Kosa la Samia ni kuleta Siasa za Zanzibar huku Tanganyika

Kosa la Samia ni kuleta Siasa za Zanzibar huku Tanganyika

Mwenye akili ndogo humjua mwenzie ndo maana anakua wa kwanza kutoa lawama akihisi kazidiwa kwa udogo wa akili.

Nimeshakupa somo hutaki kuelewa kazi kutyoe magazeti makuubwa point zero.

Unahamahama mara JPM mara samia mara nchimbi hueleweki

Nani kakwambia anamtaka nchimbi,ina maana nchi nzima nchimbi ndo kiboko yako bila yeye wewe huwezi kuishiiii
Wewe tatizo lako akili ndogo huelewei somo unafanya logical non sequitur fallacy unaiongezea na ad hominem fallacy.

Umeshindwa hoja unaniita team Samia.

Mtu yeyote anayenifuatilia atajua mimi si team Samia.

Mimi nakueleza kuwa kuna suala kubwa zaidi ya Samia, kuna CCM, kuna Watanzania wenyewe na utamaduni wao, hata Samia akiondoka akimuachia nchi Nchimbi, tatizo litakuwa palepale.

Wewe huelewi somo, unafanya personal attacks, unaishia kuona tatizo ni Samia.

Huwezi kuangalia tatizo la kimfumo, mwisho wako wa kufikiri ni kumuangalia Samia kama tatizo.

Siwezi kukulaumu. Hapo ndipo mwisho wa akili yako.
 
Keynez: Nilikuwa na mawazo kama yako. kwa sababu nchi hii imejengwa katika kujipendekeza na kumpendeza Mkuu, inawezekana kabisa Samia hakupewa taarifa halisi (ya kweli) nini kilitokea Octber 29. Nadhani aliambiwa kuna tafrani ndogo ndogo tu za hapa na pale, na kuna vijana wameingia toka nchi jirani, Na yeye bila kujua akatamka hivyo.

Sababu ya kutaka kuamini hivyo, ni kwamba kila kiongozi wa serikali alikuwa anakuja na version yake! Sasa ukiona Mkuu wa Polisi anasema zile picha ni AI, huoni walikuwa wanajaribu kulifanya ni jambo la mzaha mzaha hivi. Na hata CNN walipoweka wazi nini kimetokea, walishindwa kabisa kukanusha, na wamaogopa kutoa idadi ya vifo.Inasikitisha sana.
Uwezekano wa kumficha kutomwambia ukweli upo ila sababu ya kumficha ndiyo tunaweza tusiijue.

Je ilikuwa kwa ajili ya kujipendekeza au ilikuwa kwa ajili ya kumuharibia? Zote zinaweza kuwa sababu.
 
Mwenye akili ndogo humjua mwenzie ndo maana anakua wa kwanza kutoa lawama akihisi kazidiwa kwa udogo wa akili.

Nimeshakuoa somo hutaki kuelewa kazi kutyoe magazeti makuubwa point zero.

Unahamahama mara JPM mara samia mara nchimbi hueleweki

Nani kakwambia anamtaka nchimbi,ina maana nchi nzima nchimbi ndo kiboko yako bila yeye wewe huwezi kuishiiii
Nimefuatilia malumbano yenu. Sijaelewa kwa nini mnalumbana. Kimsingi wote mnapinga uovu unaoendelea, mnatofautiana padogo sana ila cha kushangaza mnalumbama kama vile mmoja ni chawa wa CCM na mwingine ni Gen-Z.

Hajakosea anaposema tatizo la msingi la TZ ni mfumo ndiyo maana anasema akiondoka Samia akapachikwa mwingine, shida itakuwa pale pale na inaweza hata kuwa zaidi.

Tuwe makini na hawa wanaotuaminisha shida ni Samia au dini au Uzanzibari. Shida ni mfumo na tunaposema hivyo siyo kwamba tunamtetea Samia. Mifumo kandamizi ina tabia ya kutumia tofauti za watu za kidini, kiitikadi, rangi, nk. kuendelea kuwatawala.
 
Uwezekano wa kumficha kutomwambia ukweli upo ila sababu ya kumficha ndiyo tunaweza tusiijue.

Je ilikuwa kwa ajili ya kujipendekeza au ilikuwa kwa ajili ya kumuharibia? Zote zinaweza kuwa sababu.

