Econometrician
JF-Expert Member
- Oct 25, 2013
- 17,929
- 33,764
Ni kweli Samia anafanya hivyo, ila haya kayaiga kwa Magufuli, weka maelezo yako kwa usahihi.
Sijui watu hili huwa halioni.
Ni kweli Samia anafanya hivyo, ila haya kayaiga kwa Magufuli, weka maelezo yako kwa usahihi.
Alikuwa na mzanzibar kama msaidizi wake, so wote walikuwa timu moja... Utani tuu huuLakini haya mambo mbona yalianza hata kabla ya Samia kuwa rais?
Magufuli alipoteza watu sana pia, naye ni Mzanzibari?
Wala hata hajahalalisha. Kaweka record sawa kwamba hata Magu alipoteza watu.
Soma mtiririko wa maelezo utaelewa sihalalishi naondoa dhana potofu kwamba haya kaanzisha Samia kwa Uzanzibari.Kila kitu magufuli kwa hio mkuu unahahalisha yanayoendelea nchini kisa magufuli alitenda? Kwani wakati anateka na kuua akina mange hawakumsema na kumsakama kama samia wako?
Wewe hufai hata kujibiwa.Alikuwa na mzanzibar kama msaidizi wake, so wote walikuwa timu moja... Utani tuu huu
Kila jambo lenye mwanzo lina mwendelezo wake, hata huyu akitoka atakayekuja nae atakuja katika hali hii hii labda aamue kuipunguza au kuimaliza kabisa
Soma mtiririko wa maelezo utaelewa sihalalishi naondoa dhana potofu kwamba haya kaanzisha Samia kwa Uzanzibari.
Hata Magufuli hakuna kipya akichofanya mambo yote yanarudi nyuma kwa Nyerere.
Tofauti Nyerere alijua kuhalalisha mambo kisheria na kifalsafa.
Kwa nini unaona nikisema hili jambo hajaanzisha Samia lilikuwapo kabla, unaona namsafisha Samia?
Kwa ni i watu wengi wana tatizo la kusoma kwa ufahamu hivi?
Logical non sequitur fallacy.
unamkumbuka mwamba GADAFI? Magufuli alikuwa na sera kama za GADAFI!UTEKAJI ULIANZIA KWA KIKWETE LABDA KAMA MLIKUWA HAJAZALIWA. DR. ULIMBOKA ALITEKWA NA KUPIGWA NA KUTUPWA MSITU WA MABWEPANDE WAKATI WA MAGUFULI? SEMA WAKATI WA JAKAYA MATUKIO YA UTEKAJI HAYAKUWA MENGI ILA YEYE NDIYE MWANZILISHI NA HATA MAGUFULI YAWEZEKANA ALIJIFUNZA KUTOKA KWA MTANGULIZI WAKE YAANI KIKWETE.
Sijahamisha mada kutoka kwa Samia kwenda kwa Magufuli.Magufuki anyway mkuu nia yako ni kuhamisha mada kutoka samia kwenda magufuli. Hili jambo lingefanikiwa sana enzi zile alipofariki kipindi kile kila tope lilioibuliwa watu walisema la JPM. Ila kwa sasa mada ni bi chura na mauaji ya hadharani
Sijahamisha mada kutoka kwa Samia kwenda kwa Magufuli.
Nakuonesha hizi habari za kumuangalia mtu mmoja aliye juu, kuleta habari za Wazanzibari, ni ujinga tu.
Hao Wazanzibari wenyewe unawaita Wazanzibafi wewe mtu wa nje, wenyewe ndani wanajuana Wapemba, Wangazija, Wa Shirazi, wa Tumbatu, Wajindo, etc.
ACT Wazalendo Zanzibar wote wanalia.
Tuna tatizo la kimfumo lililozidi tatizo la watu. Tuna tatizo la utamaduni.
Tuna tatizo la CCM.
Ndiyo maana alivyokuwa rais Magufuli tulilalamika kutekwa na kupotezwa, Magufuli kajifia zake mbali, sasa hivi kuna Samia, na yeye tunamlalamikia.
Tatizo ni mifumo, tatizo ni katiba, tatizo ni utamaduni wetu.
Tukimuangalia kiongozi aliye juu ni kama tip of the iceberg tu, ni kama 10% ya tatizo.
90% ni mifumo, ni sheria, ni katiba, ni CCM, ni utamaduni wetu wote.
Sasa kwa watu wajinga ni rahisi sana kuwa stuck kumuangalia mtu mmoja aliye juu badala ya kuuangalia mfumo mzima.
