lina jadili hoja mahususi,hoja hii ipo jukwaa la mahusiano na mapenzi,huo ya shule ya tabora ipo jukwaa la hoja mchanganyiko na nyinginezo kulingana na majukwaa husika.
Safi kongole kwako...Kwa majibu yalio smart kiasi hiki
 
Dini imeruhusu wanne...
Wacha uzembe!
 
Naam
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…