Kosa la Samia ni kuleta Siasa za Zanzibar huku Tanganyika

Kosa la Samia ni kuleta Siasa za Zanzibar huku Tanganyika

Tuseme hilo ni kweli.

Swali linakuja.

Je, watu mamilioni wote hawa wa Tanganyika, wamekubali vipi kuletewa siasa za kigeni ambazo si zao zikafanya yote hayo?

Hawa wakuu wa polisi, usalama, wakuu wa mikoa, wakuu wa wilaya, watendaji wa serikalini, wote ni wazanzibari nao?

Wameruhusuje siasa hizi kuendelea Tanzania?
hao wamefungwa na Katiba , katiba imempa mandate kubwa rais , hvyo watu wanalinda ugali wao ila yule mkuu wa nchi ndo anaeamu njia ipi tunaenda na yeye ndo wa kulaumiwa
 
Muongo mkubwa, ZNZ watu wanaisema CCM na Serikali yake vijiweni na hakuna aliewahi kuchukuliwa. Munapenda kuzua vitu eti ZNZ acheni uzushi.
ww ndo muongo hata mm nmeishi Zenj , haya mamb yapo
 
Sijui watu hili huwa halioni.
Jpm alikuwa anasingiziwa , hawa hawa ndo walikuwa wanateka watu enz za Jpm , Jpm aliwaita wakosoaj wake kama Gwajima wakajiunga na serikali .
Alivyopotea Mo, za chin chin zinasema aliwekwa pale pemben ya uwanja wa taifa ila Jiwe hakuwa anajua , ndio maana jIwe baadae alihoji huyu mtu baada ya kutekwa mtu wa kwanza kuonekana nae ni IGP tena walionekana wakiwa sehem wanakula , ile ilikuwa michezo kumchafua , Jiwe katoka sasa hv utekaj ndo umeshamili maana wapo free
 
Mzee wa kuhamisha magoli inaonekana haufahamu hata unachotetea au kubishania.

Hakuna sehemu watu wanaitaka CCM au nchimbi. Watu wanataka free and fair election. Lissu aachiwe.

Siwezi kukubali maana hakukua na uchaguzi bali uchafuzi.

Free and fair election na reforms ndicho watu wanachokitaka. Sio samia ajiuzuli kisha nchimbi achukue madaraka hapana haikubaliki hio
Sasa hapo mfano wako mwenyewe wa JPM bado hujaelewa kuwa tatizo kubwa zaidi si mtu ni mfumo?

Huelewi wapi?

Nimekuuliza Samia akijiuzulu amuachie Emmanuel Nchimbi utakubali na kufurahi?

Hujajibu.
 
Haelewi kanga'angania tu kumtaja JPM ili kuhalalisha uharamia wa samuya. Haya mambo yalikuwa yanashangiliwa enzi zile JPM kafariki ila kwa sasa watu wamezinduka,magereza yamejaa watu wasio na hatia kisa kumkosoa bi chura
hv umesoma ukaelewa bandiko la jamaa au umetumia hisia , kasema waliotangulia waliteka ila sio hadi watu wa kawaida kabisa , waliteka watu ambao kwel ni tishio kwao
Mim enzi za Jpm nliishi mtaa ambao umejaa bendera za Chadema tu , ila sikuwai ona watu wakipotezwa .
Nlikuwa Mwanza enz za utawala wa Jpm watu walimkosoa Jpm ila sikuwai ona wakitekwa
Leo hata mtu akiimbwa Nywi nywi unatekwa

Usishabikie utekaj , leo kwa wengine kesho kwako
 
Mtu wa kawaida na mtu asiye wa kawaida ni nani?

Acheni ujinga.

Ujinga mmoja ni huu wa kufikiri kwamba kuna watu wa kawaida na watu wasio wa kawaida, na watekaji wakiteka watu wasio wa kawaida ni poa tu, ila wakiteka watu wa kawaida ni tatizo.

