MKWEAMINAZI
JF-Expert Member
- May 28, 2023
- 930
- 1,304
Na hela huwezi kuzipata kwani wanazishikiria ndio hao hao WANAKULA kwa urefu wa kamba zao(viongozi)Duniani hakuna usawa,usawa ni mbinguni tu,tupambane kutafuta hela
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na hela huwezi kuzipata kwani wanazishikiria ndio hao hao WANAKULA kwa urefu wa kamba zao(viongozi)Duniani hakuna usawa,usawa ni mbinguni tu,tupambane kutafuta hela
Nyie wenye vipesa ndio mna matatizo. Yaani mkishapata kidogp tu tayari mnajiona kama watu hawawataki au ni maadui kumbe nyie ndio maadui wa jamiiUkiwa na vijipesa kidogo tu unageuka adui
Hopeless thread,unatetea upumbavu wa kauli ya kiongozi mkuu?,rohoni kwa mtu ni mbali yeye ambaye madhara ya hii kauli kaisikia toka kwa jamii atoke hadharani kuitolea maelezo,sio wewe kapuku waheedHabari Wakuu!
Kwanza ijue nchi yako, waelewe Watu wako. Ifahamu jamii yako.
Sisi ni jamii ambayo mtu ukifanikiwa utaitwa ni Freemasonry,
Tupo kwenye jamii ambayo ukiwa na utajiri unaitwa Fisadi, Jizi au muuza madawa ya kulevya.
Tupo kwenye jamii ambayo ukimiliki vimiradi kadhaa au biashara za hapa na pale unaitwa unatumia Uchawi wa ngende.
Ielewe jamii yako na watu wake.
Fanya vyovyote utakavyofanya, TOA jasho lako utakalotoa lakini elewa kuwa siku utakayofanikiwa watanzania wengi watakuweka kwenye mojawapo ya makundi hayo hapo juu.
Kwa kweli Taikon Master tangu nimezaliwa mpaka umri nilionao sijawahi kumuona Tajiri au mtu aliyefanikiwa hapa nchini ambaye Watu wanasema amepata Pesa kihalali. Hiyo sijawahi kusikia. Itakuwa mara yangu ya Kwanza na ambayo nitaiandika kwenye kumbukumbu zangu na pengine kuandika kitabu cha huyo mtu ambaye Watu watamsema amepata Mafanikio yake Kwa halali.
Leo sitaki kuwasumbua Sana,
Mama Samia kosa alilofanya ni Kutumia Ile Kanuni ya kila MTU ale urefu wa kamba yake. Kauli ambayo watanzania hawatakuja kuitaka Kwa sababu watanzania ni jamii ya kijamaa. Watu ambao wanataka kula kamba Kwa kushirikiana.
Watanzania wanavutiwa zaidi na viongozi ambao wanataka kuwafanya Watu wote kuwa Sawa ndani ya jamii. Yaani matajiri na Maskini wote wawe Sawa. Wavivu na wachapakazi wawe Sawa. Wenye bahati na wasio na bahati wawe sawasawa. Hilo Kwa Samia halipo, hiyo sio falsafa yake. Hapo ndipo anapopishana na upendo wa watanzania.
Samia anatumia Ile falsafa ya Yesu isemayo kila MTU abebe msalaba wake. Kila mtu ajikune pale mkono wake unapofikia.
Samia hawezi kumshusha wa juu ili afanane nawa Chini. Hiyo sio falsafa yake. WA Chini akitaka kwenda juu apambane kivyake vyake. Wakati vivyohivyo.
Wenye bahati wabaki wenye bahati Yao mpaka bahati Yao itakapokwisha. Wasio na bahati waendelee kuhenyeka mpaka bahati Yao utakapokuja yenyewe au Kwa wao kuitafuta.
Watanzania kama jamii hainaga Tabia ya ku- appreciate uwezo wa waliofanikiwa. Hata hapo kwenu wewe ukifanikiwa bado watakuona kama aidha umebahatisha, huna uwezo, au umetumia ndumba, au umebebwa bebwa.
Samia hiyo falsafa yake hawezi kutoboa kwenye mioyo ya Watanzania. Na sidhani kama yeye ni wale Watu wanaotafuta kupendwa au kulazimisha kukubalika.
Eeeh! Acha nipumzike tuu.
Ijumaa Kareem
Ndio maana wenye AKILI KUBWA tunataka KATIBA MPYA ili ujinga kama huo wa wachache kula Fedha za UMMA ukomeshweKula usawa wa Kamba manake nini?