Na hapo ndipo mtakaposhangaa Samia anaweza kuondokewa mkapewa Nchimbi mkarudi kulalamika vilevile.
Kuna watu walikuwa wanalalamikia urais wa Kikwete kwamba hakutakuja kuwa na rais mbovu zaidi ya Kikwete.
Nikawaambia hamjaona kitu watakuja wengine wabaya kumzidi huyu.
Tumempata Magufuli na Samia sasa hivi tunasema bora hata Kikwete alikuwa mvumilivu kwenye demokrasia.
Acheni huu ujinga wa kumuangalia mtu mmoja wakati mna matatizo ya kimfumo na kiutamaduni.
Bado hujaelewa kuwa simtetei Samia nakueleza kuwa hapa una tatizo kubwa kuliko Samia.Unajua kwanini hawamsemi Mwinyi senior badala yake wanamsema samuya. Kwa sababu mwinyi ni m bara mwenzetu alizamia zenji hivyo hakuwa na tabia za kule. Ila bi chura wa kule kule ndo maana kajaza ndugu zake bungeni hadi kwenye baraza la mawaziri.
Kumtetea samuya ni kazi kubwa sana kipindi hiki. Hasafishiki hata kwa Jiki
Sijahamisha mada kutoka kwa Samia kwenda kwa Magufuli.
Nakuonesha hizi habari za kumuangalia mtu mmoja aliye juu, kuleta habari za Wazanzibari, ni ujinga tu.
Hao Wazanzibari wenyewe unawaita Wazanzibafi wewe mtu wa nje, wenyewe ndani wanajuana Wapemba, Wangazija, Wa Shirazi, wa Tumbatu, Wajindo, etc.
ACT Wazalendo Zanzibar wote wanalia.
Tuna tatizo la kimfumo lililozidi tatizo la watu. Tuna tatizo la utamaduni.
Tuna tatizo la CCM.
Ndiyo maana alivyokuwa rais Magufuli tulilalamika kutekwa na kupotezwa, Magufuli kajifia zake mbali, sasa hivi kuna Samia, na yeye tunamlalamikia.
Tatizo ni mifumo, tatizo ni katiba, tatizo ni utamaduni wetu.
Tukimuangalia kiongozi aliye juu ni kama tip of the iceberg tu, ni kama 10% ya tatizo.
90% ni mifumo, ni sheria, ni katiba, ni CCM, ni utamaduni wetu wote.
Sasa kwa watu wajinga ni rahisi sana kuwa stuck kumuangalia mtu mmoja aliye juu badala ya kuuangalia mfumo mzima.
Na hapo ndipo mtakaposhangaa Samia anaweza kuondokewa mkapewa Nchimbi mkarudi kulalamika vilevile.
Kuna watu walikuwa wanalalamikia urais wa Kikwete kwamba hakutakuja kuwa na rais mbovu zaidi ya Kikwete.
Nikawaambia hamjaona kitu watakuja wengine wabaya kumzidi huyu.
Tumempata Magufuli na Samia sasa hivi tunasema bora hata Kikwete alikuwa mvumilivu kwenye demokrasia.
Acheni huu ujinga wa kumuangalia mtu mmoja wakati mna matatizo ya kimfumo na kiutamaduni

Dhulma kwa MTU yoyote ni dhulma kwa watu wote , alichofanya magufuli ndio ushenzi ule ule anaofanya samia , hata hao wapinzani Kama Ben saanane waliouliwa na Magufuli walikuwa n haki ya kuishi ...Tukubali tu kwamva ccm imeoza kitambo na haifai tena ,ni kwamba tu harufu ya uvundo imekuwa kubwa ndani ya nyumba ndio milio imekuwa mingi ........Ubinafsi wa mtanzania kwamba wanaofaa kufanyiwa unyama ni wapinzani tu ............Hili ni tatizo kubwa la jinsi fikra zetu zilivyo ......................Ila naamini tutajifunza na kuelewa kwa nijia ngumu ya maumivu Kama hiviHuyo jamaa kiranga kakurupuka tu kukujibu si ajabu hata uzi hajausoma akakimbilia kucomment tu.
Unachokisema ni kweli na hata mimi nimewahi kuwaambia watu mara kibaoa.
Ni kweli utekaji kwa wakosoaji haujaanzia kwa samia, ila samia utekaji wake umezidi na umekuwa wa kipumbavu mno maana anateka hata watu ambao hawana impact kwenye utawala wake dhalimu.