Huu ni ujinga.

Mmeachia utekaji ufanyike mpaka ukazoeleka kwa wenzenu, sasa umewafikia nyie mnalalamika.

Nyie ni wajinga na wabinafsi. Mlifikiri iuekaji hautawafikia nyie, utawafikia watu wasio wa kawaida tu.

Yani hamkerwi na utekaji, mnaogopa utekaji utakaowafikia nyie tu.

Huu ni ubinafsi mkubwa sana na ujinga mkubwa sana.

Ujinga mtupu.

Soma hapa shairi la Pastor Martin Niemoller aliloliandika kuhusiana na ujinga huu wa kufikiri utekaji utaishia kwa wengine tu.

Mlifanya ujinga huu huu kwa kufikiri utekaji hautawafikia nyie, utawafikia watu wasio wa kawaida tu.

You are a very selfish and ignorant people.

First They Came.

First they came for the Communists
And I did not speak out
Because I was not a Communist

Then they came for the Socialists
And I did not speak out
Because I was not a Socialist

Then they came for the trade unionists
And I did not speak out
Because I was not a trade unionist

Then they came for the Jews
And I did not speak out
Because I was not a Jew

Then they came for me
And there was no one left
To speak out for me
 
UTEKAJI ULIANZIA KWA KIKWETE LABDA KAMA MLIKUWA HAJAZALIWA. DR. ULIMBOKA ALITEKWA NA KUPIGWA NA KUTUPWA MSITU WA MABWEPANDE WAKATI WA MAGUFULI? SEMA WAKATI WA JAKAYA MATUKIO YA UTEKAJI HAYAKUWA MENGI ILA YEYE NDIYE MWANZILISHI NA HATA MAGUFULI YAWEZEKANA ALIJIFUNZA KUTOKA KWA MTANGULIZI k

UTEKAJI ULIANZIA KWA KIKWETE LABDA KAMA MLIKUWA HAJAZALIWA. DR. ULIMBOKA ALITEKWA NA KUPIGWA NA KUTUPWA MSITU WA MABWEPANDE WAKATI WA MAGUFULI? SEMA WAKATI WA JAKAYA MATUKIO YA UTEKAJI HAYAKUWA MENGI ILA YEYE NDIYE MWANZILISHI NA HATA MAGUFULI YAWEZEKANA ALIJIFUNZA KUTOKA KWA MTANGULIZI WAKE YAANI KIKWETE.
Kipindi cha jk utekaji haukuhusiana na siasa wala.kukosolewa

Ulimboka alihatarisha usalama kwa kufanya mgomo wa madaktari nchi nzima

Lkn tokea kwa jpm maturity ya kisiasa yamekuwa mengi
 
hao wamefungwa na Katiba , katiba imempa mandate kubwa rais , hvyo watu wanalinda ugali wao ila yule mkuu wa nchi ndo anaeamu njia ipi tunaenda na yeye ndo wa kulaumiwa
Hakuna kujificha kwenyw katiba katika mambo dhalimu.

Mandela alitakiwa kutoasi serikali ya makaburu kwa katiba dhalimu ya makaburu lakini hakuacha kupambania uhuru wa nchi yake kwa sababu alitakiwa kuheshimu serikali ya makaburi na katiba.

Alisema yuko tayari kufa ili kupigania uhuru wa nchi yake. Kasome Rivonia Trial.

Kuna polisi walikataa amri ya kuua wamejiuzulu kazi Tarime, hapahapa Tanzania. Sasa hivi wanasumbuliwa mpaka wanataka kuhama nchi.

Kwa hiyo wapo watu waliokataa ujinga huu msitake kitumia sheria na katiba kama chaka.

Kwenye sheria za kimataifa ukipewa amri ya kikatiba kuua sehemu isiyotakiwa kuua, ukaua, hapo kusema kuwa nilifuata amri ya kikatiba kutoka juu si utetezi.