Kwani kabla yake watz walikuwa wanagawana vipato?
Au kula usawa wa kamba unaongelea ubadhirifu wa mali za ummma?
Nchi yeyote kaz ya serikal ni kuangalia watu wa chini, hivi Kuna faida gani ya kuendesha mgari wa mil 500 kwenye barabara zenye mashimo?
Au kuwa na big life alafu nchi yako haiwez kukutibu pneumonia?
Akili mtu wangu.
Kwanini wewe ulazimishe fasihi yako ndio maana ya kauli Rais Samia alikusudia?, hopeless kabisaKila MTU ale urefu wa kamba yake ni kauli ya kifasihi. Mtu yeyote anaweza kuifasiri anavyoweza au anavyotaka na asipelekwe wala kufanywa chochote
Hapana huyu siyo masikini, ni mtu wa Tenda, yaani tenderKama unadhani kumiliki mali nyingi ni kazi rahisi basi inaonekana na wewe utakuwa maskini tu.
There is always behind bussness nyuma ya utajiri Mkubwa.
Sio utajiri wa kuuza duka na kuuza Nyanya kariakoo
Naunga mkono hojaKwanini wewe ulazimishe fasihi yako ndio maana ya kauli Rais Samia alikusudia?, hopeless kabisa
Furaha ya masikini tajiri afirisikeHabari Wakuu!
Kwanza ijue nchi yako, waelewe Watu wako. Ifahamu jamii yako.
Sisi ni jamii ambayo mtu ukifanikiwa utaitwa ni Freemasonry,
Tupo kwenye jamii ambayo ukiwa na utajiri unaitwa Fisadi, Jizi au muuza madawa ya kulevya.
Tupo kwenye jamii ambayo ukimiliki vimiradi kadhaa au biashara za hapa na pale unaitwa unatumia Uchawi wa ngende.
Ielewe jamii yako na watu wake.
Fanya vyovyote utakavyofanya, TOA jasho lako utakalotoa lakini elewa kuwa siku utakayofanikiwa watanzania wengi watakuweka kwenye mojawapo ya makundi hayo hapo juu.
Kwa kweli Taikon Master tangu nimezaliwa mpaka umri nilionao sijawahi kumuona Tajiri au mtu aliyefanikiwa hapa nchini ambaye Watu wanasema amepata Pesa kihalali. Hiyo sijawahi kusikia. Itakuwa mara yangu ya Kwanza na ambayo nitaiandika kwenye kumbukumbu zangu na pengine kuandika kitabu cha huyo mtu ambaye Watu watamsema amepata Mafanikio yake Kwa halali.
Leo sitaki kuwasumbua Sana,
Mama Samia kosa alilofanya ni Kutumia Ile Kanuni ya kila MTU ale urefu wa kamba yake. Kauli ambayo watanzania hawatakuja kuitaka Kwa sababu watanzania ni jamii ya kijamaa. Watu ambao wanataka kula kamba Kwa kushirikiana.
Watanzania wanavutiwa zaidi na viongozi ambao wanataka kuwafanya Watu wote kuwa Sawa ndani ya jamii. Yaani matajiri na Maskini wote wawe Sawa. Wavivu na wachapakazi wawe Sawa. Wenye bahati na wasio na bahati wawe sawasawa. Hilo Kwa Samia halipo, hiyo sio falsafa yake. Hapo ndipo anapopishana na upendo wa watanzania.
Samia anatumia Ile falsafa ya Yesu isemayo kila MTU abebe msalaba wake. Kila mtu ajikune pale mkono wake unapofikia.
Samia hawezi kumshusha wa juu ili afanane nawa Chini. Hiyo sio falsafa yake. WA Chini akitaka kwenda juu apambane kivyake vyake. Wakati vivyohivyo.
Wenye bahati wabaki wenye bahati Yao mpaka bahati Yao itakapokwisha. Wasio na bahati waendelee kuhenyeka mpaka bahati Yao utakapokuja yenyewe au Kwa wao kuitafuta.
Watanzania kama jamii hainaga Tabia ya ku- appreciate uwezo wa waliofanikiwa. Hata hapo kwenu wewe ukifanikiwa bado watakuona kama aidha umebahatisha, huna uwezo, au umetumia ndumba, au umebebwa bebwa.
