Kosa la Rais Samia ambalo watanzania wengi hawalitaki ni hili

Hopeless thread,unatetea upumbavu wa kauli ya kiongozi mkuu?,rohoni kwa mtu ni mbali yeye ambaye madhara ya hii kauli kaisikia toka kwa jamii atoke hadharani kuitolea maelezo,sio wewe kapuku waheed
 
Ndio maana wenye AKILI KUBWA tunataka KATIBA MPYA ili ujinga kama huo wa wachache kula Fedha za UMMA ukomeshwe
 
Kama unadhani kumiliki mali nyingi ni kazi rahisi basi inaonekana na wewe utakuwa maskini tu.

There is always behind bussness nyuma ya utajiri Mkubwa.

Sio utajiri wa kuuza duka na kuuza Nyanya kariakoo
Hapana huyu siyo masikini, ni mtu wa Tenda, yaani tender
 
Furaha ya masikini tajiri afirisike
 
sijawahi kukupinga..ila leo nitakupinga..kuhusu ishu ya usawa, kihulisia hatuwezi kuwa sawa hasahasa kwenye ishu ya uchumi mpaka yesu anarudi mfano juzi tu hapa kwenye nyumba ya ibada nilikutana na jamaa mmoja amenililia sana shida zake nikamuonea huruma nikamuambia twende kwangu ukawe hata houseboy, ajabu jamaa akiishafanya kazi ndogo ndogo akapata zake ugali mkubwa anapumzika mpaka kesho😃😃😃😃 hivi unategemea mtu kama huyu awe sawa na mimi??
 
Kilichowachafua watu no bandar. Kuludisha safu ambayo watu walikuwa ilifeli na ivi kukatika ovyo umeme ndio kabisa watu Wana juwa alikuwepo umeme ndie kaalibu kabisa Kama angendelea kalamagi kwa Sasa tungekuwa na umeme Tena Bei poa. Ila angeingia na safu ileile na Ayo yasingefanyika ,kwa mengi aliyofanya angekuwa rais asiepingwa ata kwenye uchaguzi
 
Watanzania tupo sahihi, waliowengi anaowaita wameendelea wengi wao ni hela za rushwa na kukwepa kodi.

Hilo lipo wazi, unamkuta afisa manunuzi local gvt huko ana ukwasi hatari, DT, DED, injinia kutaja wachache. Nenda kwenye kwenye taasisi sasa TRA, tanroads, ewura.

Njoo kwa wanasiasa sasa huko ndo unazimia kabisa, kuna watu walituambia vijisenti hela ya mboga. Ni lugha za dharau kutokana na upigaji ukiokithiri.
 
Hachukiwi MtU isipokuwa ni kwa matendo yake tu.

Kwa kuwa kashafeli mno kitu pekee cha kumrejeshea heshima ni kutupa katiba mpya ya wananchi. Sample iko kwenye rasimu ya warioba.
 
Tatizo upigaji kwa wachache umeongezeka, huku maisha ya wengi yakiendelea kudidimia. Katika hili, ajiandae tu kusikia kelele kutoka kila kona ya nchi.
Je, wakati huo ambao upigaji haukuwepo ulifikiwa na fursa au mafanikio gani?
 

Thubutu! Mimi sijawahi kuona Rais, Mfalme na hata Mungu au miungu isiyo na wapinzani.

Kila MTU anatimu ambayo anaiamini. Labda aliowatoa hakuwa anawaamini kuliko aliowaweka.
Kumbuka Hii ni Afrika
 
Hachukiwi MtU isipokuwa ni kwa matendo yake tu.

Kwa kuwa kashafeli mno kitu pekee cha kumrejeshea heshima ni kutupa katiba mpya ya wananchi. Sample iko kwenye rasimu ya warioba.

Shetani anachukiwa yeye au Matendo yake?

Matendo ya MTU ndio MTU Mwenyewe na hata adhabu hupewa MTU na sio Yale aliyoyatenda.

Kuhusu Katiba mpya, sina uhakika. Ila kama wangefanya amendment hasa kipengele cha mamlaka ya Rais ningepongeza Sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…