Soma The Nuremberg Trials waliyofanyiwa wanajeshi wa Nazi Germany baada ya Vita Vikuu Vya Pili vya Dunia.

Nimekupa vitu viwili vya kusoma leo hata kwa juujuu tu.

The Ribonia Trial of Nelson Madela.

The Nuremberg Trials - Nazi Germany after World War II.
 
Watu sijui wameanza kufatilia siasa juzi
Kipinfi cha jk utekaji haukuhusiana na siasa na wala hakuna tukio la jk kukosolewa kiasiasa watu wakatekwa

Bali ulimboka baada ya kuvuka mupaka kuhatarisha uhai wa watu ndio alitekwa tofauti na waliomfuatia ambao utekaji wa kisiasa ulikithiri
 
Mzee wa kuhamisha magoli inaonekana haufahamu hata unachotetea au kubishania.

Hakuna sehemu watu wanaitaka CCM au nchimbi. Watu wanataka free and fair election. Lissu aachiwe.

Siwezi kukubali maana hakukua na uchaguzi bali uchafuzi.

Free and fair election na reforms ndicho watu wanachokitaka. Sio samia ajiuzuli kisha nchimbi achukue madaraka hapana haikubaliki hio
Sasa kama huitaki CCM wala Nchimbi huoni kuwa kuweka energy zako nyingi kwenye kumtoa Samia ni ujinga?

Samia akisema "Sawa, nimekusikia, naondoka, namuachia nchi Nchimbi" huoni kuwa hoja yako ya kumbagaza na kumtoa Samia itakuwa imekurudisha kwenye uongozi wa CCM tena?

Kwa nini unashindwa kufanya focus comprehensively kuitoa CCM unaishia ku focus kwenye mtu mmoja wakati tushaona hao viongozi wanakuja na kuondoka lakini tatizo linabaki palepale kwa sababu tuna matatizo makubwa zaidi ya hao viongozi individuals tu?

Huoni kujikita kumsakama na kumuondoa Samia ni kuji shortchange wewe mwenyewe kama unachotaka ni kuiondoa CCM?
 
Utetezi huo hauna mashiko. Nyie ndiyo mpaka leo mnataka kutuaminisha shambulio la Lissu lina mkono wa CHADEMA wenyewe.
Shambulio la lissu lina mkono wa ccm mtandao na chadema ndiyo maana samia alikwemda mbio kumwona lissu akiwa hospital Nairobi ili ionekane kuwa wao kina Samia (mtandao) ni wema tofauti na jpm ...sasa swali..kwa nini samia aliwatenda uovu wakenya na waganda waliokuja kumwona huyo huyo lisu akiwa mahakamani? Tumia akili yako vizuri ...Samia aliye kwenda mbio kumwona lissu ndiyo huyu huyu aliye waumiza wanaharakati wa haki waliokuja kumwona lissu ..je ni samia huyu huyu aliye umizwa na lissu kupigwa lisasi ndiyo huyu huyu aliye waua watanganyika zaidi ya elfu 10 na kuwafukia mafichoni .....NILIWAI KUWAAMBIA KUWA CCM MTANDAO WALIKUWA BEGA KWA BEGA NA CHADEMA KUMPIGA VITA JPM .
 
Shambulio la lissu lina mkono wa ccm mtandao na chadema ndiyo maana samia alikwemda mbip kumwona lissu akiwa hospital Nairobi ili 9onekane kuwa wao kina Samia (mtandao) ni wema tofauti na jpm ...sasa swali nini samia aliwatenda uovu wakenya na waganda waliokuja kumwona huyo huyo lisu hakiwa mahakamani? Tumia akili yako vizuri ...Samia aliye kwenda mbio kumwona lissu ndiyo huyu huyu aliye waumiza wanaharakati wa haki waliokuja kumwona lissu ..je ni samia huyu huyu aliye umizwa na lissu kupigwa lisasi ndiyo huyu huyu aliye waua watanganyika zaidi ya elfu 10 na kuwafukia mafichoni .....NILIWAI KUWAAMBIA KUWA CCM MTANDAO WALIKUWA BEGA KWA BEGA NA CHADEMA KUMPIGA VITA JPM .
Siyo kweli, hizo propaganda kawahadithie watoto wachanga. Pia Samia hakwenda "mbio" kumuona Lissu na pia hakwenda bila ruhusa ya Magufuli.