Samia hiyo falsafa yake hawezi kutoboa kwenye mioyo ya Watanzania. Na sidhani kama yeye ni wale Watu wanaotafuta kupendwa au kulazimisha kukubalika.
Eeeh! Acha nipumzike tuu.
Ijumaa Kareem
sijawahi kukupinga..ila leo nitakupinga..kuhusu ishu ya usawa, kihulisia hatuwezi kuwa sawa hasahasa kwenye ishu ya uchumi mpaka yesu anarudi mfano juzi tu hapa kwenye nyumba ya ibada nilikutana na jamaa mmoja amenililia sana shida zake nikamuonea huruma nikamuambia twende kwangu ukawe hata houseboy, ajabu jamaa akiishafanya kazi ndogo ndogo akapata zake ugali mkubwa anapumzika mpaka kesho😃😃😃😃 hivi unategemea mtu kama huyu awe sawa na mimi??Habari Wakuu!
Kwanza ijue nchi yako, waelewe Watu wako. Ifahamu jamii yako.
Sisi ni jamii ambayo mtu ukifanikiwa utaitwa ni Freemasonry,
Tupo kwenye jamii ambayo ukiwa na utajiri unaitwa Fisadi, Jizi au muuza madawa ya kulevya.
Tupo kwenye jamii ambayo ukimiliki vimiradi kadhaa au biashara za hapa na pale unaitwa unatumia Uchawi wa ngende.
Ielewe jamii yako na watu wake.
Fanya vyovyote utakavyofanya, TOA jasho lako utakalotoa lakini elewa kuwa siku utakayofanikiwa watanzania wengi watakuweka kwenye mojawapo ya makundi hayo hapo juu.
Kwa kweli Taikon Master tangu nimezaliwa mpaka umri nilionao sijawahi kumuona Tajiri au mtu aliyefanikiwa hapa nchini ambaye Watu wanasema amepata Pesa kihalali. Hiyo sijawahi kusikia. Itakuwa mara yangu ya Kwanza na ambayo nitaiandika kwenye kumbukumbu zangu na pengine kuandika kitabu cha huyo mtu ambaye Watu watamsema amepata Mafanikio yake Kwa halali.
Leo sitaki kuwasumbua Sana,
Mama Samia kosa alilofanya ni Kutumia Ile Kanuni ya kila MTU ale urefu wa kamba yake. Kauli ambayo watanzania hawatakuja kuitaka Kwa sababu watanzania ni jamii ya kijamaa. Watu ambao wanataka kula kamba Kwa kushirikiana.
Watanzania wanavutiwa zaidi na viongozi ambao wanataka kuwafanya Watu wote kuwa Sawa ndani ya jamii. Yaani matajiri na Maskini wote wawe Sawa. Wavivu na wachapakazi wawe Sawa. Wenye bahati na wasio na bahati wawe sawasawa. Hilo Kwa Samia halipo, hiyo sio falsafa yake. Hapo ndipo anapopishana na upendo wa watanzania.
Samia anatumia Ile falsafa ya Yesu isemayo kila MTU abebe msalaba wake. Kila mtu ajikune pale mkono wake unapofikia.
Samia hawezi kumshusha wa juu ili afanane nawa Chini. Hiyo sio falsafa yake. WA Chini akitaka kwenda juu apambane kivyake vyake. Wakati vivyohivyo.
Wenye bahati wabaki wenye bahati Yao mpaka bahati Yao itakapokwisha. Wasio na bahati waendelee kuhenyeka mpaka bahati Yao utakapokuja yenyewe au Kwa wao kuitafuta.
Watanzania kama jamii hainaga Tabia ya ku- appreciate uwezo wa waliofanikiwa. Hata hapo kwenu wewe ukifanikiwa bado watakuona kama aidha umebahatisha, huna uwezo, au umetumia ndumba, au umebebwa bebwa.
Samia hiyo falsafa yake hawezi kutoboa kwenye mioyo ya Watanzania. Na sidhani kama yeye ni wale Watu wanaotafuta kupendwa au kulazimisha kukubalika.
Eeeh! Acha nipumzike tuu.
Ijumaa Kareem
Kilichowachafua watu no bandar. Kuludisha safu ambayo watu walikuwa ilifeli na ivi kukatika ovyo umeme ndio kabisa watu Wana juwa alikuwepo umeme ndie kaalibu kabisa Kama angendelea kalamagi kwa Sasa tungekuwa na umeme Tena Bei poa. Ila angeingia na safu ileile na Ayo yasingefanyika ,kwa mengi aliyofanya angekuwa rais asiepingwa ata kwenye uchaguziHabari Wakuu!