Kujipendekeza naona ndio sehemu kubwa! CCM inaendeshwa kwa uchawa! Ingawa hata ndani ya CCM, Samia hapendeki, hiyo iko wazi kabisa, ndio maana alipitishwa kimagumashi na kundi la Kikwete kwa kuuvunja kabisa taratibu za CCM, kama wengelifuata taratibu zao wenyewe, Samia asingefika popote. Hivyo hata kumpa taarifa za uongo kumuharibia inawezekana kabisa.
 
Katika mazingira yale, njia ipi bora ya kujenga ukaribu na Rais? Kwa kumdanganya kitu ambacho ndani ya muda mfupi atakuja kujua ukweli tofauti na uliomwambia au kwa kwenda kinyume na wengine na kumnong'oneza, "Mheshimiwa Rais, wanakudanganya. Ukweli ni huu hapa"?

Nauliza hivi siyo kwamba nakupinga unaposema uchawa unaweza kuwa sababu kubwa. Tunajua washauri wenyewe akili zao fupi wanaoendeshwa na maslahi ya pesa na vyeo. Sidhani kama utendaji na matendo yao wanayafikiria kwa upana na weledi wa kazi zao.
 
kwann umteke mtu kisa kutoa maoni yake juu ya mwenendo wako kama kiongoz wake
Mtu wa kawaida na mtu asiye wa kawaida ni nani?

Acheni ujinga.

Ujinga mmoja ni huu wa kufikiri kwamba kuna watu wa kawaida na watu wasio wa kawaida, na watekaji wakiteka watu wasio wa kawaida ni poa tu, ila wakiteka watu wa kawaida ni tatizo.

Huu ni ujinga.

Mmeachia utekaji ufanyike mpaka ukazoeleka kwa wenzenu, sasa umewafikia nyie mnalalamika.

Nyie ni wajinga na wabinafsi. Mlifikiri iuekaji hautawafikia nyie, utawafikia watu wasio wa kawaida tu.

Yani hamkerwi na utekaji, mnaogopa utekaji utakaowafikia nyie tu.

Huu ni ubinafsi mkubwa sana na ujinga mkubwa sana.

Ujinga mtupu.

Soma hapa shairi la Pastor Martin Niemoller aliloliandika kuhusiana na ujinga huu wa kufikiri utekaji utaishia kwa wengine tu.

Mlifanya ujinga huu huu kwa kufikiri utekaji hautawafikia nyie, utawafikia watu wasio wa kawaida tu.

You are a very selfish and ignorant people.

First They Came.

First they came for the Communists
And I did not speak out
Because I was not a Communist

Then they came for the Socialists
And I did not speak out
Because I was not a Socialist

Then they came for the trade unionists
And I did not speak out
Because I was not a trade unionist

Then they came for the Jews
And I did not speak out
Because I was not a Jew

Then they came for me
And there was no one left
To speak out for me
[/QUOT
 
kwann umteke mtu kisa kutoa maoni yake juu ya mwenendo wako kama kiongoz wake
Hakuna sababu ya kumteka mtu yeyote, hata mmoja.

Ndiyo maana nawashangaa wanaotaka kuweka tofauti kuwa "yule aliteka watu wasio wa kawaida, huyu anateka mpaka watu wa kawaida" kuwa wanaandika ujinga tu.

Mtu wa kawaida ni nani? Nani anastahili kutekwa na kuuawa nchi hii?

Hivi hawa watu hawaoni kuwa ukizuia kuteka tangu mwanzo, kwa hao watu wanaoitwa sio wa kawaida, ndiyo utakuwa unawalinda hata hao unaowaita wa kawaida?

Hawaoni kuwa ukiachia wasio wa kawaida watekwe tabia ya kuteka itazoeleka na kuendelea mpaka kwa hao wanaojiona ni wa kawaida?
 
Ambacho hujaelewa ni EGO tena ile ya kitanzania kali kali ndio inasababisha malumbano makali mpaka kupimana uwezo wa akili ndogo kiasi au ndogo sana.

Ndo maana wadau wanataka reforms zitakazo ukandamiza mfumo uliopo.
Nimefuatilia malumbano yenu. Sijaelewa kwa nini mnalumbana. Kimsingi wote mnapinga uovu unaoendelea, mnatofautiana padogo sana ila cha kushangaza mnalumbama kama vile mmoja ni chawa wa CCM na mwingine ni Gen-Z.