Mna ugonjwa sugu wa kukwepa uwajibikaji. Ni ugonjwa wa mifumo yote ya kijamaa. Mfumo unapofeli, badala ya kuwajibisha wahusika, mnatafuta wa kumuangushia jumba bovu ili mfumo upone. Huo ni ugonjwa sugu wa mifumo ya kijamaa na kisoshalisti.
 
Shambulio la lissu lina mkono wa ccm mtandao na chadema ndiyo maana samia alikwemda mbio kumwona lissu akiwa hospital Nairobi ili ionekane kuwa wao kina Samia (mtandao) ni wema tofauti na jpm ...sasa swali..kww nini samia aliwatenda uovu wakenya na waganda waliokuja kumwona huyo huyo lisu hakiwa mahakamani? Tumia akili yako vizuri ...Samia aliye kwenda mbio kumwona lissu ndiyo huyu huyu aliye waumiza wanaharakati wa haki waliokuja kumwona lissu ..je ni samia huyu huyu aliye umizwa na lissu kupigwa lisasi ndiyo huyu huyu aliye waua watanganyika zaidi ya elfu 10 na kuwafukia mafichoni .....NILIWAI KUWAAMBIA KUWA CCM MTANDAO WALIKUWA BEGA KWA BEGA NA CHADEMA KUMPIGA VITA JPM .
Na kuwazuia wapinzani wasifanye siasa, ni agizo la CCM mtandao?
 
Na kuwazuia wapinzani wasifanye siasa, ni agizo la CCM mtandao?
JPM alisema wazi kuwa wapinzani na wanasiasa wangoje kwanza anyoshe nchi ....unajua maana ya haya maneno ? Jpm alikuwa anapambana na maadui wakubwa wa taifa ambao walikuwa ndani ya CCM YENYEWE .
 
Lissu hata angepigwa shaba kwa amri ya JPM ilikuwa sahihi maana alianza kutumikia mafisadi kina Rostam Aziz na mabeberu ya madini ndiyo akaja na hoja ya kushitakiwa MIGA
Siyo kweli, hizo propaganda kawahadithie watoto wachanga. Pia Samia hakwenda "mbio" kumuona Lissu na pia hakwenda bila ruhusa ya Magufuli.

Mna ugonjwa sugu wa kukwepa uwajibikaji. Ni ugonjwa wa mifumo yote ya kijamaa. Mfumo unapofeli, badala ya kuwajibisha wahusika, mnatafuta wa kumuangushia jumba bovu ili mfumo upone. Huo ni ugonjwa sugu wa mifumo ya kijamaa na kisoshalisti.
 
Lissu hata angepigwa shaba kwa amri ya JPM ilikuwa sahihi maana alianza kutumikia mafisadi kina Rostam Aziz na mabeberu ya madini ndiyo akaja na hoja ya kushitakiwa MIGA
Ni vizuri umefunguka mapema ili nisipoteze muda wangu kujadiliana na wewe.
 
Team samia upo vizuri. Hebu ngoja nirudi kusoma katiba ambayo samuya aliita ka kitabu, kama ina kipengele cha yeye kujiuzulu kisha nchimbi anashika usikani bila general election.