Magufuli alikuwa anateka watu ambao ni real threat wa utawala wake, na mara nyingi tuliona akideal sana na wapinzani tena wale wenye ushawishi na nguvu.
Raia wa kawaida tulimkosoa sana mwendazake bila kuwa na hofu yoyote ile, maana hatukuwa na significant threat kwa utawala wake wa kibabe, na ndio maana hata kelele za kukemea utekaji hazikuwa nyingi kama kipindi hiki.
Haya njoo kwa hiki kimama cha kizanzibari, yaani kinateka mpaka vijana wa miaka 17 wanaoshinda Tik-tok ambao hata sio potential threat kwa utawala wake wa kiimla ovyo sana huyu mwanamke..,
..yaani imefika stage eti kuna kitengo maalumu kabisa cha polisi wa kufanya doria mtandaoni wakifuatilia comments za watu wanaomtukana raisi kwenye page mbali mbali kisha wana watrace locations zao na kwenda kuwateka serious?
Huyu mzanzibari hakufaa kabisa kuongoza hata mtaa tu hapa Tanganyika, basi tu yuko pale kwa sababu ya kuendekeza tamaa ya fedha kwa watanganyika wenzetu wenye nafasi.
Bado hujaelewa kuwa simtetei Samia nakueleza kuwa hapa una tatizo kubwa kuliko Samia.
Huelewi wapi?
Ina maana leo ukiambiwa na CCM wanamtoa Samia wanakuwekea Emmanuel Nchimbi utakubali na kufurahi kwa kuwa Samia kaondolewa?
Umeshazeeka, punguza mitandao.Soma mtiririko wa maelezo utaelewa sihalalishi naondoa dhana potofu kwamba haya kaanzisha Samia kwa Uzanzibari.
Hata Magufuli hakuna kipya akichofanya mambo yote yanarudi nyuma kwa Nyerere.
Tofauti Nyerere alijua kuhalalisha mambo kisheria na kifalsafa.
Kwa nini unaona nikisema hili jambo hajaanzisha Samia lilikuwapo kabla, unaona namsafisha Samia?
Kwa ni i watu wengi wana tatizo la kusoma kwa ufahamu hivi?
Yani mtu anasema Samia kaanzisha wizi, tabia za Kizanzibari.
Halafu mimi nakuja kusema hilo si kweli, wizi ulikuwapo tangu enzi za Magufuli na Magifuki si Mzanzibari.
Sasa hapo unasomaje juwa mimi namsafisha Samia kuwa si mwizi?
Umeshindwaje kuona kuwa point yangu si kwamba Samia si mwizi, point yangu si kumsafisha Samia kwenye wizi, point yangu ni kusema wizi si tabia ya Kizanzibari ulikuwapo tangu enzi za Magufuli na Magufuli si Mzanzibari?
Logical non sequitur fallacy.
Acheni huu UPUMBAVU.Kiranga: Mkuu wengi sana wadhani tatizo ni Samia, mfumo tulio nao hata ukimuondoa Samia utazaa matatizo yale yale. Na hata asingelikuwa Samia kama Rais, kwa mfumo huu, hali iliyojitokeza katika uchaguzi huu ingejitokeza kwa candidate mwingine, ili CCM ibaki madarakani lazima itumie dola kujilinda, na CCM yenyewe ni ngumu mno kujaribu kuubadili mfumo ambao unaibeba!
Bora hata mdude angalau anajulikana kidogo,kuna yule dogo aliyechomaga picha kule mbeya, alikuwa na hatari gani hadi apotezwe?Ni kweli, Samia utekaji wake kaushusha mpaka chini yani ata Fundi baiskeli na Mpika chips anatekwa, basi angekua Anadarko walikuo kwenye mzunguko wake na watu wa kati sasa yeye kashuka mpaka ngazi ya chini kabisa, Mfano Mdude kamteka wanini Sasa Mtu kama Mdude ana madhara gani? yeye aoni Magufuli alimuweka Ndani.
Exactly.Kiranga: Mkuu wengi sana wadhani tatizo ni Samia, mfumo tulio nao hata ukimuondoa Samia utazaa matatizo yale yale. Na hata asingelikuwa Samia kama Rais, kwa mfumo huu, hali iliyojitokeza katika uchaguzi huu ingejitokeza kwa candidate mwingine, ili CCM ibaki madarakani lazima itumie dola kujilinda, na CCM yenyewe ni ngumu mno kujaribu kuubadili mfumo ambao unaibeba!