Hajakosea anaposema tatizo la msingi la TZ ni mfumo ndiyo maana anasema akiondoka Samia akapachikwa mwingine, shida itakuwa pale pale na inaweza hata kuwa zaidi.

Tuwe makini na hawa wanaotuaminisha shida ni Samia au dini au Uzanzibari. Shida ni mfumo na tunaposema hivyo siyo kwamba tunamtetea Samia. Mifumo kandamizi ina tabia ya kutumia tofauti za watu za kidini, kiitikadi, rangi, nk. kuendelea kuwatawala.
 
Ambacho hujaelewa ni EGO tena ile ya kitanzania kali kali ndio inasababisha malumbano makali mpaka kupimana uwezo wa akili ndogo kiasi au ndogo sana.

Ndo maana wadau wanataka reforms zitakazo ukandamiza mfumo uliopo.
Nini mtazamo wako kuhusu Magufuli na utawala wake? Naomba unijibu kwa aya zisizozidi mbili. Kuna kitu nataka kufahamu. Inawezekana nina suluhisho la malumbano yenu.
 
Wao wanataka Mamlaka kamili ya Zanzibar wajiamulie mambo yao na siyo Mambo yao yaamuliwe na Tanganyika, Unajua kama October 29 Mtandao ulizimwa mpaka Zanzibar je sasa inahusika vipi na vurugu za Tanganyika yani mtu akimua tu leo ngoja niwazimie Umeme na Mtandao Zanzibar na anawazimia tu. Kule mtandao ulizimwa watalii wakateseka.
Pemba yenyewe haina mahusiano mazuri na Unguja.

Bila Tanganyika hata hiyo Zanzibar haitakuwepo..

Watagawana mbao, au itakuwa ni vita.
 
Aaah mkuu haya masuala yalisabbisha nikose raha kwenye somo la kiswahili kuwekewa limits.

Mtazamo wangu ni kwamba JPM alifanya makosa mengi sana na hakufata katiba. Jembe katupa maendeleo ya vitu na kuvuruga maendeleo ya watu na siasa.

Sijui nimezingatia aya mbili ama

Nini mtazamo wako kuhusu Magufuli na utawala wake? Naomba unijibu kwa aya zisizozidi mbili. Kuna kitu nataka kufahamu. Inawezekana nina suluhisho la malumbano yenu.
 
CCM mtandao w
Shambulio la lissu lina mkono wa ccm mtandao na chadema ndiyo maana samia alikwemda mbio kumwona lissu akiwa hospital Nairobi ili ionekane kuwa wao kina Samia (mtandao) ni wema tofauti na jpm ...sasa swali..kww nini samia aliwatenda uovu wakenya na waganda waliokuja kumwona huyo huyo lisu hakiwa mahakamani? Tumia akili yako vizuri ...Samia aliye kwenda mbio kumwona lissu ndiyo huyu huyu aliye waumiza wanaharakati wa haki waliokuja kumwona lissu ..je ni samia huyu huyu aliye umizwa na lissu kupigwa lisasi ndiyo huyu huyu aliye waua watanganyika zaidi ya elfu 10 na kuwafukia mafichoni .....NILIWAI KUWAAMBIA KUWA CCM MTANDAO WALIKUWA BEGA KWA BEGA NA CHADEMA KUMPIGA VITA JPM .
CCM mtandao walikua began kwa began na Mbowe ndiyo maana Samia alipo apishwa kua Raisi Mbowe akapoa hakawa hakosoi tena Serikali akalambishwa Asali, mfano Mbowe angekua Kiongozi wa Chadema mpaka sasa Chadema wangeshiriki uchaguzi. Ndiyo Maana Lissu alipowaambia Viongozi wa Chadema Mwaka huu Chadema haitashiriki uchagu Viongozi matapeli na mawinga wakachanganyikiwa na kuanza kukikimbia chama.
 
Pemba yenyewe haina mahusiano mazuri na Unguja.

Bila Tanganyika hata hiyo Zanzibar haitakuwepo..

Watagawana mbao, au itakuwa ni vita.
Mkuu hiyo ilikua kipindi cha miaka ya Nyuma leo hii Mwinyi kaijenga Pemba na kunamaendeleo sana, CCM walikua hawapeleki Maendeleo pemba, Kingine viongozi wa Kizanzibar hawana Akili na mipango ya kimaendelo, Serikali ya Zanzibar haina dira ya Maendeleo yani wao ni kwenda kazini na kurudi nyumbani.
 