Kwanza ijue nchi yako, waelewe Watu wako. Ifahamu jamii yako.
Sisi ni jamii ambayo mtu ukifanikiwa utaitwa ni Freemasonry,
Tupo kwenye jamii ambayo ukiwa na utajiri unaitwa Fisadi, Jizi au muuza madawa ya kulevya.
Tupo kwenye jamii ambayo ukimiliki vimiradi kadhaa au biashara za hapa na pale unaitwa unatumia Uchawi wa ngende. Ielewe jamii yako na watu wake.
Fanya vyovyote utakavyofanya, TOA jasho lako utakalotoa lakini elewa kuwa siku utakayofanikiwa watanzania wengi watakuweka kwenye mojawapo ya makundi hayo hapo juu.
Kwa kweli Taikon Master tangu nimezaliwa mpaka umri nilionao sijawahi kumuona Tajiri au mtu aliyefanikiwa hapa nchini ambaye Watu wanasema amepata Pesa kihalali. Hiyo sijawahi kusikia. Itakuwa mara yangu ya Kwanza na ambayo nitaiandika kwenye kumbukumbu zangu na pengine kuandika kitabu cha huyo mtu ambaye Watu watamsema amepata Mafanikio yake Kwa halali.
Leo sitaki kuwasumbua Sana,
Mama Samia kosa alilofanya ni Kutumia Ile Kanuni ya kila MTU ale urefu wa kamba yake. Kauli ambayo watanzania hawatakuja kuitaka Kwa sababu watanzania ni jamii ya kijamaa. Watu ambao wanataka kula kamba Kwa kushirikiana.
Watanzania wanavutiwa zaidi na viongozi ambao wanataka kuwafanya Watu wote kuwa Sawa ndani ya jamii. Yaani matajiri na Maskini wote wawe Sawa. Wavivu na wachapakazi wawe Sawa. Wenye bahati na wasio na bahati wawe sawasawa. Hilo Kwa Samia halipo, hiyo sio falsafa yake. Hapo ndipo anapopishana na upendo wa watanzania.
Samia anatumia Ile falsafa ya Yesu isemayo kila MTU abebe msalaba wake. Kila mtu ajikune pale mkono wake unapofikia.
Samia hawezi kumshusha wa juu ili afanane nawa Chini. Hiyo sio falsafa yake. WA Chini akitaka kwenda juu apambane kivyake vyake. Wakati vivyohivyo.
Wenye bahati wabaki wenye bahati Yao mpaka bahati Yao itakapokwisha. Wasio na bahati waendelee kuhenyeka mpaka bahati Yao utakapokuja yenyewe au Kwa wao kuitafuta.
Watanzania kama jamii hainaga Tabia ya ku- appreciate uwezo wa waliofanikiwa. Hata hapo kwenu wewe ukifanikiwa bado watakuona kama aidha umebahatisha, huna uwezo, au umetumia ndumba, au umebebwa bebwa.
Samia hiyo falsafa yake hawezi kutoboa kwenye mioyo ya Watanzania. Na sidhani kama yeye ni wale Watu wanaotafuta kupendwa au kulazimisha kukubalika.
Eeeh! Acha nipumzike tuu.
Ijumaa Kareem
Je, wakati huo ambao upigaji haukuwepo ulifikiwa na fursa au mafanikio gani?Tatizo upigaji kwa wachache umeongezeka, huku maisha ya wengi yakiendelea kudidimia. Katika hili, ajiandae tu kusikia kelele kutoka kila kona ya nchi.
Kilichowachafua watu no bandar. Kuludisha safu ambayo watu walikuwa ilifeli na ivi kukatika ovyo umeme ndio kabisa watu Wana juwa alikuwepo umeme ndie kaalibu kabisa Kama angendelea kalamagi kwa Sasa tungekuwa na umeme Tena Bei poa. Ila angeingia na safu ileile na Ayo yasingefanyika ,kwa mengi aliyofanya angekuwa rais asiepingwa ata kwenye uchaguzi
Hachukiwi MtU isipokuwa ni kwa matendo yake tu.
Kwa kuwa kashafeli mno kitu pekee cha kumrejeshea heshima ni kutupa katiba mpya ya wananchi. Sample iko kwenye rasimu ya warioba.