Mbunge Taifa
Member
- Nov 29, 2025
- 26
- 103
Niliishi Zanzibar miaka kumi nilichojifunza siasa zao na Uongozi wao wa Serikali upo tofauti na Tanganyika. Utofauti huku Tanganyika tulishazoea Kuwasema Viongozi wetu wa kitaifa tukiwa kwenye vijiwe vya kahawa au Sehemu za wazi mfano Jioni kwenye viwanja vya mpira wananchi tuna jadili Maswala ya nchi bila kuuliza Itikadi ya vyama wala Dini na hakuna mtu atakufaya nyumbani kukuchukua na kwenda kukuua.
Zanzibar ni tofauti kabisa wao wana Dunia yao.
Kule ukiisema CCM na Serikali yake tu ujue Usiku unafatwa unachukuliwa unaenda kuuwawa na hakuna mtu yoyote atakaepaza sauti kama huku Tanganyika na kule hakuna ofisi za haki za binadamu wala wana harakati, kule hakuna kulalamika na kumsema kiongozi yani ata ukiwa una msema Kiongozi na upo uswahili bado unafatwa na unauliwa, Zanzibar ni ngumu kuona Viongozi wastaafu wakitoa maoni yao, kule Zanzibar raia wengi wanapotezwa na Serikali na wananchi hawana sehemu pakusemea, na wanajuana ukiripoti tukio la utekaji tu unafatwa Nyumbani, yani kule anayeweza kuisema serikali ni Kiongozi wa upinzani tu tena ni wale wa ngazi za juu wanaofahamika nchi nzima
Sasa huyu Samia kaleta tabia ya kule Zanzibar ya kuteka na kuua ata muuza maji na karanga sokoni anayemkosoa yani utekaji wake umeshuka mpaka ngazi za chini kwenye kata, yami muuza chips, Miwa, Muuza genge, Kinyonzi nao wanatekwa wakati mfumo huu haukuwepo Tulishazoe kusikia wanaotekwa ni watu wa juu pekee. Ndiyo maana Samia ameonekana anateka na kuua watu wengi kuliko Wenzake walio mtangulia, Wenzake walikua hawateki vijana wa kwenye vijiwe vya kahawa na wauza Maduka kariakoo. Sasa yeye Mkaanga Samaki akimkosoa mara nyingi anatuma watu wanaenda kumteka.