Kosa la Samia ni kuleta Siasa za Zanzibar huku Tanganyika

Kosa la Samia ni kuleta Siasa za Zanzibar huku Tanganyika

Mzee wa kuhamisha magoli inaonekana haufahamu hata unachotetea au kubishania.

Hakuna sehemu watu wanaitaka CCM au nchimbi. Watu wanataka free and fair election. Lissu aachiwe.

Siwezi kukubali maana hakukua na uchaguzi bali uchafuzi.

Free and fair election na reforms ndicho watu wanachokitaka. Sio samia ajiuzuli kisha nchimbi achukue madaraka hapana haikubaliki hio
Maajabu ya mwaka haya!

Kumbe huwa unaandika sentensi zaidi ya moja 😂.
 
Wewe tatizo lako akili ndogo huelewei somo unafanya logical non sequitur fallacy unaiongezea na ad hominem fallacy.

Umeshindwa hoja unaniita team Samia.

Mtu yeyote anayenifuatilia atajua mimi si team Samia.

Mimi nakueleza kuwa kuna suala kubwa zaidi ya Samia, kuna CCM, kuna Watanzania wenyewe na utamaduni wao, hata Samia akiondoka akimuachia nchi Nchimbi, tatizo litakuwa palepale.

Wewe huelewi somo, unafanya personal attacks, unaishia kuona tatizo ni Samia.

Huwezi kuangalia tatizo la kimfumo, mwisho wako wa kufikiri ni kumuangalia Samia kama tatizo.

Siwezi kukulaumu. Hapo ndipo mwisho wa akili yako.
Sahihi kabisa. Tatizo ni CCM, pia asisahau kuwa akikata mizizi, shinda na matawi vitakauka vyenyewe.
 
Sahihi kabisa. Tatizo ni CCM, pia asisahau kuwa akikata mizizi, shinda na matawi vitakauka vyenyewe.
Ni kweli kuwa tatizo la msingi ni CCM.

Lakini hakuna CCM bila watu.

Kwa hiyo, kwenye haya mauaji yaliyotokea, kwenye huu utekaji unaoendelea sasa hivi, kwenye huu ubambikiwaji wa kesi za uhaini uliopo, na kwa ujumla hali mbaya ya demokrasia iliyopo sasa hivi, mtu anayewajibika moja kwa moja ni Samia.

Samia hawezi kukwepa kuwajibika kwa damu aliyoimwaga.
 
Tatizo kubwa la siasa za watu wajinga wa Afrika ni kuwa siasa zinazozunguka around personalities.

Hizi ni siasa za watu shallow vichwapanzi ambazo haziwezi kuangalia policies, haziwezi kuangalia systemic issues.

Ndiyo maana mtu kama Polepole kajisikia huru kutoa siri za ndani kabisa za CCM, kuwa CCM huwa wanawachezea watu kwa mpango wao wa "kumwaga oil".

Awali tukisikia habari za "kujivua gamba".

Maana yake ni kwamba hakuna mabadiliko ya msingi yanayofanyika, CCM inabadilisha watu tu, inajinadi kuwa imefanya mabadiliko.

Nyerere kwenda Mwinyi ulifanyika ujinga huohuo, Mwiyui kwenda Mkapa ujinga huo huo, Mkapa kwenda Kikwete ujinga huohuo, Kikwete kwenda Magufuli, ujinga huohuo. Samia kaja katujaza ujinga huohuo.

Lakini rais akizoeleka tu, tunaona kuwa CCM ni walewale. Tunabadilishiwa styke tu lakini we are still fvcked.

Kwa hiyo hapa tatizo ni CCM. Tatizo ni utamaduni wetu wa kukubali mazingaombwe yao.

Na bado watu wanajikita kwenye kutaka kumtoa Samia bila kuelewa kuwa hata Samia akiondolewa leo, matatizo yetu yapo palepale tu.

How do these people not see this?
Kiranga, umemaliza! Nchi hii imeanza kuharibikiwa na anayeitwa Baba wa taifa Nyerere, na sifa zote anazopewa, lakini jinsi alivyoijenga nchi katika kuendesha siasa, ndio umetufikisha hapa tulipo! Viongozi wote wa CCM wanacheza hapo hapo tu! Na wanajua maana ya Reform, ndio maana hawataki kuisikia kabisa.
 
Alijenga MIIKO YA UONGOZI, MAADILI YA UTUMISHI WA UMMA na AZIMIO LA ARUSHA.

Wamefuta zote.

Kubadilisha hayo mengine nini kinazuia??

Mnaomlaumu Nyerere aliyetoka madadakani mwaka 1985 na kufafiki mwaka 1999 ni MAJUHA na WAPUMBAVU.
 
Naona hujanielewa....
 
Back
Top Bottom