1.Ni nani aliagiza watu wapigwe risasi na kuuawa vile?
2.Wapigaji risasi wale ni wakina nani na wapo wapi?
3.Ni kwanini uchaguzi ufanyike kwa namna OVU kwa kiwango kile?
4.Watu waliokufa wapo wapi?
5.Wataongozaje taifa la watu wasiowataka?
6.Ni nani anayeteka na kuua watanzania?
Waliotekwa wapo wapi?

Haya maswali wayatafakari na wayazingatie
 
Aaah mkuu haya masuala yalisabbisha nikose raha kwenye somo la kiswahili kuwekewa limits.

Mtazamo wangu ni kwamba JPM alifanya makosa mengi sana na hakufata katiba. Jembe katupa maendeleo ya vitu na kuvuruga maendeleo ya watu na siasa.

Sijui nimezingatia aya mbili ama
Kitendo cha kumuita "jembe", kwa jicho langu la kijasusi naona una mahaba ndi ndi ndi juu yake na ndiyo maana umekwazika kwa maneno ya Kiranga kiasi cha kushindwa kukubaliana naye kwa jambo ambalo kimsingi unalikubali mwenzio alichosema.

Tuishie hapo.
 
Kikwete hakuwahi kuteka na kuua, bali aliteka na kutesa then anakuachia ukiwa hai. Magufuli kateka na kuua na kaenda mbali hata maiti hupewi kwenda kuzika.
Si ndo ujinga tunaousemea we unaona ni sahihi mtu kutekwa na anarudi hana hata kucha
 
Soma mtiririko wa maelezo utaelewa sihalalishi naondoa dhana potofu kwamba haya kaanzisha Samia kwa Uzanzibari.

Hata Magufuli hakuna kipya akichofanya mambo yote yanarudi nyuma kwa Nyerere.

Tofauti Nyerere alijua kuhalalisha mambo kisheria na kifalsafa.

Kwa nini unaona nikisema hili jambo hajaanzisha Samia lilikuwapo kabla, unaona namsafisha Samia?

Kwa ni i watu wengi wana tatizo la kusoma kwa ufahamu hivi?

Yani mtu anasema Samia kaanzisha wizi, tabia za Kizanzibari.

Halafu mimi nakuja kusema hilo si kweli, wizi ulikuwapo tangu enzi za Magufuli na Magifuki si Mzanzibari.

Sasa hapo unasomaje juwa mimi namsafisha Samia kuwa si mwizi?

Umeshindwaje kuona kuwa point yangu si kwamba Samia si mwizi, point yangu si kumsafisha Samia kwenye wizi, point yangu ni kusema wizi si tabia ya Kizanzibari ulikuwapo tangu enzi za Magufuli na Magufuli si Mzanzibari?

Logical non sequitur fallacy.
Wewe utakuwa ulikuwa una shida binafsi na Magufuli hapo ilitakiwa kama ni wizi useme ulianza tokea awamu ya kwanza lakini wewe unachokifanya eti ulianzia kwa Magufuli
 
Kitendo cha kumuita "jembe", kwa jicho langu la kijasusi naona una mahaba ndi ndi ndi juu yake na ndiyo maana umekwazika kwa maneno ya Kiranga kiasi cha kushindwa kukubaliana naye kwa jambo ambalo kimsingi unalikubali mwenzio alichosema.

Tuishie hapo.
Tatizo la Watanzania wengi kama huyo ni ushamba.

Huyo naye ni mshamba tu.

Hawa watu washamba washamba mara nyingine mini huwa nashindwa jufanya mazungumzo nao kwa sababu we have no common ground to start a conversation.

Sasa ntu anayemsifia JPM kama jembe na kumkataa Samia mimi namuona ni mshamba asiyejitambua tu.

Haelewi mambo mengi sana mpaka nashindwa nianzie wapi.

Mtu anashindwa vioi kuelewa kuwa Magufuki na Samia wote ni mazao ya uizi wa CCM na wote wana matatizo mengi tu?

Anashindeaje kuona kuna tatizo la kinfumo la CCM, la utamaduni wetu kama Watanzania, ambalo hakiwezi kumakizwa kwa sisi kumtoa Samia tu?

Mtu mshamba na mjinga kama huyu mnaelewana vipi?
 
Back
Top Bottom