Samia kaua watu wengi sana wasio na hatia kisa kuiba kuingia madarakani. Waliotoka hawakuua kwa kiwango hiki alichofanya yeye. Hawakujaza ukoo wao bungeni kama yeye. Waliotoka hawakuwatumia watoto wao ambao hawana ajira wala vyeo serikalini kupokea wageni wa kitaifa kama Abdul. Samuya kazidi na hasafishiki kabisa
Sasa kama huitaki CCM wala Nchimbi huoni kuwa kuweka energy zako nyingi kwenye kumtoa Samia ni ujinga?

Samia akisema "Sawa, nimekusikia, naondoka, namuachia nchi Nchimbi" huoni kuwa hoja yako ya kumbagaza na kumtoa Samia itakuwa imekurudisha kwenye uongozi wa CCM tena?

Kwa nini unashindwa kufanya focus comprehensively kuitoa CCM unaishia ku focus kwenye mtu mmoja wakati tushaona hao viongozi wanakuja na kuondoka lakini tatizo linabaki palepale kwa sababu tuna matatizo makubwa zaidi ya hao viongozi individuals tu?

Huoni kujikita kumsakama na kumuondoa Samia ni kuji shortchange wewe mwenyewe kama unachotaka ni kuiondoa CCM?
 
Team samia upo vizuri. Hebu ngoja nirudi kusoma katiba ambayo samuya aliita ka kitabu, kama ina kipengele cha yeye kujiuzulu kisha nchimbi anashika usikani bila general election.

Samia kaua watu wengi sana wasio na hatia kisa kuiba kuingia madarakani. Waliotoka hawakuua kwa kiwango hiki alichofanya yeye. Hawakujaza ukoo wao bungeni kama yeye. Waliotoka hawakuwatumia watoto wao ambao hawana ajira wala vyeo serikalini kupokea wageni wa kitaifa kama Abdul. Samuya kazidi na hasafishiki kabisa
Wewe tatizo lako akili ndogo huelewei somo unafanya logical non sequitur fallacy unaiongezea na ad hominem fallacy.

Umeshindwa hoja unaniita team Samia.

Mtu yeyote anayenifuatilia atajua mimi si team Samia.

Mimi nakueleza kuwa kuna suala kubwa zaidi ya Samia, kuna CCM, kuna Watanzania wenyewe na utamaduni wao, hata Samia akiondoka akimuachia nchi Nchimbi, tatizo litakuwa palepale.

Wewe huelewi somo, unafanya personal attacks, unaishia kuona tatizo ni Samia.

Huwezi kuangalia tatizo la kimfumo, mwisho wako wa kufikiri ni kumuangalia Samia kama tatizo.

Siwezi kukulaumu. Hapo ndipo mwisho wa akili yako.
 
Serikali imekuwa na historia ya kudanganya takwimu. Sidhani kama ile ya Mkapa ilikuwa watu 26.

Pia nahisi kwenye tukio la MO29, hawakumpa taarifa za kweli za hiyo operation mwanzoni. Labda baadae sana ndiyo walimpa picha kamili.
Keynez: Nilikuwa na mawazo kama yako. kwa sababu nchi hii imejengwa katika kujipendekeza na kumpendeza Mkuu, inawezekana kabisa Samia hakupewa taarifa halisi (ya kweli) nini kilitokea Octber 29. Nadhani aliambiwa kuna tafrani ndogo ndogo tu za hapa na pale, na kuna vijana wameingia toka nchi jirani, Na yeye bila kujua akatamka hivyo.

Sababu ya kutaka kuamini hivyo, ni kwamba kila kiongozi wa serikali alikuwa anakuja na version yake! Sasa ukiona Mkuu wa Polisi anasema zile picha ni AI, huoni walikuwa wanajaribu kulifanya ni jambo la mzaha mzaha hivi. Na hata CNN walipoweka wazi nini kimetokea, walishindwa kabisa kukanusha, na wamaogopa kutoa idadi ya vifo.Inasikitisha sana.
 
Back
Top Bottom